Tarangire yakabiliwa na Simba wajane, yatima
Na Daniel Mbega, Iringa
HAWAFI kwa Ukimwi wala malaria, lakini Simba madume wametoweka katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Matokeo yake wameacha wajane na yatima.
Hifadhi nzima kwa sasa ina Simba dume mmoja tu, wawili wengine walikimbia baada ya...
Nimeipata sasa hivi hii wadau, naomba tuijadili...
Na Daniel Mbega, Iringa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamisi Sued Kagasheki, amepuliza kipenga. Kilichobaki sasa ni kwa wachezaji kushiriki kikamilifu kupambana na ujangili, kwani mambo yameoza na yanahitaji kusafishwa.
Akizungumza...
Wadau, ni muda mrefu nimekuwa msituni, hongereni kwa kazi nzuri. Ninapenda sana historia, hasa inayotuhusu Waafrika.
Natambua kwamba Chifu Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (Mkwawa) ndiye mtawala pekee wa Kiafrika aliyepigana na wazungu akawashinda. Pamoja na tukio hilo la kihistoria, ambalo...
Na Mwandishi Wetu
VIJIJI nane kati ya 21 vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori katika Tarafa za Idodi na Pawaga (Mbomipa) vimetishia kwenda mahakamani kupinga mikataba ya uwekezaji inayodaiwa kuwa mibovu.
Vijiji hivyo nane vinadai kwamba, mikataba hiyo imetandwa na mazingira ya ufisadi...
Wadau, taarifa nilizozipata punde ni kwamba, Mkurugenzi wa zamani wa TBC, Dunstan Tido Mhando ndiye amelamba ajira ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications limited na kwamba anatambulishwa rasmi kesho Ijumaa.Mhando anachukua nafasi ya Sam Sholei aliyemaliza muda wake mwaka jana.
Wakuu,
Nafahamu yamekuwepo mapendekezo mengi kuhusu mabadiliko ya Katiba ya JMT. Hata hivyo, mapendekezo yangu (ambayo naamini yamekwishatolewa mara kadhaa) ni kwamba, kipengele kinachompa kinga Rais asishtakiwe akiwa madarakani (au baada ya kutoka) kifutwe kwa sababu zifuatazo:
* Kuanzia...
Wengine hatulijui jamani, mtusaidie ili hata huku ng'ambo tuweze kulitumia. si mnajua ni vigumu kuondoka na hela nyingi kwa mama au hata kwa jaluo obama.
Hii kali jamani. Huyu mama si aliwahi kutuhumiwa kujimilikisha kiwanda kule Igoma, Mwanza na kujenga sekondari yake? Hakika wanajidanganya wenyewe hawa na watakuwa kupigwa makofi na shetani siku moja kwa kumchezea Mungu.
Angalieni, mtu asiwadanganye. wengi watakuja kwa jina langu, watatoa pepo...
Habari wakuu. Natambua watanzania wengi wanaumia kutokana na kukosa huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari. Tunahitaji kujikumbusha, na ninaomba msaada wenu kwa faida ya walalahoi wenzangu/wenzetu, mwenye kumbukumbu nzuri hivi tangu mwaka 1995 mpaka 2012 kumekuwepo na migomo mingapi? - Ya...
Mkuu Ng'wanangwa hujanielewa. Ndiyo maana nimesema kuna taarifa ya kununuliwa kwa vijiji kule Songea, kama ningekuwa na detail zote ningezimwaga. Naamini wapo wadau ambao wanalielewa suala hili, hivyo si vibaya kuchangia.
Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina atujuze wandugu.
Huyu ndiye baba mzazi wa binti mzee Joachim Louis. Haya si majungu.
Kuhusu kubadilika, jamaa hajabadilika kabisa, vinginevyo asingeweza kumfanyia kitu mbaya Mhindi kwa kumtuhumu kummega mkewe mwaka 2008.
Jamaa ni noma, hata wadogo zake nao ni viwembe kweli kweli na wanawafanyizia wanawake wa...
Alipelekewa taarifa hizi mapema akasema yuko bize.
Bosi wa TGNP naye alipelekewa pamoja na ushahidi mwingine, hawajafanya lolote zaidi ya kumwahidi source kwamba wangewasiliana naye.
Ni upuuzi mtupu kwa taasisi hizo ambazo ziko kimbelembele kupigia kelele unyanyasaji lakini zinapopelekewa...
Aeshy Khalfan Hilary ana miaka 38, alifukuzwa shule kidato cha pili akahamia shule gani sijui (wadau wataongezea). Alikuwa kwenye kikundi cha wahuni kilichokuwa kinajihusisha kuvuta bhangi, kutukana walimu na kubaka wasichana.
Mfanyabiashara wa sukari ya 'magendo' kutoka Zambia, na huko...
Wadau, this is very very serious.
Nakumbuka wakati fulani mwaka jana kuna mwandishi wa gazeti moja aliwahi ku-uncover vitendo vichafu vya aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) ambaye kwa bahati 'nzuri' sasa ndiye mbunge rasmi baada ya matokeo yale 'kuchakachuliwa'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.