Search results

  1. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Unavyoandika unaonekana/avatar kama wewe vile Nashukuruni jamani, kwenye bold hapo ningekuwa na mke saa hizi ningekuwa baba
  2. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Thanks thanks thanks, ile avatar yako unaoneka bado mdogo(samahani lakini) kwa mambo ya ndoa na uchumba au naweza kuzungumza walau neno moja tuu
  3. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Jitose tu, mbali ni mbinguni hata mimi nilikaa mbali kwa takribani 20 yrs sasa nimerudi home nataka kuwowa
  4. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Wewe binti unaoneka ni msikivu na mnyenyekevu sana, wazazi wako wamekulea vizuri
  5. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Asante mkuu niliiweka kimzaha sasa naona imeni back fire
  6. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    hey sorry babs gonna take back ma words
  7. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Asante kwa ushaur, familia kwanza hio uzamivu baadae,
  8. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Niko serious sana, na kudhibitisha hilo kuna member humu wananijua physically na wanaweza kuelezea stutus yangu ya maisha na ninaloomba hapa, kuna Aspirin, Teamo, Fidel80, Rev Masanilo na mkewe mzenji pamoja na ndugu yangu Nguli Jabali
  9. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Mkuu asante, Jamaa yako Mangi Nguli ananitania sana, na umri unasogea, mkuu sikuoni tena salender bridge vipi? Njooni na Fidel na Teamo tupige maji mnipe na mikakati ya kuondokana na huu ukapera Yaani nimejishisi mwenye bahati na furaha wewe ni msichana pekee aliyejibu ombi langu Alimpa...
  10. katt williams

    Hivi wapo mabikra kuanzia 30yrs na kuendelea?

    kwa avatar tu unaonyesha huna bikra zote 2
  11. katt williams

    Upweke unanisumbua wakuu

    Mimi ni kijana mwenye elimu ya uzamili, na ninaf anyakazi katika benki. Sijaoa na siku zinazidi kwenda na ningependa kuwa na familia. Kiumbile mimi ni mpana kiasi, sio menene. Nakunywa kidogo na nimtu wa kupenda kutoka. Natafuta msichana mnene kidogo au wastani, kusema ya ukweli wembambaaa...
  12. katt williams

    Nauliza. Huyu ridhiwani ni nani??????

    Tumekosa ya kujadili?
  13. katt williams

    Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

    Tanga siku hizi mme lost mmebakia maneno tu
  14. katt williams

    Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

    ha ha ha ha ha ha sijawahi kucheka kwenye mtandano kiasi hichi mangi nakupigia muda si mrefu
  15. katt williams

    Wanaume wa JF ni kweli huu ujumbe wa huyu dada?

    Caren, where you at babes?:welcome:
  16. katt williams

    Excting Opportunity for Sales People

    Extremely well paying position available to right person in an international company. Must have sales and marketing experience. Sales trainning a plus. If you have the desired qualifications email your CV to businessforum4@gmail.com
  17. katt williams

    Unamkumbuka huyu?

    ha ha ha ha tena yuko hapa nimemwonyesha picha anajidai hajaiona anaipotezea ila chuda amesimama mtoto ana mgongo balaa. Wapi siku hizi? twende savana leo.
  18. katt williams

    Kama natoka na mumeo...

    Una PEPO kali sana wewe dada. Tena wewe unatakiwa mtu akipata PM kutoka kwako azime computer kabisa itakuja na virus.
  19. katt williams

    Unamkumbuka huyu?

    Nayo picha yake wakulu kutoka ze utamu
Back
Top Bottom