Search results

  1. As Salafiyyu91

    Saudi Arabia, Uturuki, kuswali Iddi Jumanne Juni 4, 2019

    Asalam Alaykum warahamatullah wabarakatuh kwa wale ndugu zetu ambao wanafuata muandamo wa Kimataifa siku ya kesho InshaAllah tutaswali Eid El Fitr Hii ni kutokana na kutangazwa kwa muonekano wa mwezi nchini Saudia Arabia vile vile Uturuki na United Arab Emirates nao wametangaza kuwa kesho...
  2. As Salafiyyu91

    VIDEO: RC Mbeya atembea masoko kukusanya mifuko ya plastiki

    Wakuu habari za jumapili, kwanza kabisa nianze kumpa hongera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya hakika wewe ni mfano wa kuigwa katika hali ya kushangaza Mh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameonekana akitembe katika soko la Mwanjelwa akipita Duka mpaka Duka akinadi kwa mwenye mifuko ya plastic aisalimishe kwake, Mh...
  3. As Salafiyyu91

    Geita: Marufuku kwa watumishi kufuga ndevu na kuvaa t-shirt kazini

    Kwa watumishi wote kutoka kwa RS - GEITA ni Marufuku kwa Watumishi wa Umma kufuga ndevu na kuvaa T-shirt sehemu za kazi. Imeelezwa kuwa tabia ya kufuga ndevu na kuvaa T-shirt inaendekezwa na Wanaume huku wakijua kuwa ni ukikwaji wa kanuni za kiutumishi wa Umma Hivyo hatua Kali za kinidhamu...
  4. As Salafiyyu91

    Tanzania: Maandamano yaliyofeli kuanzia mwaka 2015 -2019

    Tangu Mheshimiwa aingie Madarakani kila maandamano yanayoandaliwa dhidi ya Serikali yanashindakana na kufeli umefika wakati sasa Watanzania watumie njia mbadala kuonyesha na kuelezea hisia zao ila kwa njia ya maandamano haitawezekana!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. As Salafiyyu91

    Usitarajie Raha Katika Ndoa Bila Karaha

    1 Usitarajie Kila Kitu Kiwe Shwari Katika NDOA bila Misukosuko. 2 Usitarajie Kushiba,Kuvaa,Kuoga Bila ya Kukosa cha Kutia Kinywani Au Kuvaa Mwilini ni jambo la Kawaida Katika NDOA. 3 Usitarajie Aliyekuoa au Uliyemuoa Awe Mkamilifu Utakavyo Wewe! Bila Shaka Utie Akilini Kwamba Chochote Kizuri...
  6. As Salafiyyu91

    INDONESIA : Wachapwa viboko 22 kwa kushiriki tendo la ndoa bila ya kufunga Ndoa.

    Nchini Indonesia Vijana Wachapwa viboko 22 kisha watupwa jela kwa kushiriki ‘tendo la ndoa’ bila kufunga ndoa. Ni Wanaume watano pamoja na wapenzi wao walitandikwa viboko 22 hadharani kwa kutumia fimbo ya muanzi nje ya msikiti kwenye mji wa Banda Aceh, nchini Indonesia na hii ni baada ya kukaa...
  7. As Salafiyyu91

    Mufti ataka waislam kuomba mvua

    Mufti sheikh Abubakar Zubeir amewataka waislamu kote nchini kufanya swala maalum ya kuomba mvua za heri mufti amewataka waislamu wa taasisi na madhehebu yote nchini kuungana na kuhudhuria kwenye Dua hiyo ya kitaifa itakayofanywa viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Jumapili saa moja na...
  8. As Salafiyyu91

    IRAN: Wanaume wawili wanyongwa

    Nchini Iran Wanaume wawili waliokuwa wanajihusisha na mapenzi ya Jinsia moja ( HOMOSEXUAL) wakamatwa na kunyongwa hadharani baada ya kuthibitika kuwa wanajiusisha na mapenzi ya jinsia mmoja . Ifahamike kuwa Iran ni Miongoni mwa nchi ambazo zinamsimamo mkali dhidi ya watu wanaojihusisha na...
  9. As Salafiyyu91

    Irene Uwoya unachomfanyia Mzee Majuto Mungu anakuona

    Ndugu wanabodi kwanza nitangulize kuomba radhi kama nitakuwa nimemgusa mtu kwa namna moja au nyingine kwa maneno nitakayo yasema kuusu binti huyu Irene Uwoya Hivi karibuni binti huyu alifungua Night Club yake ambayo inauza kinywaji Haramu cha pombe jambo ambalo halifai kabisa na linachukiza...
  10. As Salafiyyu91

