Search results

  1. GY

    Kupenda unavyopenda: Hizi kingo ni za nini?

    Wapendwa woote, mababu kwa wazee, vikongwe kwa vikungwi, watukutu kwa watiifu, bila kusahau sharobalo ambao wamejaa sana humu sikuizi Haya maisha ya kawaida yamezungukwa na kingo (limitations) nyingi tuu..........nyingine ni nachuro nyingine ni za kiutaratibu (ama wa kiimani au...
  2. GY

    Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

    Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin God is great We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl Its a lovely day for JF
  3. GY

    Please do the nidful

    Kimey is missing, yeyote atakayemuona atoe taarifa kwa invisible au cheaman wa ISC
  4. GY

    Waislamu waridhishwa kuhusu Kadhi

    Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th July 2010 BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limesema katika siku 14 lilizotoa kwa CCM na kufanya uchunguzi, limebaini kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na CCM wana dhamira njema ya kuanzisha Mahakama ya Kadhi nchini. Kutokana na...
  5. GY

    Siungi mkono money laundering kushughulikiwa na TAKUKURU

    kwa wanaofahamu money laundering haina tofauti na kuiba gari, ukajaribu kufuta chasis number yake original halafu ukaweka yako feki, ukaibadili rangi na vitu vingine, halafu ukairudisha sokoni....sasa TAKUKURU wanaweza kushulikia wizi wa magari au vifaa vinginevyo....money laundering ni wizi sio...
  6. GY

    Marekebisho JF

    Tumeona namna JF ilivyoboreshwa na kuwa na mambo mengi zaidi. Lakini mimi kuna kitu huwa bado naona kama kinapunguza sana ladha ya JF Mosi: Mtu anaruhusiwa kupost thread nyingi atakavyo na wakati mwingine unakuta zote zinazungumzia kitu kimoja...INACHOSHA Pili: Kuna mijadala ambayo huwa ni...
  7. GY

    Elections 2010 Kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu

    Nimekaa na kuanza kutafakari, ivi kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu 2010 zitakuwaje Nikapata japo hizi mbili za CCJ na CCM CCJ (ikiwa watapata usajili): "Wamebana wameachia, mwanga mpya umewadia" CCM: "kwa ari ileile, kasi ilele na nguvu ileile, Tanzania yasonga mbele" and the list...
  8. GY

    Yuwapi Mh Zitto?

    Jamani wakuu, yukwapi Mh Zitto Kabwe, sijamsikia muda kidogo humu ndani na nina hamu kweli ya kuzungumza nae suala la Nyumba mbili kwa bilioni mbili unusu
  9. GY

    Haiti na Kilosa: Mtaji wa kisiasa/kibiashara

    Si wote wanaokimbilia Haiti na Kilosa wanalengo la kusaidia. Ni mapema mno kufanya kama wafanyavyo mataifa makubwa kuhusu Haiti, kwani kwayo ajenda ya kusaidia ni tofauti kabisa Vyovyote iwavyo, ya Haiti ni janga lisilokuwa limetarajiwa, lakini ya Kilosa tulijua muda mrefu kuwa kuna mvua...
  10. GY

    Ikoje hii

    serikali ya libya yajitokeza kusaidia athari za mafuriko kilosa Kuwajengea Nyumba 200 Nyumba Waathirika Na Jovina Bujulu, Maelezo. Jamhuri ya watu wa Libya imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko ya Kilosa mkoani Morogoro. ikiwa ni pamoja na kuwajengea nyumba 200 zenye...
  11. GY

    Je huyu nae sio mtumishi wa umma?

    madeye kugombea ubunge arumeru magharibi? Mkurugenzi usimamizi wa rasilimali wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni kamanda wa umoja wa vijana CCM wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mlezi wa UWT wilaya ya Arumeru, Goodluck Ole Medeye, alipokua akizungumza na wazee wa mila mara baada ya...
  12. GY

    Kutenganisha biashara na siasa: Kikwete ataweza?

    Toka aingie madarakani amekuwa akilisema sana hili la mtu kuamua aidha biashara au siasa (na uongozi wa umma). Na sasa anasema wanaandaa muswada wa hilo Swali langu ni kuwa, ikiwa wafanyabiashara ndio waliomfikisha ikulu, na bado wanakumbatiwa sana na chama tawala (ambacho yeye ni mwenyekiti...
  13. GY

    Waziri akiri nyuzi za pamba kiwanda cha URAFIKI zinatoka china

    Ufisadi umejikita zaidi kwenye matumizi mabaya ya rasilimali za umma, na kila mwananchi anajua ubaya wa jambo hili na hatari yake kwa taifa. Tumeshasema sana na tuendelee kubanana ili mapambano haya yasiwe ni nguvu za soda. Lakini pia tuanze kungalia muelekeo wa uchumi wetu ukoje, focus ikiwa...
  14. GY

    Wapangaji ikulu na safari za nje

    Kumekuwepo na maoni tofauti sana kuhusu safari za nje ya nchi za maraisi wetu (wakati ule Mkapa na sasa Kikwete). Safari hizi zimekuwa zikisemwa kuwa ni muhimu kwani zina tija kwa Taifa. Nimekuwa nikifuatilia kama viongozi wa nchi nyingi Afrika, na hasa ukanda huu wa afrika mashariki pia hufanya...
  15. GY

    Ripoti ya Richmond kutojadiliwa

    wakulu Nimepata tetesi kuwa repoti ya richmond kutojadiliwa, kwani mh six yupo bize na mambo ya msiba ivo kurudi dodoma wiki ijayo kwa ajili ya kufunga bunge tu...TiaTia maji Details please
  16. GY

    Wabunge na mfumo wa udhibiti wao

    Samahani kama hoja hii ilishawai kujadiliwa kabla Nilitaka kujua, katiba inasemaje ikiwa mbunge aliyechaguliwa na wananchi hafanyi yale aliyoahidi na/au yaliyotarajiwa kutoka kwake, je wananchi wanauwezo wa kumuondoa kabla ya kipindi cha uchaguzi mwingine au laa Na ikiwa inawezekana, ni...
  17. GY

    Posho nyinginyingi!

    wakulu, msaada kidogo, 1. Ivi yupi hasa wa kuhojiwa, anayetoa posho kwa mtu huku akijua kuwa mtu huyu kashalipwa na mwingine au anayepokea posho huku akijua keshapokea toka kwa mwingine? au wote 2. Ni yupi hasa wa kudhibitiwa kati ya hao wawili, mtoaji au mpokeaji? au wote 3. Ikiwa mtoaji...
  18. GY

    Bwana amenituma kuja humu!

    wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
Back
Top Bottom