Search results

  1. MovingForward

    Mkoa wa Tabora kugawanywa na kuwa mikoa miwili

    Mkoa wa Tabora 76,150 km² hakuna mpango wa kuugawa, Geita 20,054 km² tunagawa Huenda kuna mahali tumefungwa kamba.
  2. MovingForward

    Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  3. MovingForward

    Rais akiliweka suala la wawekezaji kama 'fungulia mbwa', sijui nini kitatokea

    Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtu aliyejipambanua kwa nia ya dhati akihimiza kwa vitendo juu ya miradi ya kimkakati. HAKUNA...
  4. MovingForward

    Mwananchi Digital nao wachapia

    Gazeti la Mwananchi Digital Siku 34 za Dk Bashiru Ikulu, wanasema Balozi Dkt. Bashiru ameondolewa 31 Aprili 2021, jamani editors wa bongo mbona matango mwitu mengi hivi!!!! https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/siku-34-za-dk-bashiru-ikulu-3344494
  5. MovingForward

    Serikali kusaini mkataba wa ujenzi wa Daraja kuvuka ziwa Victoria kutoka Kigongo-Busisi utakaogharimu Tzs bilioni 699.6

    Hatuna muda wa kupoteza baba JPM, piga kazi. Waache wenye kipaji cha kupinga waendelee kukitumia wakati hauna mpinzani.
  6. MovingForward

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Hao wazungu wabebe mabwawa kichwani pao watuletee kama wanayo. Sisi hatuna mbadala tunaendelea na mheshimiwa kutengeneza bwawa la Stiegler alilotupatia Mungu wetu.
  7. MovingForward

    Rais Magufuli, kwa hili la kuwakemea mawaziri mbele ya subordinates unanisikitisha

    Miaka miwili hawajui magari yameingizwa kinyemelela??? Mambo mengine Rais tunamlaumu bure. UZEMBE KOKO WA NAMNA HII haukubaliki hata kidogo.
  8. MovingForward

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    Mbona ni wazi kabisa, upinzani kimya vita ya ufisadi. Kwani hili nalo linahitaji darubini kulichunguza jamani!!! Kila mtu anaona jamani. Dr Slaa alikuwa creative and focussed kuleta agenda zinazogusa wananchi. Hawa wengine kama kipawa chao ni kwenda mahakamani tu.
  9. MovingForward

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Thamani ya mtu haipo katika miaka mingi anayoishi bali yale anayoyatenda. Viva Magufuli. Tusonge mbele, kanyaga mafuta twende!
  10. MovingForward

    Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Mheshimiwa Rais Magufuli anasoma mitandao ya kijamii. Nina hakika ujumbe huu atausoma. Napiga kura ya ndiyo katika wote wanaotambua kosa la jinai kwa kuzingatia sheria ni msumeno kama Magufuli mwenyewe ambavyo amekazana kusisitiza. Hatuwezi kuendelea kuacha mawaziri wakijifurahisha kuongea...
  11. MovingForward

    Simbachawene: Marufuku maafisa Utumishi kuzuia uhamisho wa wanandoa kazini.

    Namfahamu mmoja ambaye anazungushwa mwaka wa tatu!! Kwa kweli inasikitisha mno.
  12. MovingForward

    "Nchi ya Kuviziana"

    Imekuwa kuviziana?
  13. MovingForward

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Nafikiri suala la watalii tunatakiwa tuliangalie siyo tu kwa misingi ya kodi lakini pia athari nyingine chanya kwa ujio wao au uwepo wao (kama ni wa ndani). Ujio wa watalii unaongeza mapato kwenye hoteli zilizopo ndani ya nchi lakini pia wanapokuja huku wengi wanatumika kama njia ya kuvutia...
  14. MovingForward

    Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Ukweli ni kwamba mimi binafsi nimefurahi kupita maelezo kwa uamuzi huu wa serikali. Hizo pesa ambazo wamekuwa wanatukata ni sehemu ya mapato ambayo kwa benki wanayaita Non-Interest Income. Kimsingi yalikuwa ni mapato ambayo taasisi za fedha zilikuwa zinapata bure pasipokulipa VAT. Walizitumia...
  15. MovingForward

    Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

    Hao Clouds TV wakiachwa wawewanafanya mambo ya kumomonyoa maadili wataharibu nchi. Lazima wafuatiliwe, hatuwezi kufuga upuuzi wa namna hii unaachwa urushwe hewani. Lengo lao lilikuwa ni nini? Je! Ni kuhamasisha ushoga?
  16. MovingForward

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Hivi huyo mbunge ni muumini wa dini ya kiislamu?
  17. MovingForward

    Kanali Lubinga: Mwandishi habari ya kuibiwa Kifaru atasimulia tumemshughulikiaje, ukatili hauepukiki

    Watu wanaolenga kuharibu reputational image ya JWTZ washughulikiwe vile inavyotakiwa. Hatuwezi kuendelea namna hii ya watu wanavyotaka kwenda kwa kisingizio cha demokrasia. Demokrasia siyo DOMO-GHASIA lazima tuwe na mipaka. Tena huyo naona wamewahi kumpeleka mahakamani. alitakiwa apitie kambini...
  18. MovingForward

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Endelea kutukana nawe si muda watukanaji wenzio wataanza kukuchangia pesa ili usiende jela!
  19. MovingForward

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Atakuwa ali re-sit mitihani na akafaulu kwa kupata credit. Maana hapo kuingia A-level anahitaji C mbili zaidi.
Back
Top Bottom