Search results

  1. As Salafiyyu91

    EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    Bora ingekuwa hata 2000 kamili ingetosha lakini kwa bei hii mpya nadhani hakuna mabadiliko yeyote
  2. As Salafiyyu91

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Alikuwepo sawa lakini alikuwa Voiceless lakin sasa hivi yy ndiyo sauti ya mwisho
  3. As Salafiyyu91

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Hao watuhumiwa waliwekwa kizuizini kwa dhulma na mama hataki dhulma we kufa na roho mbaya yako je wale walioachiwa kungekuwa na baba yako ungesema maneno haya?
  4. As Salafiyyu91

    Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Naunga mkono hoja Mungu katutoa kwny mikono ya dhwalimu
  5. As Salafiyyu91

    Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

    Mkuu ulifanya hadi sensa
  6. As Salafiyyu91

    #COVID19 Chonde Chonde: Kwa jicho la kiroho unatafutwa mlango COVID-19 iingie na ipate nguvu

    Mkuu maneno yako mbona yako kitheori zaidi haliyakuwa uhalisia hauko hivi ni bora ukae kimya uwaachie wenye taaluma yao wafanye kazi ww kama ni mhubiri endelee na kazi yako hiyo
  7. As Salafiyyu91

    Kuna yeyote anamfahamu huyu nabii David Stefano Mpanji wa Mbeya?

    Mpanji alikuwa anauza mitumba mwanjelwa maisha yalivyompiga akaamia kwnye uchungaji ambako huduma zake kwa 100% ni zakiganga watu wanatoka vijijini huko wanaenda kukaa kanisani kwake wakisubiri huduma ya matibabu in short huyu jamaa ni mpigani hela tu hana jipya
  8. As Salafiyyu91

    RC Makonda awashutumu watu kumroga ang'atuke, amtusi Meya Jacob kuwa anaumuka umuka kama hamira

    Mkuu hiyo Hospitali inatarajiwa kujengwa eneo gan? Ubungo,Kimara,Mbezi au Kibamba?
  9. As Salafiyyu91

    Wale walio karibu na bosi wa Discount Centre wamfikishie ujumbe huu

    M/Mungu auvunje Mgongo wa huyo Mwanaume ili Watu waepukane na shari itakanayo na mikono yake
  10. As Salafiyyu91

    Makonda ataka majimbo matatu ya Kawe,Ubungo na Kibamba kwa mpigo

    Mkuu uzi wako umekosa mtiririko mzuri wa maudhui haueleweki umekusudia nn ?
  11. As Salafiyyu91

    Kiwanja cha kununua kinatakiwa

    Kama unataka kiwanja maeneo hayo fika RUVU vipo vingi sana maeneo ya RUVU kwenye Soko la samaki vinaanzia 1mil > na umbali wa kutoka Mlandizi hadi Ruvu hauzid 4km
  12. As Salafiyyu91

    Ni lazima kuoa ama kuolewa? Kwanini tusizae tu na kila mtu akaendelea na utaratibu wake?

    Kwaiyo hapo na wewe ndio umeumiza Kichwa ukatafakari kwa undani na mwisho Halmashauri ya Kichwa chako ikatoa nondo hizo? aise kweli kujimwambafy ni Ugojwa mpya unaowasumbua Watz wengi
  13. As Salafiyyu91

    BAKWATA Watoe tamko umri wa mtoto kuolewa

    Kimsingi hii Sheria mpya inayotaka binti aolewe akiwa na umri wa 18 \18+ Itakuwa inawabana baadhi ya Mabinti waliokosa nafasi ya kuendelea na masomo ambalo kundi hili ili lipate salama inabidi liingie kwenye ndoa
  14. As Salafiyyu91

    Sheria ikoje hapa tafadhali nisaidieni

    Kama ni mke wa ndoa mkiachana kisha mkienda Mahakamani mtagawana mali ambazo mmechuma mkiwa pamoja 50/50 lakini mali alizokukuta nazo hazimuhusu ktu vilevile ukiishi na KE miaka 2 Kisheria anahesabika kama Mkeo so naye mtagawana kama Mke wa ndoa
  15. As Salafiyyu91

    Yatokanayo na wizi wa computer za DPP; Mtiririko wa matukio

    Kwa nchi yetu hii bora tu ya Kaisari aachiwe Kaisari mwenyewe cc Wananchi wanyonge bora tuendelee kutafuta mkate wetu wa kila siku maana nani atakaenda "kumng'ata Jongoo wa pale Magogoni"
Back
Top Bottom