Search results

  1. Mpenzi

    Spying spouse

    We all need our privacy and space, It can be absurd and beyond craziness to go to jail for checking your spouse's email. But what happened to people's privacy? I do believe even if it involves husband and wife privacy is minimum or none in some issues. And by him checking her emails he violates...
  2. Mpenzi

    Maskini Mustafa Hassanali

    This guy inasemekana alifanya gastric bypass surgery and maybe he has eating disorder huwezi jua. I hope he will get better.
  3. Mpenzi

    Tunasubiri mgao mwingine toka CCM

    Inakuaje uchaguzi umeisha na baraza limetangazwa sasa mgao wa umeme umerudi?...Itabidi wananchi tupigie kelele hii issue. It is unacceptable kwa serikali kufanya hivi.
  4. Mpenzi

    Waliyokosa Uwaziri

    Jamani hii ni kwel au tetesii? nasikia waliyokosa uwaziri mwaka huu kikwete atawapa nafasi nyegine sababu walikua ni wachapa kazi?
  5. Mpenzi

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    Hii ndio nashidwa kuelewa mtu ana Nyumba ya milioni 900 na gari la milioni 100 na kwenye account ana zaidi ya mamilioni, sasa mtu kweli anashidwa kusema mimi nitadhamini barabara sehemu flani, shule, hospitali au kitengo cha msaada sehemu flani...Umasikini hauwezi kuisha,Kisha utasikia anafanya...
  6. Mpenzi

    Baraza la mawaziri

    Sasa nimeelewa kwa umakini:smile-big:
  7. Mpenzi

    Baraza la mawaziri

    Jamani mmetoka nje ya topic kabisaaaaa!
  8. Mpenzi

    Baraza la mawaziri

    Jamani hili baraza la mawaziri linatangazwa lini? na Raisi anatakiwa kukaa muda gani kukamisha hii process ya kutangaza baraza lake?
  9. Mpenzi

    President Kibaki attends President Kikwete's Swearing In Ceremony

    Hiyo sio Bible jamani ni Mas-hafu(Qur-ann)...Achaneni longolongo duuh!:doh:
  10. Mpenzi

    Elections 2010 Jeshi la polisi latoa onyo kupitia Clouds FM

    Uchochezi after uchochezi....This is full of crap, when are we going to put a stop to this people...come on now!! Tangazo limetoka clouds+watu wanapewa pesa waandamane=?? Let me put it this way 100% NONSENSE
  11. Mpenzi

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Hizi habari za nasikia zikiambatanishwa na redio vifua zinanitia kiwewe, ilikua Kikwete sasa imehamia Ridhwani kisha mama Salma..what's next? I smell bad agendas coming from Hippie-land
  12. Mpenzi

    Elections 2010 Regia Mtema akataa hongo ya CCM

    thank you for stating this, jf inameanza kua huru hadi sasa watu wameanza ku-advocate violence na ku-post vitu vya ajabu. Nahisi amani yangu inachezewa sana na power ya cyber.
  13. Mpenzi

    Elections 2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    Jamani tunahitaji kufikiria iwe maandamano ya salama au laa, maandamano ni maandamano hakuna jambo jema litatokea zaidi ya vurugu na kumwaga damu. Tumeishi kitulivu sana na nchi nyingi jirani zainaonea wivu nchi yetu tanzania. Tumetoka mbali na tunakokwenda mbali, napenda maisha yangu na...
  14. Mpenzi

    Elections 2010 Dr. Slaa anguruma BBC redioni: Nimeshinda Uraisi kwa kura milioni 15...

    Jamani Jamani I smell uchochezi na fitna kwenye hii Topic!!:doh:
  15. Mpenzi

    Mamba Aiangusha Ndege Kongo, 20 Wafariki

    What a sad story, Mungu awalaze mahali pema peponi.
  16. Mpenzi

    Elections 2010 Respect poll outcome for peace - EU

    The European Union Observation Mission has called on Tanzanians to respect the outcome of the election in a bid to maintain and consolidate existing peace in the country. Unveiling its preliminary election-observation report in Dar es Salaam yesterday, the mission said the campaign and...
  17. Mpenzi

    Elections 2010 Nini kilichotokea Zanzibari? ni muafaka tu au kuna kingine Tusichokijua

    Jamani kwanini siku zote tunakua na mashaka? Kama ingekua Maalim Seif hajapewa madaraka mgesema CCM imeiba kura, amepewa madaraka kwaajili ya kudumisha Zanzibar na wanaanchi wake na kutengeneza serikali ya mseto sasa imekua habari ya kuafaka. What is this people, why can't we get along na tuwe...
  18. Mpenzi

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    All I can say JF need to close this nonsense topic, sioni kichwa wala miguu humu ndani.
  19. Mpenzi

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Hivi wabunge kwenye Viti maalum vya UWT wanapeta tuu hadi bungeni au bado wanakipingamizi?
Back
Top Bottom