Search results

  1. Magoe

    Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    Tusio na ajira na hatujui Ni lini tutapata ajira, tunakuangalia kwa jicho Kali Sana...tunatamani tukutukane Ila Sheria za jukwaa hazirihusu. Acha basi mi nikushauri kwa kuzingatia Sheria za jamiiforum. Nakushauri nenda kafanye kazi.. miaka miwili Ni mingi Sana endapo utafanya kazi kwa umakini...
  2. Magoe

    Nashughulikia mambo mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Bro! Hauhitaji msaidizi katika shughuri zako, Kijana nipo Dodoma Sina Ramani..kazi hazipatikani.
  3. Magoe

    Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Bro Vipi, naomba hio Connection ya Kazi Zanzibar tafadhari. Ila Sina Vyeti mkuu mi mpambanaji tu. Kufika Zanzibar naweza kuforce
  4. Magoe

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Yupo Dodoma mwenye uhitaji Boss, ni mtaalamu wa Computer ila sio mtaalamu wa Movie, ni mtaalamu wa mimala ya simu mitandao yote kwa 100%. Ila hana ndugj Dar.
  5. Magoe

    Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

    Kwaio mliopo humu wote ni wababaishaji? Ila linapokuja swala la kumiliki ndinga hahahaha kila mtu anayo.
  6. Magoe

    Anahitaji kazi ya stationery

    Vigezo, Mshahara, eneo la kazi???
  7. Magoe

    Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

    2022 Mshikaji wangu alinihadithia kua alinunua Malaya Tandika akamchapa Bao 1 tu Ila ananiambia allimtembezea mboo Yule Malaya mpaka Malaya akakojoa...anatoka Malaya anampa Hongera kwa kumkojoresha.[emoji23][emoji23] Akazidi niambia kua alipoona hivo akaupenda huo mchezo akatafuta hela siku...
  8. Magoe

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Dah! Nimerudisha Mpira kwa kipa[emoji37] Najipanga upya.
  9. Magoe

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Dah!!! Nimecheka sanaaaa mzeee
  10. Magoe

    Vijana waliooa wanakwaza sana

    NAKAZIA.
  11. Magoe

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Wana prefer Paypal kwasababu ni Salama, Nyepesi (user friendly), Hawana usumbufu na wakongwe katika Online Transaction, it is like Mpesa, inaaminika kwa mifumo yao salama zaidi kuliko Tigo pesa... Nahisi ntakua nimejaribu kukujibu.
  12. Magoe

    Tunatafuta kijana anayejua Computer

    Najua computer ila sio kutengeneza website
  13. Magoe

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nina wasiwasi huyu Mpembawise atakua ni Mikito Mikito. [emoji23][emoji23]
  14. Magoe

    Kazi ya Muda - Computer application

    Wanaume vipi?
  15. Magoe

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wadau; Siku moja nitarudi na picha ya Geto yangu hapa wacha nizidi kupambania Kombe.. Sema maisha ya geto Raha sana. [emoji41]
  16. Magoe

    Namba E tayari, mliokuwa mnasubiria kazi kwenu

    T 255 EMA RR Discovery 4. [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom