Search results

  1. Dr. Sajjad Fazel

    Ujue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona

    Ijue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona Watu wengi wanasambaza taarifa za uwongo juu ya Corona kwenye mitandao. Kama daktari na mtafiti wa afya niliyazungumzia baadhi ya hizo taarifa hapa. Ugonjwa wa Corona ni nini? Taarifa za uwongo kuhusu Corona unasambaaje? Nini taarifa za...
  2. Dr. Sajjad Fazel

    Madhara ya Shisha

    Shisha ni uvutaji wa tumbaku uliochanganywa na ladha za matunda mbali mbali kwa kutumia hookah. Hookah ni chombo kinachohifadhi maji na huwa ina mirija kuanzia eneo lakuchoma tumbaku kupitia maji mpaka mirija yakuvutia moshi mdomoni. Shisha ni kitendo cha burudani iliyoenea nafasi nyingi hapa...
  3. Dr. Sajjad Fazel

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari wakuu, Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake...
Back
Top Bottom