Search results

  1. O

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    Sisi UKAWA tumejipanga vizuri Urais Zanzibar tunatoa mgombea CUF na Jamhuri tunatoa mgombea CDM. Wabunge ni kama tukivyokubalia. Tunataka tuhakikishe magamba hawapati 45% ya wabunge na Urais tunawatwanga kotekote. Kwenye Urais Magamba ndo mna shida kubwa kwani kuna wagombea zaidi ya 40 na wote...
  2. O

    Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Dhambi ya usaliti wa Mageuzi Tanzania imemfanya kama chizi. Kwani alishawai kuzema hatagombe Ubunge 2015 atagombea Urais. Sasa hivi anakuja na Ngonjera nyingine. Hayo Majimbo aliyotaja ajaribu aone moto utakavyomuwakia MSALITI MKUBWA. Tuna hasira naye sana hela alizokuwa anahongwa na Magamba na...
  3. O

    Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

    From: Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM To: Zitto Kabwe <zittokabwe@gmail.com> Subject:Re: KUONGEZA NGUVU Hon PM, Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila...
  4. O

    Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

    Natumia simu ya mkononi sijajua jinsi ya kuatach hayi mawasikiano ya Zitto na Mwigulu wakimuandalia Lowassa nafasi. Vilevile Zitto anaomba Tzs 700m ili aendelee kuibomoa CDM
  5. O

    Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

    Zitto na Mwigulu walikuwa wanawasiliana ili Lowassa akikatwa jina wampe nafasi Agizo la Chama Tawala (ACT). Nitakuleteeni hapa hizo baruapepe. Na Zitto kaambiwa aanze kumtangaza Lowassa na ndo maana alisima hivyo.
  6. O

    Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    Akiomba msamaha tunaweza kumsamehe ila lazima tumuweke kwenye uangalizi wa miaka kama mitatu ili tujiaminishe kwamba ameacha kutumika kuibomoa na kuisaliti CDM. Alianza zamani tabia yake ya kushirikiana na Ma-CCM kuibomoa CDM ila viongozi wetu kwa busara zao walimvumilia na kumshauri aachane na...
  7. O

    Wana UKAWA tunamhitaji Prof. Lipumba lasivyo patachimbika

    Wewe unaongelea UDINI. Ingekuwa kama unavyofikiri JK asingepigwa chini na Dr. SLAA 2010 mpaka akachakachuwa kura. 2015 ndo mwisho wenu Magamba.
  8. O

    Saed Kubenea anatumiwa na CHADEMA kuidhoofisha ACT-Tanzania

    ______ maana yake ni -----------
  9. O

    Saed Kubenea anatumiwa na CHADEMA kuidhoofisha ACT-Tanzania

    Hakuna gazeti lunalofichua maovu ya serikali kama Mawio tena bila uoga. Mwanzo ----------- ndo lilikuwa gazeti dume la kufichua ufisadi likafungiwa na mafisadi. Sasa hivi kazi hiyo inafanywa na Mawio
  10. O

    Padre Baptist Mapunda: Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani

    Rev. Kakobe naye alishawahi kuyasema hayo..........!!!
  11. O

    Chenge ajiuzulu nafasi ya uwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti

    Nasikia yeye na Gamba mwenzie EL wamejipanga vilivyo kufanya mbinu zozote ili EL awe Rais na gamba lingine Chenge liwe Waziri Mkuu. Sipati picha hilo likitokea nchi itakuwaje? Wapiga deal wawili (Magamba Mawili) yapo kwenye nafasi kubwa kabisa za uongozi. Watanzania tukatae hilo kutokea kwani...
  12. O

    Swali la Dhali: Kwanini unaliamini Bunge zaidi vita dhidi ya Ufisadi kuliko Mihimili mingine?

    Bunge likipata uwakilishi wa Wapinzani 50+% bila shaka litasaidia sana. Kwa upande wa mahakama ndo hao na majaji wamehongwa unategemea watatoa haki? Kwa upande wa Executive Rais wetu hana nia ya dhati ya kupambana na ufisadi.
  13. O

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Riport nyeupe Magamba wangekuwa wanaendelea na vikao vya siri Dodoma kama nchi ipo vitani???? Acha kutetea mafisadi au na wewe uliopata mgao?
  14. O

    Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Unawatimua na kulinda kura yako kwani CCM NI MAFIA. A REAL MAFIA.
  15. O

    Prof. Kitila Mkumbo: Dk. Slaa hana adabu na tafiti

    Associate Professor asiyejitambua na kutumika kama Kitila siwezi kumuita Professor namuona kama mpuuzi fulani tu. Yeye na Zitto walitumika ili kuiua CDM wakashitukiwa wakatimuliwa. Akaenda ACT ambako nako kishachafua hali ya hewa. Uprofessor wake utaonekana kama wa JK asipojitekebisha haraka.
  16. O

    Prof. Kitila Mkumbo: Dk. Slaa hana adabu na tafiti

    Mkinga akikubali hilo Deal atajidhalilisha sana. Kwani yeye na sisi wengine tunaamini Lowasa ni fisadi papa na yeye amekuwa akihubiri hilo siku zote. Sasa akianza kumsafisha sijui nani atamwelewa. Nilisikia kwamba siku hizi Mkinga kaanza kubadilika au ndo kishaanza kupewa hizo hela?
  17. O

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Acheni utani Mamvi kwenye Richmond anahusika moja kwa moja sema tu labda kuna wenziwe waloohusika nao hawakuadhibiwa wakati ule. Hana sifa hata moja ya kuwa Rais wa Taifa hili.
  18. O

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Gedeon acha uongo EL alikuwa analalamikalalamika kwamba kaonewa ndo Mwakyembe akasema kama analalamika kwamba kaonewa yeye Mwakyembe alete ushahidi wa kuonyesha kwamba EL alihusika na swala zima la Richmond na kama hautakuwa kweli Mwakyembe atajouzulu. Tangia siku hiyo Lowassa hajawahi...
  19. O

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    5. Asiwe fisadi na awe na uwezo wa kuwashughulikia mafisadi wanauza nchi mchana kweupe 6. Asiwe mtu aliyewahi kujihusisha na ufisadi
  20. O

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Nchi hii kuendelea kukaa mikonono mwa magamba ni Janga la Taifa. UKAWA ndo wanaweza kututoa kwenye tope wa Ufisadi tulilokwama katikati.
Back
Top Bottom