Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba uko sawa lakini hauko sawasawa.
Ingekuwa ni biashara ya mtu, basi ingekuwa karibu bank wanapiga mnada dhamana yako. Kama tunakopa kwaajili ya shughuli za maendeleo, basi tungeona hizo shughuli zikizalisha pesa kwaajili angalau ya kulipa deni tu. Sasa deni...
Kulima nilime mimi, kupanda nipande mimi, kupalilia napalilie mimi, kuvuna nivune mimi, kupeleka ghalani nipeleke mimi. Alafu baada ya kufika ghalani useme chakula chetu??? Huu ni unyonyaji. Serikali makini inawasaidia wananchi wake kupata ziada na sio kuzuio kidogo kilichopatikana kwa kuvunja...
Hivi mazoezi ndio yanaleta mapinduzi ya viwanda. Kikwete ameshadadia bongo flavor, na kwasababu hiyo waimbaji wamepata tuzo za kimataifa.
Lakini nioneshe picha 1 ya engineer Hilonga http://www.bbc.com/news/world-africa-32973591 aliyegundua mtambo wa kuchuja maji akipata mualiko wa ikulu. Au...
Mbona hawajagusia hoja za msingi, tunataka watuambie yafuatayo:
1. idadi ya safari zilizofanywa na Kikwete
2. kiasi gani cha fedha kimetumika (bila kujalisha kama zilikuwa ndani au njeya bajeti iliyoidhinishwa na bunge
3. safari hizozimeleta faida gani kwa taifa (substantive)
4. uhalali...
Mapambano yanaendelea, na hila za CCM hazina nafasi. Hao mamluki watasahaulika kama alivyosahaulika Slaa na Lipumba. Watakuja kwa njia 1 lakini wataondoka kwa njia 7, tumeanza na Mungu, tunamaliza na Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.