Search results

  1. Arafat

    Je, Taifa litaokolewa na wakina Mama?

    Ukiangalia kwa makini toka JPM kuingia madarakani na hasa baada ya bahari ya siasa kuwa na mawimbi makali na dhoruba za kuhogofya, wanaume waliokuwa kwenye siasa za kukosoa CCM na kumkosoa JPM wengi walinywea na wengine walirudi CCM. Kwa upande wa wanaume, mtu pekee aliyebaki moto kama moto...
  2. Arafat

    CHADEMA iangalie aina ya Vijana waliomstari wa Mbele katika chama hicho.

    Kwa tathimini ya haraka sana, CDM haina vijana makini hasa tunao waona na wanoishabikia chama humu jf. Mashaka ipo juu ya uwedi wao, umakini juu ya Afya zao, mienendo yao na hata tabia zao, katika siasa za vyama vingi chama kinachowekeza juu ya vijana wasiojitambua, wasio na ajira na ambao akili...
  3. Arafat

    Panasonic model TC-P50C2

    Hi members Nimeletewa Zawadi ya tv yenye model hiyo hapo juu kutoka USA lakini nikowasha ina andika all programs locked press OK to enter your password naombeni msaada wana jf.
  4. Arafat

    CCM haikusoma vyema alama za nyakati kwa Juliana Shonza

    Kitendo cha CCM, chamakikongwe na Tawala kukumbatia mtu aliyefukuzwa chama cha upinzani tena chamachenyewe ni Chadema ni cha aibu sana kwa CCM na viongozi wake labda kama hawanamuono na wamekwisha visheni. Hii ni aibu pia kwa wana CCM watiifu na wenyewe visheni na muono juu ya chama chao, ni...
  5. Arafat

    Propaganda za kusaulisha watu Mambo muhimu kwa ajili ya kuuwa Demokrasia zipo CCM na CDM Kulikoni?

    Wapo wana siasa ambao mimi naamini ndio wana siasa uchwara na mapandikizi ya kuuwa demokrasia hapa Tanzania ambao kila usiku na mchana wanadhani Watazania bado ni wajinga wa kudanganywa kwa maneno wakidhani kuwa wao ni maarufu na kuwa kwatumia umaharufu wao wanaweza kufanya lolote kupotosha...
  6. Arafat

    Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

    Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi huu baada ya kutolewa posho ya August, wamegoma kupokea wamekubalia kutokupokea hiyo fedha nchni...
  7. Arafat

    Website ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa tanzania, nani ni spika wa bunge?

    Wana-JF naombeni msaada mara kadhaa nimekuwa nikiingia katika website ya Bunge letu nakuta ki-sehemu kimekwa mahususi 'Ask the Speaker" na kuna picha ya Mhe. Samwel Sitta, mathalani sura ya website hiyo usiku wa leo ilikuwa kama inavyoonekana katika kiambatanisho hiki hapa chini: - Je...
  8. Arafat

    Luhanjo kamsafisha David Jairo hana tuhuma yoyote ya Rushwa

    "...Jairo ambaye yuko chini yake, analazimika kwenda likizo kuanzia juzi ili kupisha uchunguzi wa awali ambao unalenga kubaini iwapo ametenda kosa la kinidhamu kwa mujibu wa sheria zinazoongoza Utumishi wa Mmma.(Philemon Luhanjo kwa mujibu wa nukuu ya Gazeti la Mwananchni) Kwa mijibu wa hii...
  9. Arafat

    Haya Matatizo tulijitakia wenyewe Mbona alioneka kichaka hata kabla! Ilikuwa tukaingia kichakani?

    Jamani angalieni mabega na mtu mwenyewe alafu tuone kama hatukufanya kosa ambalo linatutesa hivi sasa.
  10. Arafat

    Ukitaja Viongozi Wanafiki waliowahi kuihadaa Zanzibar Ukimtaja Maalimu Seif usimsahau na Dr.Bilal

    Dr Mohammed Ghalib Bilal aliteuliwa kuwa CM wa Zanzibar 1995 na kushika madaraka hadi 2000 akiwa na Rais wake Salmin Almour a.k.a Komandoo. Kabla ya hapo alikuwa PS-Wizara ya Sayansi na Teknologia kuanzia 1990. Mwaka 2000 Bilal akiwa CM na Komandoo akiwa Rais wake walianzisha mpango kabambe wa...
  11. Arafat

    Wababa mnalijua hili?

