Search results

  1. Tate Usoto

    Ingekuwa wewe ungechukua maamuzi gani? ilihali bado anadai anakupenda na anakuhitaji

    word bro,ukubwa dawa umeongea through experience kuretain status ya kiume kuna gharama zake. Ila lazima jamaa abadilike kama hataweza kuwa na msimamo ataendeshwa maisha yake yote. wanawake hawabadiliki wanabadilishwa.
  2. Tate Usoto

    Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

    nimecheka sana,viroba viko kwa head hapo!!!
  3. Tate Usoto

    Wajapani hawana pakukaa wataenda Wapi?

    waache waje,tushachoka kuona barabara za ghorofa kwenye tv.
  4. Tate Usoto

    Mpaka iondolewe ndio wanatulia

    Imekua too much!!!
  5. Tate Usoto

    Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

    kumbe we adam? angalieni avatar zakuweka aisee!!
  6. Tate Usoto

    Imeniuma sana hii kitu

    Mbona hata sisi tunadanganya? hapo jamaa anaumizwa na past ambayo kama hutaiacha iende zake u can never be happy in relationship.
  7. Tate Usoto

    Mrejesho toka kwa bibi

    dah huyu kiumbe ni tatizo kuliko njaa!!!!!
  8. Tate Usoto

    Marekani ina kibarua kigumu Syria

    twi twi twi your contradiction yourself hii lugha mi siipendagi,niliwahigi kujing'ata ulimi.
  9. Tate Usoto

    Jina hili si sahihi kumwita mpenzi wako

    Heshima ya jama yako huwezi kumpa mkeo kijana utalaanika mke atabaki kuwa mke na mama atabaki kuwa mama
  10. Tate Usoto

    Maskini Gadafi, kumbe hiki ndio kilicho Muondoa na Kuhakikisha anauliwa haraka haraka

    Point!!! if u can free up ur mind unaweza kujua ni mchezo wa wenye nguvu kwa interest zao wenyewe. Hata kidogo hatuwezi kujua kitu kama tukiwa nyuma ya imani zetu. Gadaffi amefanya yake ya kutosha kwa nchi yake,tumuombe mungu tupate kiongozi mwenye uzalendo atakaeifanya tz nch ya maziwa, sio...
  11. Tate Usoto

    Maskini Gadafi, kumbe hiki ndio kilicho Muondoa na Kuhakikisha anauliwa haraka haraka

    Now its tupambane na umaskini,ujinga,maradhi na udini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Fungu la kukosa sie in the middle of poverty bado tunaangaliana kwa ukristo na uislamu?
  12. Tate Usoto

    Siwezi kuoa kwa hali hii

    ukiwa na hayo mawazo utakufa na ngoma!!
  13. Tate Usoto

    Nifanyeje Ili Nimsahau

    tyta ni bingwa wa udukuzi!! huyu mwanamke anaongelea upand mmoja,kwa comment yake hapo juu am sure there was a problem ndo mana kachapishwa lapa.
  14. Tate Usoto

    Kushafanya mapenzi na mwanamke mara ngapi huwa unaacha kutumia condom?

    Una maneno ya kumtoa cobra kwa pango mpk basi.
  15. Tate Usoto

    Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    saba then unajitapa mimba ni yako? game dk 90 subiri mkid then u prove,hawa watu wana akili sana,unaweza kujiona mjanja kumbe wanakucheka watu.
  16. Tate Usoto

    Binti huyu ametupanga wanaume kumi na moja

    Simu haifichagi kitu aisee,ila kama mchuchu anamtumia jamaa naked pics!! kuna haja ya kuriew upya kamkataba ka ndoa sio kukurupuka itakula mazima.
Back
Top Bottom