Search results

  1. Jayfour_King

    Majambazi yatikisa Dar, Yapora milioni 46/- bila upinzani

    Kwa matukio ya hivi karibuni inaonyesha kwamba sehemu kubwa ya askari wetu ni sehemu ya wahalifu ukiwemo huo ujambazi, haiwezekani polisi wa wilaya akajibu kilevi namna hiyo eti hawakuwa wamejiandaa, wajiandae kufanya nini? Kwa tafsiri yetu sisi wananchi ni kwamba polisi walishaandaliwa kwa kodi...
  2. Jayfour_King

    ERROR CODE:0x80070522

    Mkuu nimeijaribu hii lakini haikunisaidia na command hiyo haitambuliwi na computer.
  3. Jayfour_King

    ERROR CODE:0x80070522

    Windows cannot Install required files.Make sure all files required for installation are available,and restart installation. Error code:0x80070522. Maelezo: Ninapata message hii ninapotaka ku install win7 kwenye machine ambayo ina WinXp sp3 nimejaribu mara kibao win7 pro imekataa, nikajaribu win7...
  4. Jayfour_King

    I pad one inauzwaa

    Nimependa kila kitu chake kasoro sijajiandaa, nice to hear such price for Ipad.
  5. Jayfour_King

    Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    Inaweza kuwa sio ushamba, nijuavyo mimi baadhi ya IT machine huwa zina automatic signatures from manufacturer ila kama huipendi waweza kuitoa. Cha kukumbuka sio wote ni wajuzi wa vitu wanavyovitumia.
  6. Jayfour_King

    50% of the people failed to answer it correctly, Lets see what you guys comes up with..!!

    Baada ya muendelezo wa hiyo hesabu mwisho inabaki +2 gawanya 2 = 1
  7. Jayfour_King

    Mnakata hela nyingi sana: M-pesa, tigo-pesa na airtel-money

    Well said mkuu, issue hapa ni kuangalia namna gani sheria inaweza kuwekwa ili iwe mlinzi wa viwango ikiwa ni gharama za mitambo, uendeshaji pamoja na faida ambayo ndio msingi wa biashara yoyote.
  8. Jayfour_King

    Mnakata hela nyingi sana: M-pesa, tigo-pesa na airtel-money

    Binafsi siwatetei ila fikiria kwamba ungetuma pesa hizo kwa njia ya posta au benki ambazo hazipo vijijini. Naamini suala la msingi hapa kunatakiwa kuwe na regulator ambaye kazi yake ni kuhakiki viwango (tozo) ili wote (makampuni yanayofanya kazi hiyo) yawe na rates zinazofanana ili kuondoa hicho...
  9. Jayfour_King

    Macho kuwasha nini tatizm

    Thanx for caring mkuu, nitajitahidi kufuatilia kwa karibu kwani tatizo tulilonalo wataalamu wa fani ya macho naona bado ni utata. Nimewahi kuhudhuria kliniki fulani nikapewa dawa fulani baada ya kutumia drops hizo kwa muda ilikuwa inanisaidia wakati huo huo nilipokuwa naitumia once ilipokwisha...
  10. Jayfour_King

    Solar Power

    Hujaelewa nini unge mark sehemu ambazo hujaelewa.
  11. Jayfour_King

    Kuwashwa ukeni

    Binafsi sikushauri utumie ma dk pori kwa tatizo lako ni vyema ukaenda hosp na ni vyema pia mwende pamoja kwa kuwa huna sababu ya kuwa na wasi wasi na tatizo lililoletwa na mpenzi wako. Kwa kumshirikisha itampa picha kwamba mechi za mchangani ni hatari na pia asijichukulie kama mtu mwenye bahati...
  12. Jayfour_King

    Solar Power

    Sharing is good thing, nimejifunza mengi kuhusu uzi huu shukurani za pekee zimwendee mwandishi na wachangiaji ambao ndio wameongeza ladha katika thread hii.
  13. Jayfour_King

    Jinsi ya kujua salio lililobaki kwenye bundle za zantel

    Ninashukuru kwa kujali kwako na majibu yaliyo sahihi, ahsante sana.
  14. Jayfour_King

    Jinsi ya kujua salio lililobaki kwenye bundle za zantel

    Wakuu, kwa anayefahamu jinsi ya kuangalia bundle ili niwe confident hasa wakati muda unakwisha kwamba naweza ku download kiasi gani kutokana na kiasi cha bundle ili zisiishe bila matumizi.
  15. Jayfour_King

    [b/]cd za application mbalimbali za computer[/]

    OS mpya inaweza kuwa kama 120,000 tshs ingawa sina hakika sana kwa sasa ngoja wataalamu watatuambia.
  16. Jayfour_King

    Macho kuwasha nini tatizm

    Ni miwani yoyote au inabidi nikapime macho kwa ajili ya miwani? Mimi pia nina tatizo hilo hadi sasa na sababu ulizoeleza kama kisababishi naona zinafanana nami kwani hii hunitokea nikikaa kwenye Computer kwa muda mrefu yanaanza kuwasha! Na ni kero kweli kweli kwani inafika wakati mtu mzima...
  17. Jayfour_King

    Serikali na matangazo ya kudhibiti ufanisi wa maandamano ya CHADEMA

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, siamini kama kila kipindi kinachorushwa TBC ni kibaya tuwe fair sometimes.
  18. Jayfour_King

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Ni kweli kwani ina maana saa hizi tungekuwa tuna suffer maumivu ambayo ni sawa na kudondokewa na ghorofa 36x2!!
Back
Top Bottom