Search results

  1. B

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Tangazo la Philips ndio yenye we sauti safi sauti kubwa
  2. B

    Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Watumishi hewa hawalipwi safari hii
  3. B

    Msichana ajifungulia chooni katika Hospitali ya Amana

    Kama amepata mimba akiwa na miaka 16,ameaanza ngono akiwa na miaka 9
  4. B

    Vifungo Kukaa Kulia na Kushoto

    Hata maumbile yapo tofauti,ukimuona shoga ni sawa na umemuona mwaname alie vaa vifungo upande wa kushoto
  5. B

    Ni nani mtu wa kwanza kusema hallo katika simu?

    Huwa naanza na habari yako
  6. B

    Ndege kubwa zaidi duniani kuanza kufanya kazi soon

    Antonov ndio ilioleta mitambo ya Richmond hapa Tanzania, ni balaa
  7. B

    Mange awalipua wauza unga

    Unga unahitaji ushilikishwaji wa jamii kwa ujumla ili kuutokomeza, hao wakina chid watu walikua wanawaona tangu mwanzo lakini sasa wanashangaa mazara yake kanakwamba mwanzo hawakujua
  8. B

    Kitengo cha magonjwa ya mlipuko Musoma vijijini, watu wanaangamia kwa kipindupindu

    Ugonjwa wa kipindupindu unatokana na mtu kula mavi mabichi, mtu huyo atatapika na kuhara sana kwa mda mzuri, hivyo hupungukiwa na maji mwilini na kuishiwa nguvu msipo muwahi hupoteza maisha. Hii hitaji watu kutoka halmashauli, hamka usafi unahitajika
  9. B

    Hivi hili suala la kubana matumizi ya Serikali lina mipaka?

    Samahani lkn magari hayo uliyoyataja yanaumuhimu kushinda unavyowaza, na ndio dunian ya leo hauwezi kiongozi ukampa mgongo wa chura au land rover 109,kisa kubana matumizi. Kwa mawazo uliyonayo hata suti utasema anasa
  10. B

    Lowassa amkana Mwapachu

    2020 mbali!
  11. B

    Kwanini MASHOGA wengi hupenda kufunga Kifungo cha juu cha Shati?

    Hivi kuna mausiano gani kati ya shoga na mwanamke? Mbona mashoga wengi hupenda kuiga rafudhi za kike na wengine hata kutembea wakati wanamatumizi tofauti
  12. B

    Kifurushi cha 12,000/-Azam tv

    Azam Azam Azam ni shiiiiiiiijda
Back
Top Bottom