Search results

  1. D

    Nasita kuhamia nyumbani kwa wakwe

    KAPEWA ZAWADI KWENYE SENDOFF. HATI IPO KWA JINA LAKE
  2. D

    Nasita kuhamia nyumbani kwa wakwe

    Nimeoa hivi karibuni na wakwe wametukabidhi mjengo kama zawadi. Mwezi mmoja baada ya ndoa ndugu wa mke pamoja na mke mwenyewe wanashauri tuhamie makao mapya tuachane na kupanga. Naona imekuwa ghafla mno na najihisi kama nahamia ukweni vile (wanaume mnaelewa)! Wadau mnasemaje hapa?
  3. D

    Parking fee za jiji la Dar es Salaam ni kweli zimepanda?

    Kuna taarifa za kupanda kwa fee za kupaki magari zinazotozwa na jiji. Wale wadau wa siti senta, kuna ukweli wowote?
  4. D

    Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    Nadhani majibu yafuatayo yanaweza kuwasaidia wale watanzania wasiopenda ushabiki: 1.Ndege hizo si tu hazina mwendo – hata kama hazina mwendo ukilinganisha na ndege nyingine, lakini hakuna ubishi kuwa kasi yake inazidi ile ya basi, treni, au meli tunazotumia achilia mbali usafiri kuwa wa raha...
  5. D

    Wizi wa mafuta BP/Puma Sinza Kijiweni

    Wana JF. Leo asubuhi nimetoka kuweka mafuta BP/ Puma ya Sinza Kijiweni kiasi cha Lita 6. Nimeondoka moja kwa moja kwenda posts ila cha kushangaza gari limenizimikia dar free market. Huu si wizi huo?!
  6. D

    Land for sale

    Sina hakika na kilometa lakini ukienda na gari ni mwendo wa nusu saa kutoka ferry hadi kwenye kiwanja. Harakati za upimaji viwanja eneo hili zinaendelea na karibu na kiwanja kinachouzwa kumeanza kujengwa nyumba binafsi na za biashara.
  7. D

    Kiwanja kinauzwa

    Toangoma - Kigamboni. Kipo karibu na barabara kuu inayounganisha kigamboni na kongowe. Mita za mraba 533. Hakina mgogoro na kipo karibu na huduma za jamii. Bei: Mil 14 - Haipungui. Serious buyers tuwasiliane kwenye PM.
  8. D

    Land for sale

    Serious buyers you can PM me for more information
  9. D

    Hawa SSRA wanatumiwa na nani?

    Hapo kwenye red hakujatulia, hili swala ni kubwa kuliko CEO wa SSRA
  10. D

    Temebelea blog hii

    ha ha ha ha ha
  11. D

    Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

    Kikwete bado ni raisi wetu, zao la maamuzi yetu watanzania, tuache kuwa vigeugeu!
  12. D

    Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

    Acha ayaseme ingawaje nashauri yachukuliwe kama maoni yake binafsi na si ya watanzania wote
  13. D

    Elections 2010 Halima Mdee, unahitajika Igunga

    Hivi wana JF wote ni CHADEMA au ndo anti-CCM?!
Back
Top Bottom