Search results

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ninatafuta mwalimu idara ya sekondari anayetokea manyoni aje rufiji, msafiri sekondari saa moja na nusu toka mbagala rangi Tatu, uwe unatokea manyoni pekee, ni pm tuongee tafadhali
  2. K

    Mwalimu anayehitaji kuishi karibu na dar

    Ninahitaji mwalimu wa sekondari anayetokea manyoni na angependa kuishi rufiji msafiri sekondari , saa moja nusu kwa coaster toka mbagala ani pm tuongee, uwe unatokea manyoni pekee sihitaji eneo lingine zaidi ya manyoni
  3. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo rufiji msafiri sekondari, saa moja na nusu toka mbagala na along main kilwa road, idara ya sekondari kama upo manyoni, nahitaji manyoni only pm tafadhali
  4. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kubadilishana kituo aje rufiji niende manyoni, pm tuongee Idara ya sekondari
  5. K

    Dr. Slaa ni mpango wa Mungu, kumaliza kero za watanzania zilizodumu kwa miaka 50 baada ya uhuru

    ukawa wanatakiwa wampitishe profesa lipumba au mbatia kugombea urais
  6. K

    Waandishi bora 25 wa Tanzania ni hawa wafuatao...

    acha uchokozi, huyo faiza fox anafanyia chombo gani cha habari?? chuki binafsi tu.
  7. K

    Hii interview ilinifanya nicheke!

    yangu macho:disapointed::disapointed:
  8. K

    Nafasi zilizotangazwa TANAPA

    Hizi kazi hazikuwa public, zilikuwa internal post kwa ajili ya wafanyakazi wao, pole kwa kujihangaisha.
  9. K

    Waalimu ajira

    Mwenyewe mbwa mzee wewe Kaka utamuitaje mdogo wako????? Anyway ajira zipo na ameforecast vizuri pia
  10. K

    Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    Wewe unatuletea Habari za zilipendwa leo, hiyo mwaka Jana bwana
  11. K

    Interview SUMATRA

    Sumatra hawafai nao kama ni kweli hii post.
  12. K

    Wazaramo Nuksi!

    bora hata angemuibia chacha yule mdogo wake marwa, angeishia MOI baadae arudi uraiani bila baadhi ya viungo lakini uhai wake upo
  13. K

    Vita ya wachaga na wapare kuandaliwa mwakani, silaha za jadi kutumika

    Katika hali ya kushangaza kampuni moja imejitokeza na kutaka kuandaa vita vya amani kati ya wapare na wachaga. Kampuni hiyo inayomilikiwa na boss mmoja wa kipare iliyosajiliwa nchini Norway inataka vita hivyo vifanyike ili wapare walipe kisasi baada ya mababu zao wa enzi hizo kupata kipigo...
  14. K

    Shetani mbaya sana huyu

    ungeweka jina la mtandao wenyewe, yaani 071..... au 065......, vijana mmetuharibia kabisa brand name ya mtandao hadi tunaona shida kuutamka.
  15. K

    Manji atinga Uswis, makao makuu ya FIFA

    kwa msisitizo kapiga full yanga juu hadi kisigino, pia anaakili ndefu maana hilo jacket na uswisi ni kitu na box. chezea yanga na manji wee!:A S wink:
  16. K

    Ukwel kuhusu biashara na bidhaa za forever living

    Fanya upembuzi yakinifu kuhusu hiyo kampuni, ulizia pia watu kadhaa ambao unajua wanafanya nayo kazi vinginevyo isijekuwa tatizo kwako baadae.
  17. K

    IPTL Saga: Serikali yamtaka Balozi wa Uingereza kuripoti Wizara ya Mambo ya Nje, Yatishia kumtimua

    katika hali isiyo ya kawaida naibu waziri wa nishati na madini bwana stephen masele amemtaka balozi wa uingereza nchini kujipima na kisha afike wizara ya mambo ya nje kujibu tuhuma zinazomkabili. Balozi huyo anakabiliwa na tuhuma za kuingilia mambo yasiyo mhusu(kidiplomasia). Ametuhumiwa pia...
  18. K

    Political rallies banned until further notice - Kimaiyo

    Political violence and tumours are invading you kenyan through your military police with the shadow of al shabab behind
Back
Top Bottom