Search results

  1. T

    "Virungu" vimezidi...

    Ndugu zangu habarini? Siku hizi imezuka tabia ya watu kuomba pesa hovyo especially ikifikia mwisho wa mwezi. Yan mtu akisikia una kazi, kila mwisho wa mwezi lazima atengeneze shida. Tunapenda sana kusaidia ndugu, jamaa na marafiki lakini tambueni hata sisi tunaofanya kazi tuna yetu. Wengine...
  2. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Bora kwa mwanaume ambaye si mbinafsi. Yeye akipata hata kidogo anikumbuke. Sio mtu anayeona kwamba kila kitu we ndio mtoaji. Tutoke out, hakuna siku mtu analipa pesa ya hata vinywaji. Tuwe wakweli, ubinafsi ni mbaya sana. Chako changu, changu changu... hapana kwa kweli.
  3. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Tumeongea sana na kujadiliana hata siku ya kutambulishana rasmi. Kila ninapomshauri juu ya kutoka kwao anasingizia hajamaliza maandalizi ya kuhamia kwake. Hii story ya maandalizi ya kuhamia inaenda mwaka sasa. Kila siku hana pesa kwamba anaandaa mazingira. Kipato anachokipata yeye ni pombe...
  4. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Mkuu hilo suala la kurudiana na ex najua sababu nimepunguza mapenzi. Upendo wangu kwake umeshuka sana. Ni mtu ambaye nikijisikia kurudiana naye its just after masaa matatu naweza kudate naye. So hiko sio kitu kinachoniumiza. Najua anafanya hivyo sababu l told him tuachane. So lazima atafute mtu...
  5. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Hivi mkuu umewahi kukutana na mwanamke ambaye anakuthamini na ukiwa mkweli mkafanya maisha pamoja? Ni mimi. Ila mwanaume sawa anapokea kidogo basi kwa hicho kidogo chako nunua hata unga. Hakuna. Vocha ya buku nilimuomba tangu hatujakorofishana hadi sasa haijafika. Kweli hayo mahusiano upo na...
  6. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Mkuu siongei kwa ubaya. Ila huyu jamaa tumepitia mambo mengi sana kuliko hata nilivyoandika. Naona kuna mdau Watu8 ametoa mada na inamuhusu yeye. So mimi nina mapungufu yangu ila hata ukimuuliza yeye, anajua nilivojitoa kwake. Suala la usaliti lilishajokeza hadi naona kawaida. Hata akienda kwa...
  7. T

    Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu. Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu...
  8. T

    Wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima?

    Habarini ndugu zangu? Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio. Msaada please.
  9. T

    Naombeni ushauri wakubwa zangu

    Ukiendeleza hizo tabia mdogo wangu utajikuta unakubuhu na kuwa mdangaji wa kubeba wanaume za watu. Usichukulie advantage ya wanaogombana kwako ndio iwe ponea yako. Kugombana kupo. Ungekuwa mstaarabu ungewapisha waendelee kugombana hadi watakapopata suluhisho badala ya kuwa mchochezi. Ni mbaya...
  10. T

    Kipimo sahihi cha mapenzi ni kuvumilia mapungufu

    Kuna mapungufu yanayozuilika na mapungufu ambayo kiukweli hayavumiliki. Na kuna wengine wanajipa moyo kuwa wakiingia kwenye ndoa mtu ataacha kunywa pombe, au ataacha tabia ya kuwatokea vibinti vya chuo! Tunavumilia na baadaye tunakuwa watumwa. Naona nimekuzoea na pengine siwezi kuwa single, so...
  11. T

    Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

    Wengine tu watiifu lakini nyie wanaume wa siku hizi, tukiwatii mnatufanya ndio kama vile watumwa wenu. Mtu anakukosea unamsamehe, kesho anarudia, unamsamehe. Anazoea na dharau zinazidi. Siku nikiongea, mnasema mwanamke mjeuri. Chukulia maisha yako ni kioo. Kile unachofanya ndicho kioo...
  12. T

    Je, unaweza kumshtaki mpenzi aliyekuacha baada ya mahusiano ya muda mrefu?

    Je unaweza kumshtaki ex wako akulipe fidia endapo mmekaa muda mrefu katika mahusiano kisha akaoa mtu mwingine? Sio kuishi pamoja bali kuwa naye kimahusiano kwa mihadi ya ndoa huko mbeleni.
  13. T

    Je, unaweza kumshtaki mpenzi aliyekuacha baada ya mahusiano ya muda mrefu?

    Je unaweza kumshtaki ex wako akulipe fidia endapo mmekaa muda mrefu katika mahusiano kisha akaoa mtu mwingine? Sio kuishi pamoja bali kuwa naye kimahusiano kwa mihadi ya ndoa huko mbeleni.
  14. T

    Je, unaweza kumshtaki mpenzi aliyekuacha baada ya mahusiano ya muda mrefu?

    Habari zenu waungwana? Niliwahi sikia juu ya sheria kuhusiana na mwanamke ambaye ameishi na mwanaume kwa muda mrefu kimahusiano, kisha mwanaume huyo au mwanamke akamuacha mwenzake baada ya muda mrefu wa kimahusiano. Je kesi hizi Tanzania zipo vipi na unatumia sheria zipi na unaanzia mahakama...
  15. T

    Hapa kuna ndoa kweli?

    Mwanaume ni 32 na binti ni 21. Huyo mwanamke sina hakika ana umri gani ingawa ninajua ni mdogo kwa mwanaume.
  16. T

    Hapa kuna ndoa kweli?

    Mkuu ni mtu wangu wa karibu sana huyu. Amenishirikisha na mwanaume mwenyewe namjua. Tafadhali ushauri wako ni muhimu sana.
  17. T

    Hapa kuna ndoa kweli?

    Ni msichana wa miaka 21 mwenye mpenzi wa kiume mwenye miaka 32. Wapo mikoa tofauti jambo ambalo kuonana kwao inaweza kuwa ni mara moja kwa mwaka. Mara kadhaa msichana amegundua kuwa mwanaume si mwaminifu kutokana na mara kwa mara kutafutwa na wanawake wengine baada ya wanawake wa jamaa kufuma...
  18. T

    Wanawake punguzeni uongo

    Mkuu hilo jambo la kawaida. Kuna wadada wanajiheshimu sana. Hawana mambo ya kurukaruka hovyo. Si ajabu mdada hata akiwa 40 awe akipita na watu wawili tu. Wapo wengi tu ambao anakuwa na mtu mmoja tu au wawili. Ila kuna micharuko nayo mingi uwa inatumia kujificha na kudanganya kuwa ni wawili kumbe...
  19. T

    Eti "Ukiolewa mumeo wako atapata raha sana"

    Wapendwa za mida? Hivi mmeshawahi kukutana na hivi visanga wadada? Una date na mtu anakwambia "Wewe ni mtu mzuri, una deserve mtu tofautia na mimi?". Hujakaa sawa, unatimiza wajibu kama umeolewa vile, kuhakikisha usafi wa nyumba, nguo na mazingira kwa ujumla, mwanaume anajibu "Mumeo atapata...
  20. T

    Msaada: Ng'ombe wangu ameanguka tangu juzi anashindwa kusimama

    Mkuu unaweza fahamu daktari yeyote mzuri unisaidie mawasiliano yake? Nipo Dar Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom