Search results

  1. Anotherperson

    Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

    Iundwe sheria ya ku-name mali za serikali sasa mana huu ujinga kujiamulia tu baada ya kushiba maharage
  2. Anotherperson

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Zege ya lenta ya nyumba ya kawaida kwa kutumia cement za 32.5 inaweza kuwa kwa ratio gani mkuu
  3. Anotherperson

    Je kupenda kuwa alone ni ugonjwa?

    Mtu kama huyo yuko sawa hana shida ya namna yoyote inayohitaji matibabu
  4. Anotherperson

    Vijana 260 Wapelekwa Israel Kujifunza Teknolojia ya Kilimo Cha Kisasa

    Sio mara ya kwanza vijana kwenda huko msitoe pongez kama vile kitu kipya chaajabu, Hebu walete feedback ya wale vijana waliokwenda miaka ya nyuma kiuhalisia hawana pesa za kufanya hayo maajabu ya izrail
  5. Anotherperson

    Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

    Ni kweli sisi ni ile mbegu iliyodumaa, na sio madini tu ni technology ifundishwe from childhood mana sioni chenye maana kukaririsha kijana mdogo mambo ambayo hana interest nayo
  6. Anotherperson

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili upate huduma fulani?

    Hapo RITA system bado haijatoa cheti njoo kesho, btw umetumwa kufanya kajiutafiti au una assignment..
  7. Anotherperson

    Ukija uchaguzi wa Uhuru na Haki mwaka 2025 kiongozi wetu kupata ushindi ni ngumu

    Kama 2020 ilikua vile unazan nyinyi maraia mna maamuzi yoyote? Anapita shwaaa nimekaa pale👉
  8. Anotherperson

    Kesi inayopendwa zaidi na Polisi ni ile inayohusisha Simu, mengine utajisumbua

    Wanaunda kakijiji ka upigaji, nilifatilia cheti cha binadam cha kuzaliwa unaambiwa 20k, unalipa wanaingiza kweny control namba 3k, nyingine 17k mfukon af ukirud uchukue cheti unazungushwa ukikomaa sana unalipa upya control namba 10k, 10k nyingine eti kuprint nikagoma na hapo ni mtandao wao wa...
  9. Anotherperson

    Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Mablack tunavimba lakin hawa white wako mbele, sasa tutaweza kuvumilia njaa na mateso kwa muda mrefu ili tusimame kama sisi? Kama tu njaa iliyopo saiv ni kali hivi
  10. Anotherperson

    Ma-jobless thread

    Unakuta jobless halafu introvert
  11. Anotherperson

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Hizo kazi huko nje ni nyingi ndio na vigezo unaweza kua navyo, shida ni visa hata visa sponsored job wanataka mtu extraordinary ambaye nchini kwao kuna upungufu wa mtu huyo, msifikiri hizo kazi zote zipo kwaajili yenu wenyewe serikali zao zinalimit idadi ya watu wanaoingia kufanya kazi ili soko...
  12. Anotherperson

    Kuna redio yoyote ya Tanzania ambayo inacheza burudani tu bila habari wala blaa blaa nyingine

    Au uskilize radio Kicheko, dw Pia kuna app za muziki kama Spotify ni unyama sana usikilize unachotaka
  13. Anotherperson

    Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

    Wakati mwingine mwanaume akiumizwa sana na mademu anakua mkorofi dont care hiyo hali dems wengine ndio wanafal vibaya sana
Back
Top Bottom