Search results

  1. M

    Nahitaji water pump!

    Nakushauri utumie solar water pump
  2. M

    Projector

    Projector inatakiwa. Tupia bei
  3. M

    Coolbox

    Natafuta coolbox inayoweza kutumia Umeme wa gari au solar.
  4. M

    Solar water pump system

    Mpandisho mmoja unamaanisha lita 500 kwa saa au kwa siku? Tank ni la kiasi gani?
  5. M

    Solar water pump system

    Hapa siyo kupigana ndg, ukiridhika na bei unafanya biahara na Mimi. Ziko bei tofauti tofauti zaidi ya 5000. Ili update bei kuna mahesabu yanafanyika baada ya kujua kiasi cha maji ynachotumia kwa siku, eneo ili kujua masaa ya jua, na urefu wa kisima
  6. M

    Solar water pump system

    Ni kweli, inakuwa ngumu kuweka picha kwani system inatofautina kulingana na urefu wa kisima, mahitaji ya kiasi cha maji yanayotakiwa na sehemu mradi ulipo. Ili kujua gharama ni budi nipate eneo mradi ulipo(kwa maana ya kujua masaa ya jua), kiasi cha maji utakayohitaji, na urefu wa Kisima.
  7. M

    Solar water pump system

    He, una Kisima? Unatumia generator? Wasiliana nami 0767276443 ujipatie solar water pump system kwa bei nafuu.
  8. M

    Nahitaji mercury nyekundu

    Wanajua wanaoihitaji kaka
  9. M

    Nahitaji mercury nyekundu

    Basso tuongee kuhusu hii bidhaa
  10. M

    Nahitaji mercury nyekundu

    Nina ndg yangu anaweza kupata. Nipeni utaratibu kinachotakuwa kulinda ubora wake
  11. M

    Gazeti la The African lafungwa kuanzia Mei mosi

    Hahaha, labda lakini kwa aina ya management iliyoko sijui, tuwatakie kila la kheri.
  12. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Hapa kidogo tunaweza kuona kama kuna wawakilishi wenye uchungu na nchi na hasa katika kipindi hiki kigumu ambacho uchumi na maisha ya wananchi yanaendelea kuchimbiwa kaburi na hao waliopewa dhamana ya kulinda na kujenga mali na ustawi wa watanzania. 50M kila taasisi iliyoko chini ya wizara hii...
Back
Top Bottom