Search results

  1. mrsleo

    Nifanyeje? Huyu msichana kanifanya nishindwe kabisa kushiriki tendo la ndoa

    Hivi kweli umeisoma hii stori mpaka mwisho? Na unaona hapo ishu ilikuwa mshono kweli?
  2. mrsleo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kuna msemo sikio la kufa halisikii dawa, but kama unataka kuishi maisha ya amani hapa duniani mpaka siku Muumba wako atakapokuita, ACHANA NA MERCY, MSAHAU MERCY, ACHA UKARIBU WA AINA YOYOTE NA MERCY, HESABU HAKUWA FUNGU LAKO. Lakini if you ever, ever marry her atakuwa kaburi lako. You knw why...
  3. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    wewe ni mwanaume so huwezi kuelewa, mambo sio marahisi kama unavyozani unaweza umalize miezi 6 hujatongozwa na huyo anaekutongoza unakuta ni mume wa mtu, au ni mtu asieleweka huwezi tu kusema ndio kwa kila mtu my brother kisa tu unahitaji mahusiano
  4. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    hakuna kitu kama hicho unless uwe unatongoza wale ambao wako nje ya uhalisia wako. Mfano diamond huyu mwanamuziki wanawake wote ambao ameshakuwa nao mpaka sasa, kama nyota yake isingeng'aa kwenye muziki na kupata mafanikio aliyokuwa nayo kiuhalisia hakuna kati yao ambae angemkubalil hata mmoja
  5. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    wife material wapo sema nyinyi mnaangalia hiyo migube gube na matakao yao ya mchina
  6. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    mwanaume ndie anaetongoza mwanamke unasubiri kufatwa
  7. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    :D:D:D:D tatizo unafata maslay queen, tafuta binti ambae ni wife material
  8. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    Mimi ni mwanamke najua, na naijua sitution ilivyo kwasisi wanawake kwenye swala la mahusiano, ni mpaka usubiri kutafutwa na mwanaume, au ujitoe ufahamu ujilengeshe napo kuna mawili uonekane malaya uishie kuumizwa au ubahatike upate muelewa, either way situation kwa wanawake na wanaume ni...
  9. mrsleo

    Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    ila mwanaume kuwa single ni kujitakia mwenyewe tu
  10. mrsleo

    Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    kabisa it doesnt make sense mwanaume akuvue nguo aishie kusugua juu ndani asiingie hamna kitu kama hicho
  11. mrsleo

    Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Ndugu yangu ungemuacha tu na bikra yake manake from the beginning ulishajua she is not ur type, ila tatizo la wanaume hata akiona humfai atataka akulale kwanza ndo afanye maamuzi, umemkosea sana sana. But usijilazimishe kumuoa kisa umemtoa bikra it will get worse humo ndoani mana mwanaume hukaa...
  12. mrsleo

    Hata bila kumchukia wala kubishana na wateuzi wake, nafasi ya Katibu Mwenezi haimfai Makonda

    Afae asifae, aweze asiweze, doesn't really matter rizki anaetoa ni Mungu si mwanadamu, ingekuwa ni mwanadamu ndo mwamuzi wa mwisho wa hatma ya binadamu mwingine, hata wewe mtoa uzi usingekuwa kuwa hapo ulipo mana usizani kila mtu alikuzunguka anakupenda katika hao hao walikuzunguka wapo...
  13. mrsleo

    Mahusiano ya mtandaoni

    WALA USIONE WIVU MPENDWA WANGU, FUNGU LAKO LIPO MUNGU HUTOA KWA NAMNA TOFAUTI TOFAUTI KWA KILA MTU
  14. mrsleo

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Swali la msingi ni kwanini upo nae? after everything u have told us nakushangaa wewe zaidi ya ninavyomshangaa yeye, she is not the problem u are. Kwasababu umeingia kwenye mahusiano nae wakati mtizamo wake tu ulikutia mashaka, na umeendelea kuwa nae wakati mambo yake mengine tena ya msingi...
  15. mrsleo

    Mahusiano ya mtandaoni

    Me tulikutana marafiki.com enzi hizo sasahivi ni mume wa ndoa 10years, kwa kweli sijawahi juta kukutana na huyu kaka, it was fate. Japo halikuwa lengo langu kuwa na mtu kutoka kwenye mtandao na nilikuaga naponda sana hilo swala jamani maisha haya:p, kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto :D...
  16. mrsleo

    Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

    Natamani kujua ulienda hospitali gani, mimi kama muhanga wa ovarian cyst na nilishafanyiwa operation kwajili ya hizo ilipelelekea nikatolea yai moja likabaki moja, ila kusema ukweli huwa zinarudi hasa hizo ambazo ni complex
  17. mrsleo

    Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

    Tusingekuwa ndoani ningeshabadilisha jina, am still happily married
  18. mrsleo

    Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

    mrsleo - Married to Leonard
  19. mrsleo

    Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Siwezi semea wengine ila mimi binafsi naamini 200%
Back
Top Bottom