Search results

  1. husseyn bakary

    Transfer Pricing Expert and CPA (PP) are urgently Needed

    Habari za muda huu; Kama kuna mtu ana CPA (PP) anahitajika Pia Kama kuna mtu ni expert wa kutengeneza Transfer Pricing Policies anahitajika haraka zaidi. Please contact me via: hu_ba@ymail.com Na pia utanitumia na namba yako ya simu. Ahsanteni.
  2. husseyn bakary

    Natafuta Dereva wa Uber, hesabu kwa wiki ni 175k hadi 180k

    Dereva wa Uber anahitajika mwenye uzoefu. Hesabu ya wiki ni 175k hadi 180k. Aliyetayari anitafute kwa namba hii 0620 561 857. Gari atakayokua nayo ni Vitz New Model, haili mafuta cc990 tu, . Kazi kwake..
  3. husseyn bakary

    Part time Tax Consultant available..

    Anapatikana Dar and even kwa mikoani pia its just a metter of making arrangements
  4. husseyn bakary

    Part time Tax Consultant available..

    Dear all. The experienced tax consultant is available but on part time basis.. He has 3 years working experience in reputable audit firm and has been proving good performance in many complex tax assignments. He is good and well in the following areas: . Computation of Corporate Income Tax ...
  5. husseyn bakary

    Senior Tax Advisor-Looking for a part time Job.

    Hello!! Stil need tax consultant? If yes contact at hu_ba@ymail.com
  6. husseyn bakary

    Payroll Sheet for Sale

    Ni advanced excel format
  7. husseyn bakary

    Payroll Sheet for Sale

    Habar zenu wanachama wa JF. Nina habari Nzuri kwa wote wanaohitaji Payroll calculator/ Sheet kwaajili ya kukokotoa mishahara ya wafanya kazi yenye sifa zifuatazo : 1. Iko updated katika PAYE rates, NSSF, PPF, WCF, na SDL 2. Ni rahisi kutumia. 3. Ina uwezo wa kuweka data za wafanya kazi hadi...
  8. husseyn bakary

    Tax on rental income

    Dah, am just helping you because umeleta uzi hapa kwa wanajamii but next time u have to pay for this consultancy service: Ok lets come back on the issue: Tax on rental income iko hivi kama ifuatavyo: huyo mapangaji anatakiwa akate kodi ya 10% (rental withholding tax) immediately kwenye hyo...
  9. husseyn bakary

    Expatriate Taxes in Tz

    Can anybody advise if expatriates are required to pay taxes in Tanzania. I have no idea about this.. Give in brief what kind of business is that expatriate doing, but generally the type of tax which that expatriate is going to suffer is Withholding tax.
  10. husseyn bakary

    Trainings za Audit firms

    Sawa mkuu, nitakua zaid ya muadilifu kwa muajir na serikali pia..
  11. husseyn bakary

    Trainings za Audit firms

    Poa mkuu ntakua tu mvumilivu
  12. husseyn bakary

    Trainings za Audit firms

    Thanks brother ...
  13. husseyn bakary

    Trainings za Audit firms

    Habari zenu wanajamvi. Kwa anaefahamu trainings za Audit firms hua zinakuaje, yani kwa mfano mtu ni graduate ana ka'degree chake tu cha Taxation, then aka'apply job kwenye hizi audit firms, then wakamwambia atapata trainings kwa miezi 6 then watamuajiri rasmi na kwa kipindi chote hicho cha...
  14. husseyn bakary

    I am thinking about cheating on him

    Do u think ukishachepuka ndio roho yko itaridhika!?? Thats not a solution, we muite mwenzio muongee yaishe! Alaahh
Back
Top Bottom