Search results

  1. vivian

    Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  2. vivian

    Ndugu Polepole, punguza Majivuno! Duniani tunapita

    Humphrey Polepole Samahani sana tena sana ila nahisi ni roho wa Mungu amenituma nikuletee ujumbe. Nakuomba angalia nafsi yako Jitathmini tena. Nilitamani sana kaka/Baba yangu ujumbe huu ukufikie kwasababu najua upo humu unafuatilia kila linalojadiliwa. Barua yako ya leo kuhusu andiko...
  3. vivian

    Jamani leo Ijumaa bata wapi

    Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka. Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka. Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
  4. vivian

    Ijuma ya leo

    Msisahau Njia ya msalaba
  5. vivian

    Ijumaa ya kwanza ya kwaresma

    Wandugu msisahau Njia ya msalaba leo Jioni
  6. vivian

    Ijumaa

    Wapendwa leo wapi Tukanywe Pick "n" peal
  7. vivian

    Shostiiii- Ijumaaa

    Jamani shosti leo Savanna Dry twende wapi??
  8. vivian

    Ijumaa

    Hureeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Madadiii na mashostito. Leo wapiiiiiiiii? Happy Birthday to me
  9. vivian

    ijumaa ya mwisho wa mwezi

    Ijumaaa Hii savanna nitaziona kwenye picha tu. Mshahara umegoma kutoka. I better sleep the whole weekend.
  10. vivian

    spea za marcides benzi compressor c 2000

    Ndugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis.
  11. vivian

    Ijumaaa huree- wikendi ndefuuuuu

    Jamani wakufunga mfungo mwema. Wale wenzangu hebu niambieni viwanja ninaweza kula bata vizuri. sipendi disco napendelea kunywa savanna. kuwe na mbuzi choma wakuridhisha hasa leo jioni.
  12. vivian

    Ijumaa ya mshahara

    Sipati picha kuvunja majungu na masufuria weekend hii
  13. vivian

    This Friday looks boring

    Hivi Mbona hii siku imeanza kuniboa asubuhi
  14. vivian

    Happy Friday

    ohh!! I love friday guys,
  15. vivian

    habari zenyu banaaa

    nimepita kuwasabahi wapendwa
  16. vivian

    Wakunitoa Ijumaa

    Hembe nyie wanaume kagueni mifuko yenu. I can drink only 7 savana @ 4,500/= na Mbuzi choma 10,000/= sina gharama madadii wangu. Excel upo?
  17. vivian

    how to confugure internet kwenye simu ya kichina

    hey guys! i bought a chineese phone from karikoo and someone configured internet for me and i paid 5.00/= now imepkata tena hata nikiweka bandle zii. naombeni msaada
  18. vivian

    Bado mshahara upo?

    I hope wale wa kupokea Tar 5 bado mnazo. sisi wa tar 25 tulishamaliza kitamboooo!!!! ijumaa hii inakuweje sasa? kwani serikalini wanalipaga mishahara tar ngapi? hakuna wazee wa kat bar humu coz walichota mahela mengi sana.
  19. vivian

    ijumaa ya upendo

    Nawapenda wote hasa hasa mlachake
  20. vivian

    Buzi langu la ijumaa

Back
Top Bottom