Search results

  1. Homa la jiji

    Nahitaji msaada wa haraka kwa viongozi wa Serikali juu ya unyang'anyi niliofanyiwa na polisi

    Asante sana mjumbe wangu Wa shina alifika kipindi nimerudi akaniambia hata yeye alipowauliza kuhusu kibali chakuja mtaani kwake walitaka kumkamata
  2. Homa la jiji

    Nahitaji msaada wa haraka kwa viongozi wa Serikali juu ya unyang'anyi niliofanyiwa na polisi

    Ilikua tar. 16/1/2018 nilivamiwa na polisi nyumbani kwangu maeneo ya kibamba askari hao walikua tisa walikua na bunduki ilikua saa mbili usiku walinikuta sebleni nakuniamulu nisiamke nilipokaa wakaniuliza mume wako yuko wapi nikawajibu hayupo wakaingia vyumba vyote kuanza kumtafuta mume wangu...
  3. Homa la jiji

    NAUZA SHAMBA

    Mkoa kani huo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Homa la jiji

    DAR: Ajali yaua mwanafunzi Mbezi Beach, Kituo cha Shule

    Umri na ni eneo gani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Homa la jiji

    SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

    Nahitaji mawasiriano yako Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Homa la jiji

    SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

    Mimi nalihitaji shamba hilo nawezaje kupata namba yako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Homa la jiji

    Kwa kauli za Tundu Lissu ni wazi kwamba anakibomoa badala ya kukijenga CHADEMA

    Jibu hoja sio kuishia kulalama hizo ni dalili zakuishiwa lisu yuko sahihi ila wewe ni kiumbe dhahifu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Homa la jiji

    Kwa kauli za Tundu Lissu ni wazi kwamba anakibomoa badala ya kukijenga CHADEMA

    Sasa hapo umejibu hoja zake au unalalamika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Homa la jiji

    Oneni madhara ya kutumia kichwa kuongoza badala ya sheria na miongozo

    Jibuni hoja za lisu sio kuishia kumtusi hoja hujibiwa kwa hoja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Homa la jiji

    Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

    Ndoto yangu hiyo miaka miwili ijayo Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  11. Homa la jiji

    Aisee Prophet Shepherd Bushiri, hii sifa sasa...

    Mh Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  12. Homa la jiji

    Wahaya kuweni serious kidogo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  13. Homa la jiji

    House girl wetu wa ndani ameanza kazi jana.Asante sana mama kwa kutuletea huyu!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. Homa la jiji

    Je Alicho Fanya Eric Omondi Ni sahihi?

    Mwenyezi mungu hua anajitetea mwenyewewe hatetewi na binadamu wenzetu huwa wanatetea kejeli za dini yao kwakutojua tu
  15. Homa la jiji

    Kero: Tutaabishana kwa ulimbukeni huu wa matusi barabarani

    Namuona dito na mguu wake wa kuku chanzo kidole cha kati
  16. Homa la jiji

    Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Msitoe povu kwakutumika leteni ushahidi hapa wenye uthibitisho kwa mfano namba kesi kosa alilotuhumiwa na picha au video zinazoonyesha tukio ovu
  17. Homa la jiji

    Suala la Vyeti Feki ni Mbwa kala Mbwa

    Na jwtz wenye vyeti feki nao watarudishwa mtaaani
Back
Top Bottom