hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,
wadau ninawezaje kudownload drivers za sauti machie ni compaq kwa kutumia serial namba, au kama kuna njia nyingine yeyote ya kudownload drivers naombeni msaada wadau
wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?
nakuunga mkono ndugu yangu uliyetangulia. tuombe Mungu wapatikane wabunge wengi toka upinzani ili washirikiane kuandaa mazingira mazuri 2015. dat will be the death of ccm
Wadau nimeshikwa na binti m1 wa kimbulu. Ananitesa kishenzi nampenda cwezi kueleza tatizo ni kwamba hataki kueleza ukweli kama ana mwingine.mara kadhaa amekua akinikatia cmu akidai kwamba kwao wanamkataza kuwa na cmu. Mbaya zaid ninapokua nae hayupo huru kunieleza ukweli kama ana mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.