    Why sex is good for your health In accordance to Yahoo life style News (2011), a proper celebration in the bedroom can keep you in shape; In fact, sex can benefit your health in many ways. Here are seven reasons to give and get a little love at any time Good for the heart Sex is good for your...
  12. Arafat

    Tujadili hii Picha kwa kulenga Mstakabali wa taifa letu.

    Wakuu Tujalidi hii Picha kwa kuangalia Tutakomboa vipi Taifa letu kwa kutafakari picha hii:
  13. Arafat

    Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

    Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia! Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car maana ni siku nyingi sijapata kuendesha black car! Nilifanya makeke na kupata gari jeusi kama...
  14. Arafat

    Swala la Mafisadi: CCM imemkabidhi nani Dola?

    CCM imeibuka na Msemo mpya 'Kijivua Gamba!' Kila mwanchama wa CCM anaimba huo wimbo hadi Rais ambaye ndie M/kiti wa CCM pia anaimba huo wimbo, chorus inasema 'tumewapa siku 90 Mafisadi wajiondoe katika Chama la sivyo tutawatimuwa' Mwimbishaji ni Nape, sauti ya nne anaimba Mkama, 'CCM...
  15. Arafat

    CCM: Flagyl Haitibu Malaria kamwe, bado Mtaendelea kuumwa mwisho Mtadai Mmerogwa!

    CCM Mnatia uzuni kila mkiibuka na matamko yenu na maoni yenu juu ya matatizo na mstakabali wa Chama chenu Kikongwe kabisa hapa Africa Mashariki. Kama ningekuwa mwanazuoni katika kada ya Sayansi ya Jamii na Siasa ninge fanya tafiti kujua iwapo chama cha siasa pia kinaweza kuzeeka na kuwa kikukuu...
  16. Arafat

    Hii imekaaje? au ndio Vita vya Ufisadi ni Vigumu?!

    Wakuu hii sijaielewa: - Huyu JF member mmoja jina lipo humu Jamvini JF Premium Member Join Date : 26th February 2011 Location : The Second House on the Left Posts : 162 Thanks 5 Thanked 32 Times in 28 Posts Rep Power : 21 Na huyu ni Member mwingine JF Senior Expert...
  17. Arafat

    Rwanda Demokrasia imekuwa kuliko Tanzania!

    Waziri wa Vijana na michezo wa Rwanda alijiuzuru kwa sababu ya kashfa za ngono! Tanzania Viongozi wameota mapembe!! Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi. Rwanda photo scandal Minister resigns | Nehanda Radio
  18. Arafat

    Loliondo: Kama ni Lowassa tumeliwa!

    Kama ikiwa huyo Mzee wa Umasaaini huko Lolindo ni Mganga wa EL na kuwa kila atakaye kunywa hayo maji yake 2015 huta mwambia lolote juu ya EL, basi tumeliwa tena tuhesabu 2025. Napata mashaka makubwa juu ya taarifa zake, napata shida kwanini wizara ya afya haitoi tamko lolote. Kwanini wizara ya...
  19. Arafat

    Pinda Mchuchuma uliweza vipi DOWANS isiwezekane!?

    Mheshimiwa waziri Mkuu swali la nyongeza: uliweza kuchukua Mchuchuma kwa huyu Jamaa hapa mpaka sakata likatulizwa? Naimekuwaje umeshindwa kwa hawa hapa chini kuwanyang'a Dowans yetu, maana Mali ya wizi ni mali ya Umma Tupo nyuma yako husiogope, husiwaogope.
  20. Arafat

    Walibya wameanza mchakato wa uhuru Kamili kwa maandamano, nasi tuna kila sababu sasa

    Askali wa Gadhafi wameuwa raia wengine 15 huko Benghazi na kujerui kadhaa, wakati waandamanaji wakiwa mitaa kudai kungolewa kwa Gadhafi. Inasemekana ndani ya Libra makachero Uchwara wamedhibiti mawasiliano yote ikiwa na mitandao ya internet. Gadhafi anatumia nguvu nyingi sana na silaha kali...
Back
Top Bottom