mkuu,
enzi hizo nilikuwa bado sijawa mbunge. nilikuwa najulikana kwa ID ya mgombea ubunge. nilibadili ID baada ya kushinda kiti cha bunge kwa mara yangu ya kwanza katika uchaguzi mkuu uliopita
ni katika kuweka tu kumbukumbu sawa
mkuu, natumanini wakati unaadika haya ulikuwa hujaijua vyema dhamira ya mwenyekiti wa CCM na hata hukuwa umenielewa vizuri nilichokisema kwenye rai yangu ya kuwataka vijana tujiandae mapema kushiriki chaguzi mbalimbali ndani ya chama hapo mwakani. mfano wa Nape ulioutoa, nafikiri wewe mwenyewe...
jamani akina mama habari zenu, poleni na mjadala naona mnaumana kisawasawa. ila msing'oane meno jamani, tumtakieni heri mwenzetu anayeolwa
kila la heri Judith
kapata malipo ya awali (advance) kwa unyama aliowafanyia watu wa ivory coast hapahapa duniani
wanasiasa tumuogopeni Mungu, hata tukifura kwa kiburi cha utukufu wa kisiasa namna gani, tukumbukeni Yeye yupo na hafanyi negotiations na wapumbavu.
mh. John Mnyika, hongera sana.
napenda kukiri kuwa wewe ni mmoja wa wanachadema walio hazina kubwa sana kwa chadema yenyewe na Tanzania kwa ujumla. nafurahishwa sana na umakini wa hoja zako na ujasiri wa hali ya juu unaoambatana na busara ambayo kwa kweli sikuitegemea kutoka kwa kijana wa umri...
Wapenndwa wanaJF, natumaini mnaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa na mijadala mbalimbali iliyopamba moto kila kona ya mchi yetu juu ya masuala muhimu ya mustakabali wa taifa kama sio kabali zinalopigwa taifa kwa sasa.
Nimekuwa nikitafakari sana hotuba ya mwenyekiti wa chama chetu...
ndiyo maana nimejicomit kuwatumikia na kuwasaidia watu. for me this role in politics is a God given. tutafika tu ndugu zangu, tushikamane na kupiga vita umasikini, maradhi na magonjwa kwa nguvu zetu zote
Wapendwa wanaJF na watanzania wenzangu wote,
Nichukue fursa hii kutoa pole zangu za dhati kwa watanzania wote kwa msiba mkubwa uliolikumba taifa kutokana na mbinu dhaifu, zilizopotoka na mbaya za ulinzi zilizotumiwa na jeshi letu la polisi kwa maelelkezo ya viongozi wao na kusababisha maafa ya...
kweli kabisa, malezi ya watoto ni kitu muhimu sana kuzingatia. ila kuna suala la ukimwi nalo si la kupuuza kwa kiwango chpchote. uzinzi ni tendo baya sanna. usimfukuze nyumbani wala usigombane naye ila mweleze kila unachokijua juu ya uzinzi wake na huyo rafiki yake na ummtume akamwambie huyo...
hongera sana mheshimiwa john mnyika. ulipata ushindi mzuri na wa kujivunia na umeanza vizuri kazi uliyopewa. mimi pia ni mmoja wa wakazi wa jimbo lako kwani nina makazi kimara na muda mwingi familia yangu inaishi huko, kwa hiyo wewe ni mbunge wangu na ninaona fahari kuwa na mbunge kijana...
ndugu watanzania wenzangu
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza na kuwatakia utumishi mwema wenye mafanikio mawaziri wote walioteuliwa katika wizara mbalimbali pamoja na wasaidizi wao. nawahalkikishia pia ushirikiano wangu katika kutimiza majukumu yemnu mliyokabidhiwa kwa manufaa ya serikali...
jamani tujadili issues, mimi nimeongelea nilivyojibu sera ya elimu bure ya chadema, kama kuna maoni yangetolewa ingenisaidia hata katika utumishi wangu, kama hakuna maoni, nanti mtakuwa mmeshindwa kuboresha utumishi wangu japo nimewapa fursa. hata hivyo nashukuru nimepata mengi sana ya...
mahakamani ndio kuna suluhisho la kila jambo. ila mahakama kama mojawapo ya chombo cha dola inaweza kuathiriwa na siasa. mimi kama mwanasiasa kijana napenda hata mahama yetu (ya tanzania) iwe critically examined
tulizeni hisia zenu ndugu, angalieni mustakabali wa taifa kwanza. hivi kwako habari ya maji ya bomba jimbo zima ni ndogo? tena kwa nchi kama yetu?
haya ndugu sikiliza muziki kutokea dodoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.