Wengi hamko exposed na modern organization world, hamna extra mile mko too authoritative kuliko ile expected sense of delivery, hamna ownership na hamna uwezo wa kutengeneza stratergies ambazo zinazaa matunda ya papo kwa hapo. Hongera sana Mh. Rais na team yako kwa kuliona hili vizuri. Nchi yetu...
Kosa la Ridhiwani ni lipi hata uje hapa kuldhalilisha? Baba yake kuwa Rais wa nchi kwa awamu ile ni kosa. Mbona mnakufuru wazi wazi?! Alichukua kitu gani ambacho wewe unao ushahidi usiotia shaka? Madhali Ridhiwani ni Mtanzania, na anaao sifa za kuwa Kiongozi wacheni aongoze. Hizi roho mbaya...
Ushauri wa bure kabisa. Alichokisema shabib mbunge na anacho kiapo cha kikatiba. Kiundiwe kamati kifanyiwe kazi haraka haraka kisha wajiridhishe fact ni zipi iwasaidie kuamua. Wasimpuuze hata kidogo. Nchi hii ni yetu sote. Kama serikali inashauriwa jambo zuri ilipokee kwa mikono miwili. Tuacheni...
Ndiye Makamu Mwenyekiti wetu wa chama cha Mapinduzi. Tunamhitaji hivyohivyo tena wakati wote kwa ajili ya chama chetu. Asiyemtaka akafie mbali CCM ndio kashafika sasa.
Mh. Rais amefanya uteuzi wewe unakuja hapa kusema hamna kitu kama nani? Mwandikie Rais hayo maneno yako tuone kama unajua kutoa ushauri basi uwe na tija.
Unabeba hisia zako na dhana za hovyo hovyo unakuja nazo hapa. Acheni Mh. Rais afanye kazi na wale anaoamini watalisaidia hili taifa. Kila...
Shida nyingine
1. Kumekuwa na muingiliano kati ya walinzi wa mataasisi na maafisa wa ofisi husika za serikali.
Walinzi wa makampuni na Suma Jkt wamekuwa wakiacha majukumu yao ya ulinzi na kuanza kufanya kazi za huduma za mataasisi wanayoyalinda huku hawana misingi ya elimu ya huduma hizo.
2...
salamu za Tanzania safi, Tanzania rafiki, na Tanzania salama kabisa. Hizo pia ni salamu za tunu ya umoja wa kitaifa na mshikamano. Kazi iendelee.2021-2030 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni Samia Suluhu Hassan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.