Search results

  1. K

    Mwenyekiti wa bodi ya Parole Mrema alazwa India

    Jamani, poleni na majukumu. Hivi Mwenyekiti wa Bodi ya Parole yupo wapi? Mara ya mwisho nilimsikia akitaka kuwatoa wafungwa wa Mch. Lwakatare.
  2. K

    Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Hivi kama Rugemalila ameamua kuniwekea kwenye akaunti yangu, kwa mapenzi yangu mwenyewe; NIZIKATAE? Wengine walipewa tu jamani. Wengi wao, wahaya ambao ni jamaa zake. So, wengine siyo rushwa!
  3. K

    Makinda: Mishahara ya wabunge ni midogo, wanakuwa hoi wakimaliza ubunge

    Hivi kuna mtu amewalazimisha ku-apply hicho kibarua chenye mshahara mdogo!?
  4. K

    Wassira awakana 'watoto wake' waliojiunga na CHADEMA...

    Jamani, kuna mtu alishawahi kuonya dhidi ya kukosoa sura za watu. Hayo ni maumbile ambayo Mungu mwenyewe ameyaweka. Weye unayemponda Wasira, hebu weka picha yako tuione. Si ajabu unafanana na NDEZI. Mie ni CDM damu na huwa sipendi hoja za Wasira. Lakini, hebu fikiria mkewe na watoto wake...
  5. K

    Dkt. James Alex Msekela ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia

    Nimewahi kuambiwa kwamba, ubalozi hautolewi kama zawadi kama bwana mkubwa anavyofanya. Nimeambiwa kwamba kiutaratibu, mtu anatakiwa awe amefanya Wizara ya Mambo ya Nje na awe anapanda vyeo vya u-diplomasia Grade III, II, I, n.k. Sasa huyu jamaa anateua vyovyote! Tusaidieni wataalamu. Au hata...
  6. K

    Dkt. James Alex Msekela ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia

    Kweli Tabora walimkataa, lakini mamilioni wengine tunampenda. Nabii hakubaliki kwao.
  7. K

    Sumaye atema cheche: aponda utamaduni wa posho kwa watumishi na wabunge

    Sema wewe bwana, mimi nimeshasema hadi nimechoka. Kwa mfano,kuhusu JKT; uliza kiongozi yoyote hapa Tanzania...kuanzia Mwinyi hadi Kingunge; atakueleza anashangazwa kwa nini JKT ilifutwa! Sasa, aliyeifuta nani? Jamaa ni wasanii sana!
  8. K

    Big up Lowassa kazana uchukue nchi

    Achukue nchi ya nani? Labda ya kwenu siyo yetu!
  9. K

    CCM waanza? Magamba yaanzia kwa dagaa

    Chama cha Mapinduzi bwana! Huwa hawana dharura eh!? Kwa nini hawakumtoa mara tu baada ya uchaguzi? Wapo slow mno...na huu u-slow slow ndiyo unaowaumiza!
  10. K

    Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

    Kumaliza, anaweza kuwa amemaliza chuo kikuu. Hakuna uhusiano kati ya Digrii nyingi (ukiondoa linguistics) na lugha. Mbona kuna 'ma-lecturer' kibao hawajui kiingereza? Kinachotakiwa hapa Tanzania, ni juhudi binafsi za kujifunza lugha za nje, kwani tunatumia sana Kiswahili. Ila kutumia Did badala...
  11. K

    Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

    Mkuu, Nimependa sana maoni yako. Yamekwenda shule. Hata hivyo, tusi'justify' uvivu wetu wa kutojifunza lugha za kigeni na masuala mbalimbali ya kimataifa, huku tukijilinganisha na wengine. Tujitahidi sana tusome kila siku, kila wakati na kujifunza lugha zote kwa ufasaha.Kuna watu wengi ambao...
  12. K

    Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

    Naomba kuuliza. Ukiwa Waziri, ukaingia Wizarani, ukaanza kusimamia sheria ulizozikuta, unakuwa umekosea? Yaani hata sheria ulizozikuta ni lazima ukaulize baraza la mawaziri? Hapa naona mtoto wa mkulima amechemsha. Pili, hivi ukiwa na wakubwa lazima uongee? Yaani Magufuli anawalaumu Chadema kwa...
  13. K

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    Umeandika vizuri, lakini umeanza vibaya! Kuna mtu anaamini kwamba dini ndiyo kuwa na uwezo au kutokuwa na uwezo? Mimi naamini kabisa aliyeanzisha mada, hakuwa anafikiria hivyo. Wanaofikiria hivyo ni wale wenye mawazo finyu kama yako!
  14. K

    Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

    Mwache ajitoe...na ikiwezekana ajitoe CHADEMA
  15. K

    Kutoka TANESCO: Taarifa kwa vyombo vya habari

    Naona hata uvivu kuendelea kusoma posting hii kwani, kama alivyosema Mwanakijiji, TaNesco hawana jipya! Tutegemee mabadiliko SIFURI
  16. K

    Salaamu Kutoka Kenya- Vipaumbele vyetu vipo wapi?

    Ambacho sijakielewa ni kimoja tu; wa-Kenya wame-advance sana kuliko wa-Tanzania? Yaani fikra zao, matendo yao na mienendo yao ni bora kuliko waTZ? Mbona walichinjana baada ya matokeo ya uchaguzi uliopita? Mifano ya wavivu na wapenda shortcut kama Rutaihwa ipo Tanzania tu? Kwani Kenya hakuna...
  17. K

    Msajili ajipanga kuanza uhakiki wa CCJ wiki hii

    Samahani mkuu, wanasheria wa mkoa wa Arusha walitamka nini?
  18. K

    Kila Mwana CCM mwenye akili timamu anajua Kikwete ataighalimu CCM kufikia 2015

    Mwacheni agombee aone maajabu. Watu huwa wanaamini kwamba CCM itashinda daimaaaaa! Hivi ujasiri huo wanaupata wapi? Watu kama hao watashangaa matokeo ya kura 2010.
  19. K

    Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

    Mimi nilishaangaa kusikia tiketi zote za watakaokaa jukwaa la VIP A (747) zimeuzwa. Kila kimoja ni Tshs. 200,000/=. Wamenunua akina nani!? Magogoni!?
  20. K

    Elections 2010 Simpendi raisi wangu..

    Si tulimkataa mwarabu wakasema wanataka mzawa!? Sasa inakula kwetu
Back
Top Bottom