Search results

  1. Mnongane

    Mlio huko Vyuo Vikuu mnasoma sijui Masters na Doctorates zenu zina maana gani wakati hata tusio na Elimu Kubwa EAC tunatunukiwa tu Vyeti ya Heshima?

    Mkuu MbugilaMbugila,mbutwai na mazwazwa hayawezi kukuelewa hata kidogo. Wasubiri thread zao za kuhamsishana kupaka bleach..
  2. Mnongane

    Propaganda iliyoanzishwa ya kuchafua wanaume wenye maumbile madogo inatafuna sana vijana kisaikolojia, vijana wengi wahusika wanakosa confidence

    Yaani.. na vibwawa nao ndio wamepata pa kujifichia.. SASA hivi huzungumzwi ukubwa wa sufuria Bali ni udogo WA mwiko unaotumika.
  3. Mnongane

    Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Hebu vuta picha ingekuwaje kama viongozi vyote mwilini vinaendelea kukua kadri unavyokua. Fikiria kuhusu macho pia.. kuna uume,ulimi NK.
  4. Mnongane

    Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

    We're in sponsor mtarajia.. jiandae kwa Vizinga.
  5. Mnongane

    Picha za ngono na kupenda wanawake watu wazima

    Hebu wekeni hizo picha tuone kama mnasema kweli..
  6. Mnongane

    Waraka mpya kwa wanaume wote

    Tuna wasi wasi na uanachama wako Jitathmini vizuri..
  7. Mnongane

    Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

    Sasa hivi wanakua na ka mtaji ka kukodi gari na 20 or 30k ya mafuta. Ukija kichwa kichwa ndio unapigwa
  8. Mnongane

    Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Wewe ni nani unaempangia Mwenyekiti nani wa kumteua.. Tena unaenda mbali zaidi unampendekeza shemeji yako Jerry Muro kweli?
  9. Mnongane

    Nime vungua shuo sha kufundisa kuzoma

    Mkuu hili darasa lako ni zuri ila itakubidi uende Burundi na Kongo ndio unafanana nao.
  10. Mnongane

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    Dukani? Mshahara 60k? Unataka kuibiwa uwape watu lawama.
  11. Mnongane

    Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

    Muheshimiwa Ararat haipo Palestina wa Israil bali ipo Uturuki
  12. Mnongane

    Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Katika hayo maswali inayojibu biblia nahitaji kujua yesu alikuwa wapi na alikua anafanya nini kipindi ana umri wa miaka 15 hadi 30. Tafadhali wajuzi wa biblia nisaidieni hili.
  13. Mnongane

    Siku binti yako akisoma nyuzi na maoni yako atafurahi au atasikitika?

    Siti ya mbele kabisa kushuhudia wadadavuaji wa hoja..
  14. Mnongane

    Leo taifa linaenda kupata aibu

    Kweli mkuu.. leo tusubiri aibu tu maana hamna namna kwa wala ugali na sukari.
  15. Mnongane

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Mkuu... ungesoma biblia kidoogo ungepata unachohitaji.
  16. Mnongane

    BLACK LIST(UJUMBE WENYE MAUTI)

    Shusha nondo babuu. Tunaanza kupata arosto
  17. Mnongane

    21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Ratiba inayofuata tafdhali mwambieni asinywe tena gongo.
  18. Mnongane

    Nimedumu na mwanamke miaka 3 kwenye mahusiano bila kuona sura yake live hata siku moja katika maisha yangu

    Sasa nimekuelewa kuwa ile ni spesho kwa ajili ya wahindi.. sasa kwanini hujamilizia na kanjibhai?
  19. Mnongane

    Nimedumu na mwanamke miaka 3 kwenye mahusiano bila kuona sura yake live hata siku moja katika maisha yangu

    Mi nilianza kusoma alipofika mara demu kazaa watoto na jini mara nikiongea nae jini anakuja. Kumbe kwenye simu hapo ndipo nikajiona zwazwa kwa kupoteza muda wangu kuisoma. Hivyo kama atatokea zwazwa atakaemaliza atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom