Search results

  1. The Businessman

    Naombeni nyimbo za 'New life Band-Arusha'

    Nazitafuta sana hizi nyimbo za hii band. Mwenye nazo naomba, nimejaribu kuzigoogle hazipo. You tube zipo walizofanya 'live' jukwaani mimi nataka Original zao. "Mji ule unameremeta umepambwa maua"
  2. The Businessman

    Raba mbaya kama hii eti $ 98

    Hii Raba ukiniletea hata bure sipokei inauzwa $98 yaani unapata Safari boot mpya kama nne. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. The Businessman

    Kuepuka vifo na Magonjwa ya moyo toa taarifa unaporudi nyumbani

    Kuna msemo unasema usimuwekee mitego mingi ya kumfumania kama unajua huwezi kumuacha na unaipenda afya yako. Mtu ulikuwa safari lakini unarudi nyumbani bila kusema Leo narudi , nini lengo ? unataka umfumanie? Umeenda kazini unarudi hutoi taarifa kuwa uko njiani , nini lengo? unataka ujue...
  4. The Businessman

    Mliowahi kufika America hawa Blacks American wanatuchukuliaje Waafrica?

    Iwe kwenye mahusiano au Masomo, mkifika huko wanatuonaje? Maana nilisoma kwenye RAIA Mwema kuna jamaa alienda kwenye vijiwe vyao anasema ni heri angekutana na Mzungu kuliko Black America.
  5. The Businessman

    Je, kuongea umekunja ngita ndio kumaanisha?

    Nauliza wakuu, Mtu anazungumza na watu huku uso wote amekunja je ndio kuonesha msisitizo au ni tatizo la kisaikolojia linaloendana na hasira?
  6. The Businessman

    Kwa Wavaaji Palladium boot: Naomba kufahamishwa Palladium boot original na fake zikoje

    Nilinunua hizi boot hazijafunga hata miezi sita lakini zimekwisha chanika na huwa zisichoshi sana kusema ndio maana zimechakaa ila nimeambiwa nitakuwa nilinunua fake, nimewauliza fake na original zikoje hawajui! Wavaaji mnisaidie maana ndio boot zangu nazopendelea.
  7. The Businessman

    Kiukweli Wanaume tuna shida na ndio tunaoongoza dhambi ya kutamani

    Unakutana na "Scania" tena uko na mke wako huku ukiiangalia kiwizi wizi kama una afya nzuri na lijari lazima upate mfadhaiko na utaishia tu kusema Mungu Fundi. Aliyeimba "wanaume tumeumbwa mateso" hakukosea kabisa! Na kama huna hii dhambi ya "usitamani mke wa jirani yako/asiye wako" basi...
  8. The Businessman

    TCRA hizi meseji za matangazao ya makampuni mbalimbali ni zaidi ya usumbufu hatuzihitaji

    Nimekuwa napokea hizi meseji zaidi ya kumi kwa siku nikizani ni za maana. Mbaya zaidi wengine tunakaa na wazee ambao hawajui kusoma, Mzee anakuja kukugongea usiku wa manane(maana hata huo muda zinatumwa tu) akizani ni meseji ya msiba unamfungulia unakuta sijui mganga kafanyaje sijui mara sijui...
  9. The Businessman

    Nimeipenda hii: Kaambiwa na mzazi mwenzie aandae mbegu hataki kuzaa na mtu mwingine

    Huyu ni binamu yangu ambaye tayari ameoa na ana familia, Sasa juzi alikuwa ananisimulia kuwa mzazi mwenzie ambaye alizaa naye mtoto mmoja (kike miaka 6) ambaye ndio alikuwa wa "ujana" wake amemwambia aandae mbegu anakuja (Yeye anaishi Dar na hajaolewa ) wamtafutie P mdogo wake maana yuko mpweke...
  10. The Businessman

    Tundu Lissu acha kujibizana na Lemutuz, mpuuze tu

    Wasalaam, Nimeona majibu ya Tundu Lissu kwa 'King of all social network' Lemutuz na majibu ya Lemutuz kwa Tundu Lissu kwa kile kinachoitwa 'Urafiki' , Ushauri mkubwa kwa kaka Tundu Lissu ulivyomjibu inatosha na achana naye huyu sio saizi ya kujibizana na wewe naona anaforce 'kaurafiki' kwa...
  11. The Businessman

    Wakatoliki tuache kuhama kwasababu ya kutafuta faraja, vituo vya Karismatiki vipo kwaajili hiyo

