Search results

  1. bona

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Kauli yako ndo inatakiwa iitwe nonsense, waganda hawajaleta bomba Tz kwa sababu wanatupenda sana ni walifanya cost-benefit analysis wakaona wapitishe Tz kwa sababu ni karibu kuliko mombasa na ujenz rahis ni tambarare na pia usalama uku kwetu ni mzur kuliko njia ya kenya, hizo sababu zingekuw...
  2. bona

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    kumbe hata waafrika tunaeza kufa, kumbe hata kwenye joto vinakaa, haya tuendelee na mzaha wetu tuone madhara mengine!
  3. bona

    Hawa jamaa ni kina nani haswa?

    sio hawajilabda walikua wanakuja tatizo ni documentation tu uku kwetu
  4. bona

    Wapi wanatoa nafasi za kazi mradi wa umeme Rufiji?

    sio nafasi za kazi tu hata tenda mbali mbali hawa watu tunasikia mwezi wa 6 wanatakiwa waingie site lakin mpaka sasa hatujui hata ofisi zao ziko wapi ktk mobilisation ukiacha kuajiri watu na kuanza kuwapa training kuna suala la kutengeneza supplier list etc hatusikii tangazo kwa media yoyote...
  5. bona

    Lugola awatangazia vita wanaomkejeli Rais Magufuli mitandaoni

    wafikishwe mbele ya sheria washtakiwe kwa kosa gani?
  6. bona

    Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

    simple facts, South africa kama wazungu wangeondoka mapema kama walivoondoka uku kwetu na wale wangekua kama sisi tu mfano hai ni zimbabwe na nchi zingine za afrika!!! angalia hata america na europe black wana complain tu kila cku kuhusu white supremacy na wao kua nyuma mbona people of asian...
  7. bona

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    hiyo quote yako ya mstari wa kiingereza rekebisha sidhan kama unaleta maana ndugu samahan lakin tunajua lugha za watu izi
  8. bona

    Tanzania yapewa siku 45 kujibu, 'Kwanini matokeo ya urais hayapingwi mahakamani'

    Kama kuna muda ambao watanzania wanatakiwa waungane kupata katiba bora ni sasa katiba inaihitajika kua makin ni kipindi hiki kuliko vipindi vyote toka nchi hii imepata uhuru maana presha ya kutumia bad laws na kuzitunga zingine imekua kubwa sana nyingi ya hizi bad laws zilikuwepo lakin hazikuwai...
  9. bona

    Ipo haja ya kupunguza idadi ya simba kwenye mbuga za wanyama

    hakuna mnyama nisiye mpenda kama fisi huaga na enjoy sana kuona video ya male lion akimuua fisi(hyena)
  10. bona

    Ili mtoto wako awe na akili nyingi mlishe sana samaki

    watu wa zenji na kule mtwara na kilwa na tanga si wangekua na akili sana basi?
  11. bona

    Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

    nimelipia toka jana iyo elf 20 na msg kutoka tigo pesa imekuja ila mpaka sasa iyo msg ya kwenye system sijapata na ukipiga tigopesa wanasema wao kazi yao ishakamilika muamala hauko kwao sasa sijui nafuatilia wapi kutokea apo au ndo nmb au uhamiaji au niendelee kuwait tu...... na hamna namba ya...
  12. bona

    Ukraine wants Russia held to account over MH17 downing

    poroshenko is western puppet installed to poke at putin by obama administration but now that putin is friend to trump this idiot poroshenko has been left with no straw to craw himself to safety it s a matter of time before he get his ass kicked he turned ukraine into failed state
  13. bona

    Mortal kombat X for android APK

    Anybody with a proper link to download cracked version ya hii game without rooting my phone, nimepata link kadhaa ila imagine una download more than 1 GB alafu mzigo haufunguki au unakua famba! au mwenye patch yoyote ya kupata unlimited coins and souls.
  14. bona

    Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

    subirin watu wa kanda ya ziwe waishe kwanza ndo zoez litasimama!!!
  15. bona

    DAR: Yericko Nyerere akamatwa akiwa nyumbani kwake. Wachukua simu na laptop

    yaaan sirro anaanza na yericco badala ya jamaa wa kibiti?
  16. bona

    Uzalendo haulazimishwi

    tupo kwenye soko huria haya mambo watachemsha tu alafu hawa wasanii wanazifd kufuka wanakuja mleta mtu ambaye anachukiwa na watu ktk jamii ndo aje kutubembeleza kununua hayo ma cd yenu!
  17. bona

    Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    nackia kuna kambo za al shabab huko hao wanaouawa sio kisiasa ni wale wanoedna kureport au kuonekana wana kihere here cha kutoa taarifa za uwepo wa al shabab nackia wana makambi huko maporni wanajiimarisha only time will tell wakishakua na jeshi kubwa watafanya nn au mpango wao ni upi sielew kwa...
  18. bona

    Jinsi ya kumpendekeza Maxence Melo kwenye Tuzo ya Human Rights Tulip

    hapa mtakua mmefanya la maana kila mtu atapiga editing yake
Back
Top Bottom