Search results

  1. K

    Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

    Ni vigumu sana kuwaelewa watu hawa, japo wao mara zote hufikiri kuwa tunawaelewa
  2. K

    Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Wa Wajidhibiti wenyewe kwanza......
  3. K

    Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Eti waliona masanduku yenye kura zilizopigwa.......hivi hii inaingia akilini? walionaje? hivi kwanini mnawashawishi watu mambo yasiyo na maana na kuwatuma kufanya vurugu ilihali nyie mmekaa na familia zenu mnaangalia TV? Inasikitisha sana sana
  4. K

    Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Kila mwenye ufahamu anaamini hili. Asante sana Mwanakijiji kwa uchambuzi makini na sahihi na uliokuja kwa wakati.
  5. K

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Hata mwalimu nyerere alipigania kuingia ikulu wakati wa uhuru....kupigania kuingia ikulu si si dhambi
  6. K

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Yeye slaa na mkewe Rose Kamili walipokelewwa na kulamba nafasi za uongozi kwa njia hii hii....kuna wana chadema waliokuwa huko majimboni na walistahili lakini joto la siasa lilikuwa juu kwa upande wao wakapitishwa...leo ndio wanaona ni maajab kumpisha mtu.....idiot
  7. K

    Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    'What goes around always comes around' Lowasa amepokelewa kama Slaa alivyopokelewa baada ya KUBWAGWA na Dr. QURO na CCM...kwa hiyo avumilie tu
  8. K

    Kujiuzulu nafasi yangu na kujivua uwanachama wa chama cha CHADEMA

    Weee unautangazia uma au Umma?
  9. K

    Kujiuzulu nafasi yangu na kujivua uwanachama wa chama cha CHADEMA

    Chadema.....kwanini mna viongozi wabovu hivi..teueni watu wa maana basi khaaaaa
  10. K

    Mwandosya atangaza nia kiaina!

    Sasa huyu ndiy0 mgombea........2005 aliingia top 3..ametulia sana alinifurahisha alipochangia bungeni mjadala wa escrow..hakugugumia kusema alichokiamini hata kama alijua mabosi wake hawakubaliani nacho! kila la heri Mark Mwandosya (PhD)
  11. K

    Niliyoyaona ubalozi wa Tz UAE yamenishangaza

    weka picha ya wahindi hao
  12. K

    Hongera Maria Sarungi, unaitendea haki elimu yako!

    Damu ya kizungu haiongopi......
  13. K

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tatizo m'damu haridhiki. Elimu na uwezo uzingatiwe.
  14. K

    Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    alteza sh ngapi? mmmh mix with yours
  15. K

    Wanamgambo wa kikristu wauaji

    Mungu apishie mbali tanganyika mix with yours
  16. K

    Wanamgambo wa kikristu wauaji

    sifurahii mauaji....lakini angalau nimesikia kuwa waislamu nao wanawakimbia wakristo...na wakristo kumbe wanaweza......upole siku zote umetafsiriwa kama ujinga...kumbe inawezekana kukinukisha ' kuchokozwa' kukizidi.... EEEH MUNGU TUEPUSHE NA BALAA HILI TANGANYIKA mix with yours
  17. K

    Yadhihirika: Nyama choma inasababisha kansa

    kila kitu kinaleta kansa.....anyway asante kwa kutualati baby.....
  18. K

    Never attend a call when your mobile is charging!

    tutafundishana kukimbia kifo weeee mpaka .....siku ikifika hata kiss ya baby inakuua mix with yours:dance:
  19. K

    Masekretari Wizara ya Fedha wawapania NCHEMBA&MALIMA

    masekretariiiiii!!!!:teeth::teeth::teeth:!!! mmmh
  20. K

    sijaona faida ya bikira

    Ha haaa haaa haa teh
Back
Top Bottom