    Amani iwe kwenu, Kumekuwa na watu wanashawishiwa kuhama kwenye Ukatoliki na kwenda kwenye "vikundi vya dini vya kitapeli" na kuambiwa huku ndio mtapata faraja na maombezi. Maana kumekuwa na vikundi vinapita nyumba kwa nyumba na ukisema wewe ni Mkatoliki ndio watakuganda hapo mpaka ufanye...
  12. The Businessman

    Yule Bwana hana mix ya humility na Intelligence inayotakiwa kuongoza nchi

    Ukiwa na humility kubwa na intelligence kubwa hiyo ni best mix(Nyerere) Ukiwa na humility kubwa na intelligence ya wastani , unaweza kusaidiwa kuongoza nchi.(Mwinyi) Ukiwa huna humility na una Intelligence kubwa unaweza kuendesha nchi .(Mkapa) Ukiwa na humility ya wastani na Intelligence ya...
  13. The Businessman

    Kurudia mtihani ni kuendeleza ujinga, nendeni vyuo vya kati

    Utakuta kijana kapata div 4 matokeo ambayo anaweza akaenda chuo cha kati lakini ananga'ng'ania kurudia mtihani mbaya zaidi anarudia hata mara tatu na anakosa alichokuwa anatafuta, hafikirii muda aliopoteza angekuwa wapi? Nia yake aende Advance halafu anakwenda kusoma HKL baadaye...
  14. The Businessman

    Mtandao wa Facebook 'unatuvua nguo' wengi pasipo kujua

    Facebook ni mtandao ambao umetukusanya Watanzania wengi ambao baadhi yetu elimu inayohusu masuala ya privacy hatujaipa kipaumbele au hatujui tufanye nini ili kulinda masuala yetu binafsi. Unakuta mtu masuala ya kifamilia anayaandika facebook, hampendi ndugu yake fulani anaandika Facebook na...
  15. The Businessman

    Natafuta anaeuza shamba lenye miti ya mbao liwe Mafinga au Njombe

    Wasalaam, Natafuta anaeuza shamba la miti ya mbao kuanzia ekari 5 mwenye nayo ana PM
  16. The Businessman

    Natafuta hekari 15 za kukodi ziwe ndani ya Wilaya ya Kilolo kwa ajili ya vitunguu maji

    Wasalaam, Husika na kichwa cha habari hapo juu, aliye nazo au anajua ambae anazo ani-PM.
  17. The Businessman

    Nchi ya Usi aliyoishi Nabii Ayubu ilikuwa ipo eneo gani hapa Afrika?

    Wasalaam wana Intelligence, Katika kitabu cha Ayubu 30: anasema "ngozi yangu ni nyeusi ila yanitoka" mstari huu unatupa picha kuwa Nabii Ayubu alikuwa ni mweusi bila shaka hata watu wa nchi hiyo aliyoishi Ayubu walikuwa ni weusi! Swali nchi hiyo ya Usi aliyoishi Ayubu ilikuwa eneo hapa Afrika?
  18. The Businessman

    Je, Redio Free Africa na Kiss Fm zitasimama tena?

    Wakuu wasalaam,[emoji113] Nilikuwa nimeketi nasikiliza RFA , nikarudi nyuma kukumbuka jinsi ilivyokuwa maarufu miaka ya 2007 kurudi chini. Nikakumbuka kila nikipita mtaani jioni ile watu wametune Kiss Fm wakimsikiliza Dee 7 wa African Beats pembeni yake wakiwapo Shalbano, Dj Malizy na Dj jeff...
  19. The Businessman

    Mwanamke ulioolewa kupost mapicha mitandaoni ukiwa peke yako haipendezi

    Wasalaam, Huu ukweli mchungu na wala sio mfumo dume bali ni ustawishaji mmojawapo wa ndoa. Mwanamke ulioolewa (sio cellebrity) kupost post mapicha kila mara mitandaoni huku ukiwa peke yako umebinua binua makalio haipendezi na wala haileti picha nzuri. Kupost post hivi unawapa watu taarifa...
  20. The Businessman

    Hotuba zote za Marais waliotangulia zimetawaliwa na neno 'Tu' na 'Ye' na sio 'Ni' na 'Ya'

    Wakuu, Nilikuwa napitia hotuba za maraisi waliotangulia nimegundua katika hotuba zao kumetawalia zaidi na maneno 'Tu' na 'Ye' yaani walikuwa wanazungumza kama 'timu' yaani "Tutahakikisha....Katika Serikali yetu ..Tutafanya hiki...Tutaleta hiki ...Tutajitahidi n.k " Kulikuwa hakuna maneno ya...
Back
Top Bottom