Search results

  1. Tutafika

    Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

    Umeongea vizuri. Sasa tuambie, ENZI ZA UTOTO WAKO ULIFUNDISHWA KUPIKA? au ulijifunza mwenyewe na ukajua? Je, unahisi watoto wa kiume ambao hawawekewi ratiba za kupika nyumbani hawatajua kupika michemsho kama yako? Ukiyajibu haya kwa uaminifu utakua umemuelewa mtoa mada
  2. Tutafika

    Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Blood suker = Imperialists
  3. Tutafika

    Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

    India ingekua Nchi MASIKINI?
  4. Tutafika

    All good men are married, so sad

    Nakushauri zaa nae huyo unaempenda. Usidanganye mtoto wa mtu hapa akajitokezaakakuoa wakati moyo wako uko kwa huyo baba mume wa mtu. Mtaendelea kuwa wapenzi na huna uwezo wa kumuacha hata ukiolewa.
  5. Tutafika

    Where is Kenya Kwa list??

    Labda tuwatafute kwenye "Top 5 list of most corrupt countries in Africa"
  6. Tutafika

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Msameheni Prof, njaa haijawahi kuruhusu ubongo kufikiri. "Hapa Kazi tu" inaendelea, tunasubili ndege 3 tushalipia kabisa
  7. Tutafika

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Maisha bila furaha hayana maana. Mke mkubwa alishafeli kukupa furaha kabisa. Endelea kutafuta furaha duniani, ila usiwekeze moyo wako wote utaumia tena.
  8. Tutafika

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Kuna rafiki yako alikuambia kwamba huyo mwanamke ni Primitive muache ndio alikuzibua masikio. Mtafute huyo mtu atakupa ushauri wa maana kuhusu hiyo nyumba
  9. Tutafika

    Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

    Sera za Lissu; 1. Kuchunga mifugo kwenye hifadhi za taifa 2. Kuweka rehani migodi ya madini ili kupata hela za kufanya maendeleo 3. Kuruhusu ushoga 4. Kutohoji mikataba ya madini kwasababu wazungu watatushtaki 5. Kuachana na uenjenzi wa miundombinu sababu maendeleo ya vitu sio muhimu. (nadhani...
  10. Tutafika

    Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

    Sababu ni moja tu ya msingi. Kenya wana bandari moja tu ambayo mizigo yote inapita, tanzania tuna bandari kubwa 4. tukikusanya mizigo yote tukapitisha dar es salaam haitashikika Africa nzima
  11. Tutafika

    Tanzania has the lowest IQ in East Africa

    You always wish to be a Tanzanian. Super Nation, Super Breed, High IQ. We drive you neighbours
  12. Tutafika

    Mkuu wa KDF azungumza kuhusu uongozi

    Dah...we mtu umenichekesha sana
  13. Tutafika

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Soma tena hiyo habari ya BBC uniambie umeona wapi kitu kinaitwa UPDF au kitu kinaitwa kuzuia watanzania kuingia. Au hauelewi maana ya unregulated cross border movement? Hii hata bila corona hairuhusiwi.
  14. Tutafika

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Ongea vitu current acha kuleta habari za May. As of now hakuna chochote mpakani mwa tanzania na Uganda. We are friends na usijaribu kuhamisha chuki.
  15. Tutafika

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kenya mnachotaka kwetu hakijulikani. Ambao wana cases nyingi za Corona mnawaruhusu. Ambao wana cases kidogo mnawaruhusu. Je, mnataka tukipima iwasaidie nini? Inahitaji akili ndogo tu kujua kwamba tatizo sio Corona. Mnatimiza masharti ya kupewa mkopo, na hili litawaaibisha miaka mingi sana...
  16. Tutafika

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Kama wanatibiwa kwa uhakika hao 1,300 waliokufa ilikuaje wasipone?
  17. Tutafika

    Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

    Mpaka sasa hakuna taifa linalojitambua mbele ya Corona
  18. Tutafika

    Wazungu na waafrika ni viumbe hai tofauti kabisa wenye DNA zisizofanana

    Ingieni Youtube, search " Black Inventors" hamtarudia kuwaza ujinga huo mnaoongea!
  19. Tutafika

    Wazungu na waafrika ni viumbe hai tofauti kabisa wenye DNA zisizofanana

    Soma historia vizuri... Ford aliiba kazi ya mtu mweusi. Mtu mweusi ndio engine ya ugunduzi wa vitu vingi sana mpaka Kompyuta
  20. Tutafika

    Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

    Duniani kuna maajabu. Watanzania tumebarikiwa kupata Rais tulienae na Wakenya wanalijua hili lakini nashangaa watanzania hawatambui hili. Kweli nabii hakubaliki kwao
Back
Top Bottom