Ngoja nikusaidie, iko hivi, mtoto no wako. Mama wa mtoto wako ameanzisha uhusiano mwingine, inawezekana sababu hujaonyesha kuwa na future naye. Huyo bwanake mpya kampa sharti la kukata mawasiliano/connection na wewe. Kikubwa kinachowaunganisha ni mtoto so hatua ya kwanza ni kumuhamisha mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.