Search results

  1. Noswerd malila

    Developer software engineers idea

    Habari ya muda huu wakuu Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
  2. Noswerd malila

    Changamoto za Ajira Portal

    Namba unayoweka hapo ishatumika jaribu kulogin
  3. Noswerd malila

    Namleta kwenu mwalimu wa Falsafa mwenye degree 4 asieonywa na darasa la saba

    Kuna utofauti kati ya education level na uelewa wa mtu
  4. Noswerd malila

    Uchaguzi 2020 Wasanii waliochukua fomu za kugombea ubunge kupitia vyama mbalimbali Uchaguzi Mkuu 2020

    Mpoki kaangukia pabaya hatoboi naona akibishana na ukuta
  5. Noswerd malila

    I am looking for a Husband

    Id yako ya zamani ni ip
  6. Noswerd malila

    Natafuta mume wa kunioa, nimechoka kuwa mpweke

    Vigezo rahisi sana ngoja tujaribu kumeza ndoano
  7. Noswerd malila

    Mfupa uliomshinda Fisi hakuna mnyama atakaye uweza

    Ukweli huwa hauwekwi wazi kwa viumbe hawa wenye majina ya ex Kama hukufanikiwa kumwona ktk mahusiano yake ya kwanza mkikutana atamvisha ubaya ex wake na kujifanya mtakatifu hapo ndipo kipengele kitakapoanza ushauri wangu kama utapenda ex wa mtu hakikisha uliwahi kushudia maisha yake ya mahusiano...
  8. Noswerd malila

    ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

    Ni Mungu mmoja ila jamaa akili yake iko kiteknolojia zaidi
  9. Noswerd malila

    ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

    Nyuma ya pazia jamaa anavuta b*ngi sana na anakuja na project ya kuongeza siku za kuishi binadamu labda itokee bahati mbaya upate ajari ndiyo upoteze maisha binafsi namkubali sana yana mambo zake sio haba
  10. Noswerd malila

    Kwanini wanafunzi wa ICT, IT, CS na IS hawatoi proposal mpya?

    Wewe kujifunza kusoma ulianzia wapi kuna umuhimu wa serikali kuuingiza haya masomo kwenye mitaala ya elimu kuanzia ngazi za chini kabisa sio kuja kukutana nayo huko juu
  11. Noswerd malila

    Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Kumwoa kwa hatua zako wewe ni ngumu bali utamwoa kwa hatua zake yeye
  12. Noswerd malila

    Nafsi ni nini

    Habari ya asubuhi wakuu natumaini muwazima wa afya kwa wale ambao ni tofauti napenda kuwapa moyo mtakua vyema na kurudi ktk kusukuma gurudumu la maendeleo Acha niende moja kwa moja katika swali langu nilouliza wajuzi wa mambo naomba kuuliza 1. Nafsi nini? 2. Je Nafsi ktk mwili huishi ndani ya...
  13. Noswerd malila

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Red Bombay
  14. Noswerd malila

    Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

    Umesikika baba very soon utaajiriwa kama mshauri mkuu
  15. Noswerd malila

    Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

    7×0=0 na sio 7×0=0+0 0=hakuna Unaposema 7×0 kwenye sheria ya multiple 7=Wazo na 0=matokeo ya wazo lako wazo lako linapo kutana na 0 haliwezi kuibadili 0 kuwa wazo
  16. Noswerd malila

    Mkojo wa mjamzito: Biashara nyingine ya siri isiyojulikana na wengi

    Natamani kutag mtu humu ila policy hainiruhusu aliniingiza king ila ilifeli jamani tuheshimu wazee wetu kwani kwa akili yangu pekee niliingia king nashukuru akili ya shangazi nikabaki salama
  17. Noswerd malila

    Je, haya matangazo ya kupata fedha au 'bundle' mtandaoni ni kweli?

    Connection mzee mambo sio kaba vizuri tukijumuika wote ktk utafutaji usio kuwa na stress za covid-19
  18. Noswerd malila

    Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Mzeebaba ajiandae kutoka madarakani maana kwa sasa kaconfuse vibaya
Back
Top Bottom