Search results

  1. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    wengne hatuelewi tueleweshwe tunashabikia tu... Tanganyika icwepo au iwepo its not my concern nnachotaka maisha bora, kodi hasa PAYE ipungue.. Wale wapemba waliojazana kariakoo warud kwao nataka kuanza kuuza duka langu kariakoo ajira Tanganyika hamna mmezishika nyie wazanzibar...
  2. S

    Chadema hoi hadi nyumbani!!

    Hivi kumbe hata kambi kongwe ya chadema mkoani kilimanjaro wanaongoza wilaya tatu tu kati ya tisa!! na mkoani arusha wanaongoza wilaya tatu tu kati ya kumi na moja!!! wana wilaya nyingi zaidi mkoani shinyanga ambazo ni nne, dar es salaam wanaongoza wilaya mbili tu..huko kwingine hakufai ni...
  3. S

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Antipas Lissu hamna lolote ni kama mazezeta wa sheria wengne tu,kiboko yake Albert Gasper Msando..
  4. S

    Kenya, Rwanda and Uganda (COW) waendelea kutangaza miradi ya maendeleo bila ya Tanzania na Burundi

    umeuliza ikulu juu ya ripoti za safari zake na matunda au hasara zake ukaona hazifai au zinafaa au unaropoka tu kutafuta mass attention??? wacha siasa za chuki, no research no right to speak wachana na taarabu za chadema...hao wanaoua watu kwa ajili ya dhahabu ndo unawaona wa maana..!!! wauaji...
  5. S

    Kenya, Rwanda and Uganda (COW) waendelea kutangaza miradi ya maendeleo bila ya Tanzania na Burundi

    we hujawahi hata kuvamiwa na wezi acha kuropoka..vita unaijua wewe?? nenda Syria kasalimie afu ukirud tutajadiliana kuhusu vita
  6. S

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    mtoto wako wa kiume akiamua kuwa shoga utamuacha aishi atakavyo??? we ----- kwel
  7. S

    Alinificha hajazaa baada ya miaka 3 ndio ananiambia ukweli

    acha uzee wewe hili halihitaji ushauri jibu lipo waz..
  8. S

    Tanzania Commercial Banks Salary Scale

    Kuna benki moja rangi yake ya kibiashara ni bluu na nyeupe ina asili ya kikaburu makao makuu yake ni pale kona ya kinondoni, teller mwenye bachelor anaanza na gross ya 750,000/-, sales person wa premium yao anaanza na 1,200,000/- gross..ila wana matawi machache kwahyo hata kupata kaz huko ni...
  9. S

    CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    wanatoa bumps wanajenga ukuta ndo tatizo,wanaoondolewa ni bora kuliko wanaoingizwa
  10. S

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Pesa hzo ni michango ya watanzania wengine wala sio zake..cwez kukupa ushahidi ila nina uhakika,ni kama zile harambee ambazo zinazopitishwa na viongoz wa chadema kwenye mikutano yao na wananchi..ni pesa za halali kabisa wala sio za biashara zake
  11. S

    Prof. Baregu azungumzia kadhia ya Zitto Kabwe

    mwaka huu Msando na Zitto watawafundisha demokrasia,ule mkakati wa kumuondoa kabla ya uchaguz unaweza ukawakosesha wanachama pia..
  12. S

    Prof. Baregu azungumzia kadhia ya Zitto Kabwe

    taratibu tu tutazijua takataka zote,angalieni sasa maneno machafu ya wanachadomo yatakayofuata..hawana hoja utawackia na yeye aondoke..
  13. S

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    bado cjaelewa wanachama wa "CHADOMO" wanapigania nini,kuongoza nchi ishakuwa ndo ndoto hvyo....mzee mtei alikuwa wap had Zitto akaenda mahakaman c angeitisha baraza kuu mapema ili Zitto asiende mahakamani aachae umbea yule mzee
  14. S

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Chadema ya kidini,fafanua kauli yako hapo juu ili kutuweka sawa..
  15. S

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    hyo mbowe c kashajibu,amesema ilikuwa ni michango kutoka ccm..teh teh teh,rostam 100,na mkono 200
  16. S

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Zzk atawasumbua kwa hoja yake ya mwenyekiti kuhongwa mil 200 na mkono,then mil 100 na rostam aziz
  17. S

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    ambayo pia Mbowe aliyapanda..
  18. S

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    afu mwenyekiti wao akapewa michango ya milioni mia tatu na haohao maadui
  19. S

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Zitto mteja mzuri,Mbowe je?
Back
Top Bottom