Search results

  1. M

    Rwandair now to fly to South Africa

    Mpaka Tanzania itakapo watendea haki wastaafu wa East African Airways na EA Community kwa ujumla, haitanyanyuka ng'oo kwenye shughuli za safari za anga. Ni laana kwa dhulma walizowatendea wastaafu hao. Wengi wamekufa masikini wa kutupa, wakati haki yao ya mamilioni inadhulumiwa kwa nguvu na...
  2. M

    Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

    1US dollar = 705 Somali shillings. Ndio ..... Somali shilling mia saba na ushee tu. Shilingi ya Bongo haina thamani mbele ya pesa ya Somalia, nchi isiyo na serikali. Ajabu na kweli!!
  3. M

    Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

    Ukarabati ??? Tingatinga limeangusha chini sasa ukarabati wapi? Au sielewi maana ya neno "ukarabati"?
  4. M

    Tarehe 30 Aprili ni siku ya kupiga kura ya YES or NO ya Katiba pendekezwa, unayajua haya?

    Mimi nihesabuni katika hao wa hapana. Lakini Watanzania tulivyokuwa na vichwa vibovu kuna ambao juu ya mapungufu lukuki ya hii katiba pendekezwa, bado wataiona iko sawa tu.... Usishangae ukakuta katiba imepitishwa kwa kishindo. Mamlaka husika zitalazimisha ushindi kwa njia yoyote ile.
  5. M

    Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

    Sina uhakika na pre-2013 iphones na hasa Iphone 4. I had stayed with 3GS hadi ilpotoka Iphone 5. Kama inawezekana then I have to agree with you. Nilichukua Iphone 5 gsm ATT locked. Kabla ya software ya ku unlock hazijatoka nikasafiri kuja TZ, iliwezekana kuifungua ki-aina hivi nikaweza kuitumia...
  6. M

    Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

    DJ Willzz.. In a short thrift, it's not possible to go any other step after initial start up of I-phone which has been I-Cloud locked. Most of the videos assume that one has already gone thru the I-cloud username and password stage and then you can downgrade the IOS level or upgrade as you so...
  7. M

    Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

    I-phone model gani? 4, 5 au 6? Ni pm
  8. M

    FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

    Kama kweli mdau alikuwa ndani ya terminal kwenye msitari wa kuchck-in, anayo haki ya kulalamika kuonewa. Lakini inaelekea kama vile aliingia terminal baada ya mda kupita. Hivyo vigezo na masharti yalizingatiwa. Imekula kwake
  9. M

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Ni kama umenukuu nilichokua nataka kusema. Jamaa wabongo wanaokwenda huko wengi wao ni wababaishaji au punda wa unga tu ndio maana yanawakuta. Otherwise hakuna problem yeyote ile kuingia Hongkong.
  10. M

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Macau na Malaysia ni nchi mbili tofauti. Naamini ni typo, au siyo?
  11. M

    Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

    Swadakta...
  12. M

    Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

    Unayoichuma?? Naona unaijua vizuri... Nijuapo mie ni Kijitonyama.
  13. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Ajali ya ndege Air Asia iliyotokea karibu wiki tatu zilizopita, viboksi vyeusi vyote viwili vimepatikana. Iliyobaki ni wataalamu kuvisoma na kutafsiri kilichorekodiwa. Ulimwengu utajua nini chanzo hasa cha ajali hii. Data nyingi na mawasiliano yote huwemo humu. Picha kamili karibu itapatikana...
  14. M

    Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

    Bi Faiza kila kitu ni Kikwete tu? Tayari ushaanza kupindisha mada toka source ya Nile kuwa mdahalo wa ufanisi wa Kikwete.... heeee huo sio upambe tena .... it borders on maniacal reverence!! Just so as you know, nilinunua nyumba K'nyama 1995, kivutio kimojawapo ni kuona kuna bomba la maji nje...
  15. M

    Ninawauliza Swali: Eti Kuna mama wa kambo mzuri duniani? Ninawaombeni munijibu swali langu

    Mimi hapa ni melelewa na mama wa kambo toka umri wa miaka miwili. Sidhani kama hata mama yangu mzazi alikuwa ananipenda kama huyu mama wa kambo. Na mimi nilimpenda mno. Mungu amrehemu peponi. Roho mbaya ni maumbile ya mtu tu! Nimeumia kuona katoto hata miaka mitatu bado kudhulumiwa utu wake...
  16. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Saizi ziko tofauti ikitegemeana na ilikotengenezwa, lakini zinakuwa zaidi kidogo ya boxi la viatu vya mtu Mzima hivi!
  17. M

    Msaada: Hivi kibox cheusi ni cha nini katika ndege

    Priority ya kwanza kabisa ni kuokoa maisha! Mda ukipita kiasi cha wataalam kuamini kuwa uwezekano wa kuokoa maisha haupo tena bali ni kutafuta na kuokota maiti tu, hapo ndipo wanagawana majukumu na kuanza kutafuta mabaki ya ndege na hizo visanduku vyeusi. Hizo "black boxes" ziko mbili. Moja ina...
  18. M

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta (Januari 06, 2015)

    Kuna gharama/kodi/levies na tozo za ushuru ambazo hubaki pale pale bila kujali thamani ya crude oil ikoje. Kwa mfano:- Katika kila lita kuna gharama hizi... Road toll, EWURA commission, Kodi ya Mazingira, Etc etc etc Sasa kama kila mmoja anapewa Sh100 kwa kila lita, inamaanisha hapo kuna FIXED...
  19. M

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Nipo ... Mimi hapa!! Nichagueni tu, yote hayo nitayatimiza. Msinitamanishe na escrow tu!!!
Back
Top Bottom