Search results

  1. Bangsweezy

    Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

    Hivi hawa wanasiasa hua hawanaga kustaafu
  2. Bangsweezy

    Hili ni soko la eneo gani?

    nimemiss maeneo hayo hapo siku ya mnada mpunguzi pale yaani full outing ya nguvu
  3. Bangsweezy

    Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    naona story yanga akimfunga simba na si simba akimfunga yanga kwasasa
  4. Bangsweezy

    Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

    hayo mampira ndo yanawaingizia pesa na watu kuliko hao Dstv wew unadhani akicheza simba au yanga arafu man u au chelsea nani atakua na viewer wengi kwa hapa Tz
  5. Bangsweezy

    Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mbona kuna maeneo hayapo Inamaana maeneo hayo tu kwa Dar ndo yanashida ya maji?
  6. Bangsweezy

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Last man stand up
  7. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Aisee stress kumbe zinakata usingizi kiasi ichi
  8. Bangsweezy

    Je, nitafanya nini endapo moja ya masomo niliyochagua halifundishwi kwenye chuo nilichochaguliwa?

    Inawezekanaje uchaguliwe na chuo husika na usilikute ilo somo? Kwani umechaguliwa masomo gani na chuo kipi?
  9. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Huu uzi muda wake ushafika Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nilikuwepo wakuu ngoja niwai kurudisha namba chap chap mara moja Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Dawa mzee ukimchinjia mdudu au mbuzi maini yapo salama Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ukiona mafua yanazidi unakata na baba lao (K vant) au mkubwa wao ( nyagi) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wengine tushakua wazee yetu kahawa na tangawizi dawa ya corona Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hata Mi naona mzee ila kahawa ipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hivi huwa mnakutanaga kijiwe gani usiku huu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kumbe wengine wapo mapumziko ya round nikajua wote tu walinzi[emoji32] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Bangsweezy

    Uzi wa vyakula tu

    Chai ya asubuhi leo Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Bangsweezy

    Msaada wa ku copy post za facebook

    Kwangu inagoma fb ya kwaida ile fb lite zote zinagoma
  19. Bangsweezy

    Msaada wa ku copy post za facebook

    Mkuu fb app gani uliyokua unaitumia unaweza ku copy
  20. Bangsweezy

    Msaada wa ku copy post za facebook

    Naweza ku copy kitu facebook, au facebook app ambayo nitaweza ku copy post za maandishi kutoka fb
Back
Top Bottom