Search results

  1. Maramla

    Wasomi UDSM Wataka Haki Jinai Iwe Mageuzi Endelevu

    Wasomi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamesema mageuzi aliyoyaanza Rais Samia Suluhu Hassan katika eneo la HakiJinai yanapaswa kuwa endelevu. Mhadhiri wa Sheria Chuoni hapo Dkt. Saudin Jacob anasema uchambuzi na maboresho mbalimbali katika mfumo wa haki jinai ni mwafaka kwa...
  2. Maramla

    Haki Jinai na Jinai Yetu Sote Katika Utoaji wa Haki

    Na Johnson Gerald Nimefuatilia ripoti ya Jaji Othman Chande kuhusu changamoto mbalimbali katika utoaji wa haki katika mawanda za jinai nchini. Nataka kuamini Jaji Chande amewasemea wananchi wengi katika ripoti yake lakini pia ametusema sote tuliochangia jinai hiyo. Ungana nami katika kuangalia...
  3. Maramla

    Maono ya viongozi yanavyoipaisha Tanzania kimaendeleo

    “ Kwa wale ambao wana mashaka mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais, nataka nirudie kwamba aliyesimama hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye maumbile yake ni mwanamke” Kauli thabiti ya Mheshimiwa Samia...
  4. Maramla

    Mchungaji Msigwa: Tuchague kuitunza Ngorongoro au tuache Wamasai wafuge ng’ombe kule

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia kuwa mbunge wa Iringa mjini na waziri kivuli wa Wizara ya Maliasili na utalii Mchungaji Peter Msigwa amesema hali ni mbaya katika hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru hifadhi...
  5. Maramla

    PM: Best way to conserve Loliondo not yet decided

    PM: BEST WAY TO CONSERVE LOLIONDO NOT YET DECIDED Guardian baada ya kubumba stori ya PM atlast wametambua mwandishi wao ni wa mchongo na wamerekebisha, ukweli umesimama dhidi ya PAYROL
  6. Maramla

    TCRA ingilieni kati namba za kigeni zinazochafua watu

    Kumekuwa na mtindo wa wahuni wengi Sasa hivi kujisajili Kwa namba za Nchi tofauti wakiwa wamejibanza huko kwenye mapango na kuchafua watu. Namba hizi zinatumia Watsap tu zimekuwa kichaka cha kuchafuana na kutishiana maisha. Ebu TCRA fanyeni msako na kuongeza ufanisi kwenye kuzuia haya mambo...
  7. Maramla

    How Tanzania Remembers Dr. Kenneth Kaunda

    Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed away yesterday June 17, 2021 in Lusaka. In her condolences President Samia has said Africa has...
  8. Maramla

    Kwa hili la Biswalo, Chadema tujitafakari kwa kina!

    KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA! Na, Julian Chacha – RORYA Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa baadhi ya watu. Sisi wanachadema tuanelewa kwanini chama chetu kipo kilipo, hawa wanaojaribu kununua...
  9. Maramla

    Huu uoga umeanza lini CHADEMA?

    HUU UOGA UMEANZA LINI CHADEMA? Na Mwal. NICHOLAS, SOMBETINI Nimekuwa muumini wa siasa za hoja kwa muda mrefu sasa kwangu CHADEMA imekuwa shule na wakati mwingine kama nyumba ya mawazo mbadala. Vijana wengi tulioanza siasa katika Viunga vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam tulivutiwa na muktadha...
  10. Maramla

    Kitendo cha Baadhi ya Vyama kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais Magufuli hakifai

    Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Mbaya zaidi walianza kumfanyia husda Marehemu bila...
  11. Maramla

    Mihemko: Kuna watu wanashangilia kila kitu

    Kuna watu wanashangilia kila kitu, hata usielewe kipi kwao ni kipaumbele. 1. Wakija Nzige wanashangilia 2. Wakisikia mlipuko wa magonjwa wanashangilia 3. Maharamia wakijaribu kuvamia nchi wanashangilia 4. Kenya wamezuia mahindi, wamo 5. China wamegundua kipimo kipya cha Corona, shangwe Yaani...
  12. Maramla

    Jinsi mitandao inavyovimaliza vyama vya siasa Tanzania

    Vyama vya Siasa Nchini Tanzania ni takwa la kisheria ambalo katu haliwezi kutiliwa shaka katika uwepo wake. Kwa makusudi kabisa Mwaka 1992 Tanzania ilikubali kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Uendeshaji wa Vyama vya Siasa umewekewa muongozo thabiti, ambapo kila Chama kinaongozwa...
  13. Maramla

    Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

    Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Nchini, awali vigezo vya kupingwa maendeleo ilikuwa "SERIKALI INAFANYA MIRADI ISIYOSAIDIA WATU WOTE". Ununuzi wa ndege ulipingwa, ujenzi wa reli ulipingwa, mradi wa bwawa la kufua umeme ulipingwa...
  14. Maramla

    Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
  15. Maramla

    Kabendera: Lessons and New Juriprudence in Media Accountability

    By Johnson Kaliua, Dar es Salaam For any criminal defense lawyer charges relating to money laundering, cybercrimes and similar technology based felonies, you need to prepare your case in extra ordinary ways, and where possible, base your litigation strategy on technical issues such as...
  16. Maramla

    Tumeamua, sasa madini yanatema

    Dar miner records 36pc sales boost Williamson Diamond Mine in Tanzania has announced a 36 per cent increase in sales revenues and a 17 per cent increase in production in 2019. Majority shareholders Petra Diamonds said in its latest trading update that the improved figures were recorded even as...
  17. Maramla

    Katuni: Zitto Anavyowalamba Wazungu miguu

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  18. Maramla

    Magufuli named the Most Educated African President 2020

    The educational qualification of African leaders in juxtaposition to their performances is an irony. Africa has the most educated leaders in the world, and the continent continues to experience plodding progress. Many critics and social commentators have attributed this to the high level of...
  19. Maramla

    Zitto Kabwe Vs Tundu Lissu

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  20. Maramla

    Bosi BARRICK aendelea kufunguka makubaliano na Tanzania, asema ni mfumo bora Africa

    Wakati mnaenda kuichafua nchi kwa wazungu, mageuzi huku yanaendelea ---- TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick Gold subsidiary Acacia Mining and the solution now reached “… would make Africa a very different place in ten years time if this formula could be migrated across...
Back
Top Bottom