Search results

  1. T

    "Virungu" vimezidi...

    Ndugu zangu habarini? Siku hizi imezuka tabia ya watu kuomba pesa hovyo especially ikifikia mwisho wa mwezi. Yan mtu akisikia una kazi, kila mwisho wa mwezi lazima atengeneze shida. Tunapenda sana kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini tambueni hata sisi tunaofanya kazi tuna yetu. Wengine...
  2. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu. Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu...
  3. T

    Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

    Habarini ndugu zangu? Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio. Msaada please.
  4. T

    Je, unaweza kumshtaki mpenzi aliyekuacha baada ya mahusiano ya muda mrefu?

    Habari zenu waungwana? Niliwahi sikia juu ya sheria kuhusiana na mwanamke ambaye ameishi na mwanaume kwa muda mrefu kimahusiano, kisha mwanaume huyo au mwanamke akamuacha mwenzake baada ya muda mrefu wa kimahusiano. Je kesi hizi Tanzania zipo vipi na unatumia sheria zipi na unaanzia mahakama...
  5. T

    Hapa kuna ndoa kweli?

    Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka. Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si mwaminifu kutokana na mara kwa mara kutafutwa na wanawake wengine baada ya wanawake wa jamaa kufuma...
  6. T

    Eti "Ukiolewa mumeo wako atapata raha sana"

    Wapendwa za mida? Hivi mmeshawahi kukutana na hivi visanga wadada? Una date na mtu anakwambia "Wewe ni mtu mzuri, una deserve mtu tofautia na mimi?". Hujakaa sawa, unatimiza wajibu kama umeolewa vile, kuhakikisha usafi wa nyumba, nguo na mazingira kwa ujumla, mwanaume anajibu "Mumeo atapata...
  7. T

    Msaada: Ng'ombe wangu ameanguka tangu juzi anashindwa kusimama

    Habari wapendwa? Ng'ombe wangu ameanguka toka juzi na hawezi kusimama. Ingawa anakula na anajaribu kusimama muda mwingine. Dkt. amejaribu kumwekea dripu jana ila mpaka muda huu hajaweza kusimama. Msaada tutani wapendwa. Nipo Bagamoyo Kiaraka.
  8. T

    Kwa wanaoijua hii, je ni nzuri?

    Habari zenu? Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni. Sasa nimeshauriwa kutumia Kleenex White, kwa ajili ya ngozi yangu kuwa ni mafuta ya mtu mwenye ngozi ya mafuta mengi na...
  9. T

    Bado kuna malaika dunia hii

    Hamjambo? Ninayoyaandika hapa ni ya kweli na wala maunihukumu jamani, jifunzeni tu maisha yaendelee. Nakumbuka wakati nipo chuo, miaka kama mitatu iliyopita, niliipenda sana jf. Katika purukushani za kuingia na kutoka, nilikutana na mada moja iliyomuhusu kijana mwenye virusi vya UKIMWI ambaye...
  10. T

    Yupo in love

    Habari zenu mabibi na mabwana? Kuna dogo ameniandikia haya akiniomba ushauri juu ya jamaa yake ambaye hawajawahi kuonana. Nami nalileta kwenu tujadili. "Nipo in love mwaka wa tatu huu na mwanaume ambaye hatujaonana hata mara moja. Mimi naishi Iringa bado nasoma chuo naye anafanya kazi Dar. Yeye...
  11. T

    Wanaume uwa mnamiss nini kwa ex mliowaacha?

    Habari zenu? Hii tabia ya wanaume kurudi kwa mwanamke uliyemuacha vibaya na kwa maneno ya kashfa uwa mnatoa wapi? Nakumbuka niliachwa na ex boyfriend wangu kwa kisa ambacho hakieleweki. Nilimpigia simu jioni hakupokea. Nikamtafuta tena usiku nikakuta inatumika nikitegemea ataona missed call na...
  12. T

    Hizi ni dalili za maradhi yapi?

    Habari zenu wanajamii wenzangu? Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex. Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena...
  13. T

    Ex anasumbua sana...

    Habari wana jamii? Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake. Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si...
  14. T

    X ameninunia!!!

    Habari jf? Jamani mimi ni mwanamke ambaye nilikuwa na mpenzi wangu toka 2014 mpaka 2016 ambapo mwanzo tulipendana sana na kujaliana. Mwaka 2016 tuliachana tena aliniacha kwa kunichoka tu kwani hakuwa na sababu ya maana aliyonieleza. Nililia na kupitia kipindi kigumu hadi kufikia kuwekwa chini na...
  15. T

    Huyu x ana nini?

    Habari zenu wanajamii...? Mimi kuna linalonisumbua sana na nina amini humu nitapata ushauri, naombeni sana sana mnishauri kistaarabu kwa wale mliozoea kuharibu na kutukana kwa muda huu mnivumilie mwenzenu nina shida. Mimi ni mwanamke na umri wangu nipo above 25. Miaka kama 3 iliyopita niliwahi...
  16. T

    If loving you is wrong

    Habari zenu wakuu? Wapi nitaweza kupata tamthiliya ya If Loving You is Wrong season 3 na 4? Nimejaribu kudowload bila mafanikio. Msaada please.
  17. T

    Wanaume mkiondoka nendeni moja kwa moja.

    Habari za mida? Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana maisha yakaendelea na nikazoea kidogo kidogo mwenzangu akaenda kwa wanawake wengine kwa sababu tu kuwa...
  18. T

    Aliniacha kwa maneno ya kejeli baada ya kupata kazi, amerudi kuniomba msamaha kwa mabaya yote aliyofanya niko njia panda

    Mu wazima humu naomba niende moja kwa moja kwenye mada mi niliwahi kuwa ba mpenzi ambaye tulidumu kwa miaka mitatu lakini muda wote huo tuliokuwa wapenzi alikua mwanaume asiye na kazi wala chochote. Baada ya kumvumilia kwa yote na kumpenda kwa moyo, akapata kazi na kuniacha kwa maneno ya...
  19. T

    Mapenzi kwa mwingine msaada anakuja kuomba kwangu.

    Habari za leo? Jamani nina tatizo. Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ndiye aliniacha kwa kunichoka sasa amepata mwanamke mwingine. Kupata kwake mwanamke hakuniumizi lakini kinachonishangaza ni tabia yake ya kupenda kuwasiliana nami na kunitafuta kila anapopata shida. Mwanzo nilijitoa kwake kwa...
  20. T

    Kuua bila kukusudia.

    Je mfano A na B ni wapenzi WA muda mrefu. Wakiwa mikoa tofauti, B anapata mpenzi C ambapo anaamua kumjulisha A kwa ujumbe wa simu. Baada ya kupata ujumbe, A anakufa kwa mshituko. Je B atakuwa na kesi ya kujibu? Sharia inasemaje juu ya hili?
Back
Top Bottom