    Kenya: Gaidi ktk shambulio la Dustid2 atambulika, familia yake yakamatwa

    Maafisa wa upelelezi wanaofanya uchunguzi kuhusiana na shambulio la kigaidi la DustiD2 wameweza kumtambua mshambuliaji aliyejitolea mhanga kwa kujilipua katika eneo la 14 Riverside. Mahir Khalid Rizik ambaye alikuwa na umri wa miaka 25 alizaliwa katika kijiji cha Majengo jijini Mombasa. Mahir...
  11. As Salafiyyu91

    The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    Ndugu wana JF ikiwa tuko pamoja katika wiki ya majonzi kwa kupatwa na janga zito lilitokea siku ya jana Nchini Kenya naungana na watu wote waliosikitisha na tukio la kigaidi lilitokea katika majengo ya Riverside katika Hotel ya Kifahari ijulikanayo kama DusitD2 iliyopo mtaa wa Westland jijini...
  12. As Salafiyyu91

    MUFTI ZUBERI AZUNGUMZIA MASHEIKH WA UAMSHO

    Sheikh Abubakar Zubeir Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir. MIAKA sita tangu kukamatwa kwa masheikh 22 wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar na kuwekwa mahabusu, Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amezungumzia kwa mara ya kwanza suala hilo. Masheikh waliopo mahabusu ni Farid Hadi Ahmed...
  13. As Salafiyyu91

    TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

    Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki, Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya...
  14. As Salafiyyu91

    Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    Wakuu habari zenu naamini wengi wetu tutakuwa ni wazima na wale wagonjwa tuzidi kuwaombea ili warejee katika hali yao ya kawaida Katika pitapita zangu nmekutana na post moja ikionyesha mchanganuo wa kutumia Laki Tatu kama mtaji wa kuanzia kufugia kuku nikaona sio vibaya nikaja kushare na Nyinyi...
  15. As Salafiyyu91

    Msaada wa Kisheria: Warithi wa kike wanadhulumiwa haki zao za msingi na mtoto wa Nje ya Ndoa

    Ndugu wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tuungane kusoma yanayowasibu ndugu zetu Kuna familia moja ambayo mpaka sasa ina watoto 6 wengine wameshatangulia mbele za haki ambao wamezaliwa na baba mmoja lakin wanne kati yao wamezaliwa na Baba mmoja na Mama mmoja, alafu mtoto...
  16. As Salafiyyu91

    Kweli Dhambi ya Zinaa Adhabu yake ina anzia hapahapa Duniani !!!

    Ndugu wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba tusome kisa hiki kwa pamoja Kuna Binti mmoja aliyelelewa katika Familia ya Dini asema alipofika Sekondari ikawa kuna Kijana anamfuata fuata tena anamuita kwa jina lake! Asema nikawa simtizami wala simuitikii hali ikaendelea hivyo. Mara...
  17. As Salafiyyu91

    Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

    Ndugu Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii kumekithiri Malalamiko ya Vijana Mabarobaro (bachelors) kwamba wanachunwa na Vidada vya Mjini sasa Kero hii imepata ufupumbuzi. Nini cha Kufanya? Chamsingi kwa kijana anayejitambua anabidi atafute Mmoja wa Ukweli kisha amuowe...
  18. As Salafiyyu91

    Makapera mna nini kwani raha hampendi?

    Usiku umeingia, wakubwa kaeni chonjo. Ninataka wamwagia, mvizidishe vionjo. Watoto kujilalia, wakongwe wapewe chanjo. Makapera mna nini, kwani raha hampendi? Kucha mwajikumbatia, baridi linalindima. Maradhi yawazidia, hali ndoa jambo jema. Moyoni mwajililia, mwajitia uyatima. *Makapera mna...
  19. As Salafiyyu91

    Msaada wa Jinsi ya kupata Cheti Kilichopotea Baraza la Mitihani NECTA

    Ndugu Wanajamvi kama mtu ukiwa umepoteza Cheti Cha Form 4 Ukitaka kukipata kingine Baraza la Mitihani Je inabidi uchukue hatua zipi Pili ikiwa Unataka kuajiriwa na unataka Uthibitisho wa kuwa ulisoma Elimu ya Sekondari ya Kidato cha Nne. Je Kuna Udhibitisho wowote unaweza ukaupata kutoka...
Back
Top Bottom