Search results

  1. M

    Sadiki Awaamuru Wahanga wa Mafuriko: Yu hev tu GO!!

    Alibaba Nimesikia hiyo lugha aliyotumia ni sawa na ile ya Magufuli, Hivi hawa viongozi wana matatizo gani? Ndio Siasa na Diplomasia za chuo cha wapi hizo? Yani wanashindwa hata lugha ya kiungwana na ustaarabu? Ati anaitwa Mheshimiwa! Ati na yeye ni kiongozi...............aibu...........!
  2. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Hutaki Utaacha: Toka mafichoni ujibu hoja za Wadau. Mjada unafrezzzzzzzz unakusuburi mtoa mada. Mtoa habari amesaidia, lakini wewe ndie Mweye Chungu jikoni. Wanaodai kuwa umeleta Udaku watapandisha Bendera ya Ushindi. Je upo??
  3. M

    Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

    Da Foxy Uongzi, Siasa na Demokrasia Havitaki hasira, unatakiwa uwe mvumilivu, mwenye subra yahaliya juu, busara na Hekima tele. Na hayo ndo yatakufanya kiongozi wa kuaminika na kutumainiwa. Kwa hiyo mitihani ikikutokea/kumtokea kiongozi wa kisiasa na hata asie wa kisiasa au hata katika mambo...
  4. M

    Lowassa + Mtandao = Hakuna

    Na inasikitisha zaid kuwa Lowassa si Mgeni wa Kashfa na yeye na Wapambe wake si wageni wa kudai kuwa Anaonewa. Ingekuwa mara moja tungesema kweli, mara mbili tungesema Labda, Zaidi ya hapo inakuwa Tabia na Maumbile na hivyo viwili Havina Dawa kama ulivyosema hapo juu ni Saratini na Dawa yake ni...
  5. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Mkuu Yaelekea unawalisha maneno hao uliowataja na kuwaaddress kwa hayo maswali na unajifanya unaamini kuwa wanatupa Habari toka ndani. Wanajeshi wa chini Bongo wako walivyo toka enzi za Mwalimu, tena yawezekana walikuwa Hoi wakati huo kuliko sasa.Na si wao tu Waalimu, Polisi, Wauguzi na...
  6. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Kwa hiyo Mtoahabari Unazomwaga Hapa hazitoki ndani kama wengi wanavyoelekea kuamini. Ni za Vijiweni kama unavyithibitisha kupotea kwa Mwambulukutu Vijiweni Kumekupunguzia Vyanzo vya kujaza kurasa. Je maoni hayo ni sahihi??
  7. M

    Diwani aliyechomwa Kisu afariki dunia

    Mungu amlaze pema Peponi (Amin).
  8. M

    Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

    Da, Foxy kwani we waonaje, Kuwa Waziri wa EA kutoka uspika wa Bunge la JMT kapanda au kashuka? Kaongeza au Kapunguza? Kapata au Kapatikana?
  9. M

    Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

    Kweli mpenzi hata " Foxy" Linaweza kuwa Tusi.
  10. M

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Naona karibu tutaivisha Karamu ya (Mh. EL) kuingia Magogoni. Tumeanza maandalizi mapema na bila shaka mialiko imeshatolewa. Kuna Mstahiki mmoja naona amesahauliwa kabisa, sijui nafasi ya Muungano na Wateule wao tumeiweka wapi. Its all EL hapa na bla.........bla.....blaaa..............!
  11. M

    Marekani yashupalia vita dhidi ya rushwa

    Jasus, Kazi nzuri japo nimesoma robo tu. nitaimalizia badae, tuna kazi kubwa ya kufanya ili marekebisho yatokee na yakubalike. Tatizo mara nyingi walinzi na Wasimamizi wa Sheria wao wenyewe ndio zinawakwaza!
  12. M

    Tuwe Macho na Mafia Dance Festival (1-15 August 2010)

    Ab, Ili uweze kupambana na makubwa ni lazima uwe na uwezo wa kutatua haya madogo. Na hili kwa kiasi fulani linahitaji ufumbuzi kwani si Dogo kama unavyodhania.
  13. M

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Dear Waberoya ; Kwa waraka huo naona tumeelewana kiasi kikubwa, nadhani kuna umuhimu wa kukubaliana na wezetu tuchukue yale mazuri toka AD ambayo bado yangeweza kutumika katika siasa zetu za leo na kuziboresha. Sijui kama ulibahatika wakati AD limeshika kasi kulikuwa na vijembe vya...
  14. M

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Ag, Hoja za Mwl. zimefanikiwa huku kwa Malkia au Huko nyumbani? Hizi Estate Malkia huzijenga kwanza ndio akawapeleka Watu, tena kwa Hiyari yao! Jingine ni kuwa ilikuwa mapema mno kuja na mfumo mpya ndani ya miaka sita ya Uhuru, Watendaji walikuwa hawajataarishwa na Pesa za Miradi Mwl...
  15. M

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Js, Kinachompeleka mtu Mahakamani ni uvunjaji wa Sheria. Uvunjaji wa miiko utakuwa na hukumu nyingine na haitolewi Mahakamani. Tuwe na miiko au isiwepo, Sheria zipo na zimevunjwa nini kifuatie. tunde miiko au tutumie sheria tuliyonayo kuwasakama waliotukosea?
  16. M

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Sk mkuu, Miiko ipi hiyo mnayoizungumzia??? Wakati Sheria na Hukumu zipo toka Enzi za Torati: USIUE USIIBE USIZINI USIMTAMANI MKE WA JIRANI YAKO nk. Na Hukumu ya Mwizi na Akatwe mkono na Mzinzi apigwe Mawe Mwuwaji Auwawe nk, pamoja na kuzilainisha pia zimetushinda kuzifuata. Sasa...
  17. M

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    Fundi, Umeiona, ni Win Win all the way!
  18. M

    Marekani yashupalia vita dhidi ya rushwa

    Bubu, Ni wajibu wa mimi, wewe na wengine kuonyesha kukerwa kwetu juu ya Rushwa na Ufisadi wa Serekali yetu/viongozi wetu na kuunda Mkakati wa kuwasilisha Hoja mbele ya hao Wafadhili/Wahisani. Tabibu anajua kuwa tunaumwa, ni jukumu la Mgonjwa kuelezea maradhi yake ili apewe Dawa sahihi.
  19. M

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Wamzz, Kuna tatizo moja ambalo tunashindwa kulizingatia Azimio la Arusha ilikuwa ni Sera na Mawazo ya Mtu mmoja. Nae alitaka ahakikishe Linakubalika Hatakama alikubaliki, Linatekelezwa Hatakama Halitekelezeki. Mwl Aliamini na Ameondoka Duniani akiamini Hivyo kuwa Fikra zake ni sahihi siku zote...
Back
Top Bottom