Search results

  1. luangalila

    Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

    Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu. Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya...
  2. luangalila

    Kwa watalaam wa Lens za camera

    Wadau habari Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
  3. luangalila

    Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

    Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100. Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea...
  4. luangalila

    Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  5. luangalila

    KERO Shinyanga MC

    Mamlaka inayo husika na isimamizi wa barabara za ndani ya mji Shinyanga mtu saidie kuweka matuta katika izi barabara ili kuzuia mwendo kasi wa baadhi ya madereva wa vyombo vya moto hususani bodaboda na magari . Kuna hii barabara ya Nkulila road yaan unakuta cruiser ya DFP, STM, STK...
  6. luangalila

    Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
  7. luangalila

    Manispaa ya Shinyanga, Kero ya bodaboda kutoa excos kusababisha makelele hamuioni?

    Najiuliza Jeshi la Polisi usalama barabaran kama wapo macho kweli? Ukifika Shinyanga mjini bodaboda nyingi zimetobolewa excos kitendo ambacho hupelekea kelele kwa wananchi wanaoishi pembezoni ya barabara mfano, Nkulila road. Kero nyingine, zipo baadhi ya izi pikipiki guta zimefunga honi zile...
  8. luangalila

    WhatsApp locked Chat

    Wadau hivi hii feature mpya katika WhatsApp inazuia namba iliyo katika locked chat isitazame status za mtumiaji aliye add iyo nmba katika locked chat?
  9. luangalila

    Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

    Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
  10. luangalila

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu. Mfano : system akisema imwombaji awe...
  11. luangalila

    Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  12. luangalila

    Kelele za pikipiki mjini Shinyanga imekuwa kero

    Habari wadau Ni tabia inayo shamiri kwa hapa Shinyanga wanao endesha bodaboda baadhi yao japo ni wengi Wamekuwa na tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kupelekea vyombo ivyo kutoa sauti zinazo leta kelele , Serikali ngazi ya mkoa tabia hii imekuwa ni kero Niwaombe viongoz wetu mjaribu...
  13. luangalila

    Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaani cals and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi...
  14. luangalila

    Simuelewi huyu Demu

    Sijawasiliana nae kwa njia direct call siku ya 3 sasa nikimpigia simu yake haipokelewi, ukituma text Whatsapp mpaka ijibiwe inachukia hata siku nzima. Nikaamua kula buyu niendelee na ratiba zang, ghafla akanitafuta akaniambia sorry nilikuwa busy sanaa na issue za ukaguzi, kweli akabadilika...
  15. luangalila

    Kwanini Computer za siku hizi zina SSD ndogo ndogo?

    Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo. Watalaam naomba mnijuze
  16. luangalila

    Uongozi wa Jiji la Dodoma tambueni mnatesa abiria wageni

    Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu. Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na...
  17. luangalila

    Trafiki Shinyanga Angalieni zile Trafific Light za Phantom Pale

    Eneo la Phantom sio geni kwa waenyeji wa Shinyanga na wanao pita highway kwenda au kutoka Mwanza. Hili eneo ni kero sana hasa wakat wa Jioni Sio ajabu ukiwa pale ukaona Gari dogo lina vuta barabara ilihali Traffic light inawaka taa NYEKUNDU kuashiria kusimama Sio Ajabu gari ukiwa pale...
  18. luangalila

    BBC Swahili ufanisi wenu katika lugha umepungua mno

    Yes, pasi na shaka ni wazi kabisa BBC swahili siku hizi ufanisi wenu umepungua mnooo yaani mna kiswahili kibovu mnooo yaani watangazaji wenu baadhi wana Kiswahili cha muundo wa english, yaani matumizi ya ngeli ni zero yaani in short kiswahili sio sanifu hata page zenu wanaoandika yaani hicho...
  19. luangalila

    Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  20. luangalila

    Imekaaje Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa na ofisi Ikulu ya Chamwino?

    Nilimsikia majuzi Rais wa SMZ akishukuru kwa SJMT baada ya SMZ kupewa ofisi katika ikulu mpya ya Dodoma. Je, ni kwa sababu ni ikilu mpyaaa au hata pale magogoni SMZ wana Premise zao? Isitoshe niliwahi kusikia pia kama SMZ walipewa eneo la kujenga Ofisi zao pale Dodoma. Binafsi najiuliza...
Back
Top Bottom