Search results

  1. J

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Unaona sasa. Tukisema , oooh hamna adabu !! mnawatukana wazee !! Lakini mambo yote yako wazi. Hapa tunakwenda Ki-ushikaji. Kama hauko na sisi ........ Utaji......
  2. J

    Ni lazima nafasi nyeti zichukuliwe na "wastaafu"?

    Haraka haraka utaona kama ni kulipana fadhila kweli. Lakini mbona wakongwe hawa walikuwa watu wazito sana kabla hawajastaafu mwanzoni ????. Halafu tunaambiwa watawekwa madarakani vijana zaidi siku za usoni!!!. Watatoka wapi, wakati hawana nafasi ya kupata uzoefu ???. Hapa tunadanganyana...
  3. J

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Sina hakika sana na haiba ya Sofia Simba, lakini nashawishika kuamini kuwa, si mwenye maadili mema amekaa kiswahili mnoooo. Hata sijui wamemtoa wapi huyu hata akawemo kwenye mtandao ???
  4. J

    Hitaji Kuu la Tanzania: Msukumo (Inspiration)!

    Hitaji la Tz sio msukumo maana hakuna msukumaji. Unahitajika moyo wa UZALENDO , yaani mapenzi ya dhati kabisa kwa TAIFA. Mtu wakati wote anachokiwaza kiwe ni kwa ajili ya TAIFA. HILO NDILO LILIKUWA LENGO LA AZIMIO LA ARUSHA. Tofauti na hapo ni UBINAFSI hatimaye RUSHWA na baadaye UFISADI
  5. J

    Upendeleo kwa wanawake

    Sera hii iliyoshikiwa bango na CCM ndio ninayotaka kuijadili hapa kwa nia ya kuonyesha jinsi inavyohitaji umakini mkubwa katika kuitekeleza. Yakifanyika makosa, nchi itaingia matatani kwelikweli. Hebu tuchukue mifano michache ambayo inaweza kuchukuliwa kama mwongozo wa kufanya maamuzi...
  6. J

    Hodi, waungwana mu wazima ?

    Naomba nijumuike nanyi katika kazi hii adhimu ya kukumbushana wajib, majukumu na haki zetu kama waTz bila kuoneana haya ili jamii isijelia na kusaga meno kwa kunyamaza kwetu
Back
Top Bottom