Search results

  1. mabina

    Namna gani ya kugundua na kumgundua mdukuzi wa simu/smartphone hackers

    Umetoka shimoni jana au. Kama hujui nyamaza kijana au ndio unataka kuonyesha nduguzo kama nawe huwa una comment jamvini?
  2. mabina

    Namna gani ya kugundua na kumgundua mdukuzi wa simu/smartphone hackers

    Hiyo security setting nilishaga fanya bro lakin bado
  3. mabina

    Namna gani ya kugundua na kumgundua mdukuzi wa simu/smartphone hackers

    Nahisi ulipaswa ktoa msaada, huwezi anika mambo yote hapa. Kama huna msaada ni vyema pia kunyamaa
  4. mabina

    Namna gani ya kugundua na kumgundua mdukuzi wa simu/smartphone hackers

    Wadau habarini za asubuhi Kwa yeyote mwenye uelewa wa UDUKUZI, asaidie kumgundua mdukuzi (hacker) anae dukua taarifa za mawasiliano yangu na kujua sehemu (location) zote ulizopo,naomba msaada tafadhari Na kama kuna application ya kmzuia mdukuzi pia si mbaya nikasaidiwa.
  5. mabina

    Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

    "Return Of Undertaker, post: 19859132, member: 88353"] Sheria/ kanuni/ katiba ya NCHI inasemaje kuhusu hilo? Kujitambua nalo jibu
  6. mabina

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Miguu inawaka moto chini ya unyayo, na wakati mwingne inakuwa kama ina pata ganzi hivi kwa dakika kadhaa Ila sjaenda Hosptal
  7. mabina

    Hivi suala la dhamana ya Lema, serikali haioni aibu kweli?

    Ingekuwa ni AIBU kwa MAHAKAMA kumuidhinishia USHINDI WASSIRA ilingali ALISHINDWA kihalali. LEMA kayataka mwenyewe. Wanasheria wake ni makini sana ila awamu hii wamekutana na sheria zilizojuu ya MAKOSA YAKE Acha ASOTE. Akitoka utaona kama atarudia tena.
  8. mabina

    Mbunge wangu Godbless Lema, umebaki mpweke gerezani, majuto ni mjukuu

    Unamfananisha LEMA na MANDELA? SHAME ON U
  9. mabina

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Ni sheria au ni utashi wa mtu?
  10. mabina

    Rais Magufuli is very strategic

    Harafu tuwaulize waliohitim vyuo, walipe mikopo yao ili watoto wa masikin wanaotegemea maisha ya MKOPO wapate pesa.
  11. mabina

    TANESCO yapeleka maombi EWURA ili kupandisha bei ya umeme kwa 18.19% kuanzia Januari, 2017

    (Adhabu ya mkwepa kodi mkubwa nchini China ni kupigwa risasi na kufilisiwa, lakini kwa Tanzania unapewa siku 7 kulipa bila adhabu yoyote). Kwa MIHEMKO mlio nao, akipigwa MBOWE RISASI kungekalika? Au huwa mnajisahaurisha kama mkuu wa UFIPA ni mdaiwa SUGU?
  12. mabina

    Watanzania tusidanganyike, Mbowe na wenzake hawana cha kupoteza

    Sina chama, na s mfuata mkumbo. Ila najua kusoma , kuandika na kutafakari. Ulitaka nicopy vyote ulvyovsema? Nmekpa hako ka mfano ka GARI coz mawazo yako unataka UTAFUNIWE na UPEWE.
  13. mabina

    UKUTA ni mwanzo wa CHADEMA na Upinzani kuwa na adabu kwa Rais Magufuli, Serikali na CCM

    CDM, Wanahoja gani? Wanapambana na RAIS ili RAIS awe chini yao? Walkmbia BUNGENI na KUJIFUNGA PLASTER mdomoni. Ulitaka RAIS aingilie? Kosa au SHERIA gani ilikiukwa mpaka waanze kupambana na RAIS? Hawana HOJA hao
Back
Top Bottom