Search results

  1. K

    Mwalimu anayehitaji kuishi karibu na dar

    Ninahitaji mwalimu wa sekondari anayetokea manyoni na angependa kuishi rufiji msafiri sekondari , saa moja nusu kwa coaster toka mbagala ani pm tuongee, uwe unatokea manyoni pekee sihitaji eneo lingine zaidi ya manyoni
  2. K

    Vita ya wachaga na wapare kuandaliwa mwakani, silaha za jadi kutumika

    Katika hali ya kushangaza kampuni moja imejitokeza na kutaka kuandaa vita vya amani kati ya wapare na wachaga. Kampuni hiyo inayomilikiwa na boss mmoja wa kipare iliyosajiliwa nchini Norway inataka vita hivyo vifanyike ili wapare walipe kisasi baada ya mababu zao wa enzi hizo kupata kipigo...
  3. K

    Adam Kingwande wa Swansea City ananichanganya

    Mnamo may 11 wakati ligi kuu ya England inafungwa,mchezo kati ya swansea city na sunderland uliniacha katika mshangao baada ya kukuta jina la mchezaji adam kingwande katika benchi la swansea city. Nilipojaribu kuangalia profile ya mchezaji huyu kwenye mtandao wa espn nikamkuta ni mchezaji wa...
  4. K

    Hatimae yaya toure atua arsenal

    Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa kiungo mshambuliaji yaya toure wa manchester city amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea arsenal. Toure (31) amengia katika mvutano na club yake wiki iliyopita ikisemekana hakuthaminiwa ktk siku yake ya kuzaliwa. Mkataba huo wa siri utatangazwa rasmi mara baada...
  5. K

    Waziri alia bungeni leo

    Waziri mmoja amelia leo bungeni baada ya kukumbuka matusi yaliyotolewa dhidi ya baba wa taifa wakati anahitimisha hoja ya wizara ya watu wenye umri wa kati chini na michezo. Waziri huyo bi fenesi mkaa ngwara alionekana akilia kwa kwikwi na kufuta makamasi yaliyokuwa yakimtitiririka. Hata hivyo...
  6. K

    Jamani nimekwama

    Wana JF nimekwama naomba wale wenye vigezo wanifumbulie. Ninahitaji mchumba wa kuoa lakini bado sijafanikiwa huko mitaani kukumbana na chaguo halisi. Sifa; 1.Awe mweupe 2.Umri 18 hadi 25 3.Hajawahi kuolewa 4.Elimu kuanzia sekondari(kidato cha nne na kuendelea) 5.HIV negative Wenye sifa tafadhali...
  7. K

    Seniour challenge cup

    Vijana wa kili stars wanaumana vikali na the cranes ya Uganda na hadi ninaingia on line dakika chache kabla ya mpira kwisha hakuna mbabe.Mungu ibariki tanzania
  8. K

    Sales Manager

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY -- REGIONAL SALES OFFICER KickStart International is an award winning NGO with a mission to help millions of people in developing countries escape from poverty and to “kickstart” sustainable economic growth. KickStart develops simple money-making tools and markets them...
  9. K

    Jinamizi la soka barani Afrika

    Ni miezi tu imesalia bara la Afrika litakuwa mwenyeji wa mashindano ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa mnamo mwaka 1936 huko nchini Uruguai.Hakuna utata kwamba mpira wa miguu ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani na kwamba ndio mashindano ambayo hufuatiliwa na idadi kubwa...
  10. K

    Kazi Azania Bank Ltd

    Senior Bank Operations Officer Category:Accountancy, Finance & InsuranceLocation:Dar es Salaam, TanzaniaEmployment Type:Full-TimeSummary:Azania Bank Ltd Description:Requirements: A Bachelor degree or Advanced Diploma in Banking, Economics, Accountancy, Finance or Business Administration with...
  11. K

    Simba mfano wa kuigwa msimu huu.

    Jana wadau wa soka walishuhudia timu ya Simba ya Dar es Salaam ikimaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Tanzania bara ya vodacom kwa ushindi wa asilimia mia moja.Simba ambayo imejikita kileleni mwa msimamo kwa kujikusanyia pointi 33 katika michezo 11 imeonyesha dalili za mafanikio tangu...
  12. K

    Stars hakuna jipya

    Kufuatia kuboronga kwa timu ya taifa katika michuano ya kirafiki hoja mbalimbali za wadau wa soka zimekuwa zikitolewa karibu kila siku.Wengi wao wamekuwa mstari wa mbele kupeleka lawama zao kwa kocha Maximo.Ni kweli kwamba kila mtu ana utashi wake kutokana na kile alichokishudia. Swali la msingi...
  13. K

    Papick kutimkia kwao Serbia

    Upo uwezekano mkubwa kwa kocha wa sasa wa klabu ya Yanga Kostadin Papick kutimkia kwao Serbia.Hizi ni habari za ndani mno na siri kubwa ambayo imetolewa na mtu wa karibu sana wa Papick ambaye yupo Afrika ya kusini. Hii ni kufuatia kocha huyo kutakiwa na klabu moja ya daraja la kwanza nchini...
Back
Top Bottom