Search results

  1. B

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    nadhani kupima uwezo wa CHADEMA wa kubeba dhamana ya uongozi kwa kilinganisha na CCM, unaweza usipate jawabu sahihi, kwa vyovyote CCM itaipita kwa mbali kwa sababu vyama hivi vinapishana karibu kwa kila kitu Kwanza CCM imekuwepo kwa zaidi ya miaka 40 (ikijumihishwa na kipindi cha TANU) wakati...
  2. B

    Hi!

    Nafurahi kwamba hatimaye nimefika mahali ambapo naweza kuchangia maoni mbalimbali hususasni yale muhimu kwa taifa au maisha.
Back
Top Bottom