Search results

  1. Ras

    Kwa tra, wizara ya viwanda na biashara na wizara ya maliasili na utalii, na tic

    Kabisa mkuu, kwa kweli inasikitisha. Na hii si kwamba haifahamiki, inafahamika lakini sababu wakuu wetu washapewa 10% Wanaziba masikia. Mimi nadhani mbali ya kuchagua viongozi ambao wana uchungu na nchi hii, pia ni vyema tukafuata wazo la Mbowe (Naomba nisieleweke kama ni shabiki wa siasa bali...
  2. Ras

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    British firms urged to secure Libya contracts By Daniel Bentley Friday, 21 October 2011 British firms were today urged by Defence Secretary Philip Hammond to head to Libya to secure contracts for its reconstruction. With the military campaign all but over after the death of Muammar...
  3. Ras

    CIA doctor in Pakistan

    hata wanaojitahidi kuvumbua wanaangushwa na wajingawajinga wachache ambao wanajiita wasomi na wapo katika nyadhifa zenye maamuzi ktk jamii yetu, badala ya kuwa promote hawa wao huwaponda kwa wivu wa kijinga walonao!! aagh.
  4. Ras

    CIA doctor in Pakistan

    Naungana na wewe mkuu, kumaliza madarasa si kigezo cha kuwa na busara ktk maamuzi wengine elimu haiwasaidii kitu zaidi ya kutuletea matatizo. Mimi nimemaliza madarasa mengi tu karibu yote ya hapa duniani lakini naungana na mtoa hoja hapo juu, anafikiria kwa undani.
  5. Ras

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Kama n issue ya kupanda miti hiyo naomba usiiongelee kabisa! hatupandi miti tz sisi, ungetoka na kuona miji ya watu ilivyopandwa miti nadhani ungenielewa. Halafu si kwamba sijui shida tulizonazo hapo nyumbani, nazijua sana kwani nimefika sehemu hadi za ndani sana za nchi hiyo ambazo pengine...
  6. Ras

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Na kwa taarifa yake ikifa hii hata Tanzania haitojulikana duniani kwani ni Serengeti na Kilimanjaro ndivyo vyaitambulisha Tanzania ulimwenguni! bahati mbaya kilimanjaro ndiyo hiyo barafu inapotea so inapoteza uvutivu. Ajabu ni kuwa huku nje (Japan) mtu akikuuliza watokea wapi ukamwambia...
  7. Ras

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    INASIKITISHA SANA MKUU, NA HAWA VIONGOZI WETU SI WANAFIKI TU PIA NI WAGUMU WA KUJFUNZA MAMBO. MIMI HAPA NILIPO (Japan) WENZETU WANAJITAHIDI SANA KUTUNZA NATURAL RESOURCES WALIZONAZO. HALAFU UTASHANGAA MTU AKIKUULIZA WATOKEA WAPI UKIMWAMBIA TANZANIA HAIJUI ILA UKIMWAMBIA NCHI AMBAYO SERENGETI NA...
  8. Ras

    Rose uu wapi?? am missing u!!

    Oooh! my babe, sorry nilikuwa tit kidogo na tumajukumu si waja tena!!.. gauni lako la maua maua na kandambili nshakuandalia, kaa mkao wa kwenda tembea kandokando ya mto alasiri Christmass hii.....NtakuPM mama usikonde...Hebu pata River Side ya Culture kwanza.
  9. Ras

    Nyota zenu HAZIFANANI

    Ni kweli kabisa unachosema Rose, maana hii inashangaza nyota haziendani kwa vile mama mkwe kafariki kwa cancer!! ng'ombe naye duh! huyu anatafuta visingizio vya kuachika. Ikiwezekana muache tu kwani kuna usemi kuwa 'U will never know the value / importance of something / someone until u loss it...
  10. Ras

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    MTOTO wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa anayeitwa Frederick Lowassa anachunguzwa na Kitengo Maalumu cha Polisi wa Kimataifa wa Uingereza wanaofuatilia utata wa uhamishaji fedha kutoka Tanzania, Raia Mwema limedokezwa. Fedha hizo zinahusishwa na ununuzi wa nyumba yenye thamani ya pauni...
  11. Ras

    Prof, anakula “chama chao”.!

    Hahahaha! so funny!! but its good socially coz being a Prof. doesnt mean u dont have to eat to Mamalishe provided that food hagiene is practiced there. Big up to that Prof.
  12. Ras

    demu nimemtosa.....lakini!!

    Thats my babe!! umejibu vyema. nilikuwa nasubiria nione utamjibu vipi!! kamata hii zawadi kwanza.. :A S-rose:
  13. Ras

    Big Up to ALL Women...May Jah Bless you abundantly!

    Are they Women?? am talking about Women Man, not Girls!!.. I never heared about a married woman throwing her Kid or abort intationaly!. I think you are refering to Girls who are not married!. Am talking about a Mature Married woman. Guidance Man.
  14. Ras

    Big Up to ALL Women...May Jah Bless you abundantly!

    Pamoja Man!.. unajua hawa wenzetu huwa wanatumia Maarifa zaidi thats Y mara karibu zote huwa right. Whenever I feel them I wonder how this World would have been without them?!! I salute U:yo:........."STRENGHT OF THE WOMAN" by Shagy YouTube - Shaggy - Strength Of A Woman
  15. Ras

    Big Up to ALL Women...May Jah Bless you abundantly!

    Baada ya kutafakari sana na kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yangu na Wife na jinsi ninavyoshuhudia toka kwa wanandoa wengine au familia...I came to a conclusion that.."WOMEN ARE ALWAYS RIGHT" . My dedication to all Women out there is "God bless the Women" :pray::pray2: by Lucky Dube (YouTube -...
  16. Ras

    Naomba kuuliza ...labda kuna sababu...

    Haipo mkuu, labda waeamua kuhamishia jukwaa kubwa ambako sina access, lakini haikuwa ya kikubwa na niliitoa ili iwe fundisho na kwa vijana wadogo wanaoangalia porn na kufanya musterbation:focus: . Kuhusu hayo majina mkuu sidhani kama wanayapenda hata kama wamekaa kimya sbb kwa mtu mwenye akili...
  17. Ras

    Naomba kuuliza ...labda kuna sababu...

    Yote hii ni effects za pornograph ambazo nyingi huonesha mwanamke kama chombo cha kumrdhisha mwanamme. Kuna post niliituma hapa jana ikapoteaghafla ilikuwa na article in pdf ambayo inaeleza kiuwazi kabisa madhara ya pornograph na masterbation mojawapo likiwa ni hili la kuwatoa thamani wanawake...
  18. Ras

    Nipo njia ya panda, Japan.....sijui...nie......dah!

    I WISH I COULD BE YOU MAN! Kimsingi nenda kapige shule kwa taarifa nilizonazo wataalamu wa hiyo fani ni wachache na weng ndiyo wamzeeka. So kwa maana hii ina market kubwa na itakuja kulipa safi. Hata hapo nyumbani Bongo am sure tutakuhitaji mtu kama wewe.
  19. Ras

    Rose uu wapi?? am missing u!!

    Thanks Man!:peace:. Hii nyingine ngoja nayo niitafute sijui watakuwa wameichimbia wapi!!!:A S-confused1:
  20. Ras

    Rose uu wapi?? am missing u!!

    Guidance Man! dah sijui kwanini wameipeleka kule, mimi nilikuwa namtafuta Rose vile nilimmiss na nikampata kwa jukwaa husika sikuwa namlalamikia Man!. nashukuru Man, Jah Guide.
Back
Top Bottom