Search results

  1. vallentino86

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hongera sana kiongozi mana mke bora ni yule ambae mmepitia mengi mazuri na mabaya na bado mkavumiliana, Mungu ni mwema siku zote.
  2. vallentino86

    Matokeo ya ACSEE 2008

    ata mim nlikua mtahiniwa wa mwaka 2008 kwa comby ya ECA yan huo mwaka ndio nliamin kuna homa ya mtihan mana kuna jamaa yetu alilowa nguo nzima wkt tunafanya pepa ya Acc pepa 1
  3. vallentino86

    Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

    mambo Mambo vp mkuu, kuna mwenye links za movie kupitia app ya Telegram
  4. vallentino86

    Mume aua hausigeli kwa kipigo akimlazimisha amwambie mchepuko wa mke wake ni nani

    kesi ipi na ipi mkuu ? Sent using Jamii Forums for iPad.
  5. vallentino86

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    maamuzi ni yako either uandike barua moja ya kazi ambayo unajua uko vzuri zaid au uandike barua za kaz zote mbili kama zinaendana na ulichosomea Sent using Jamii Forums for iPad.
  6. vallentino86

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Kweli kabisa Sent using Jamii Forums for iPad
  7. vallentino86

    Ka kijiuzi kumhusu huyu mwanadada sanchi anaeachia nude pics kwenye mitandao ya kijamii na hizi ni picha zake zenye unafuu

    bado atakua anajiandaa mana angekua ametindua bas angekua amejifunika taulo pia konfom na kilainish juu ya stuli vingekua vishatumika Sent using Jamii Forums mobile app
  8. vallentino86

    Ka kijiuzi kumhusu huyu mwanadada sanchi anaeachia nude pics kwenye mitandao ya kijamii na hizi ni picha zake zenye unafuu

    macho hang yameona na kilainishi pia [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. vallentino86

    Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

    [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. vallentino86

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari zenu humu ndani, naomba msaada kwa anaejua tuition fees kwa course za Masters hasa ya MBA pale Open University of Tanzania mana nmehangaika kugoogle nmeshindwa. Samahan kwa kuingiza topic tofaut na mada husika.
  11. vallentino86

    Msaada kujua ada kwa course ya MBA ktk chuo cha OUT (Open University of Tanzania)

    Habari zenu humu ndani, naomba msaada kwa anaejua tuition fees kwa course za Masters hasa ya MBA pale Open University of Tanzania mana nmehangaika kugoogle nmeshindwa. Asanten sana
  12. vallentino86

    Nafasi za Kazi 25 JamiiForums - mwisho wa kutuma maombi ni Julai 27, 2019

    Habari zenu humu ndani, naomba msaada kwa anaejua tuition fees kwa course za Masters hasa ya MBA pale Open University of Tanzania mana nmehangaika kugooglr nmeshindwa.
  13. vallentino86

    MSAADA TAFADHARI

    jaman nahitaj msaada ili nieze kueka thread yang ya kuelekezwa jambo, samahan kwa kuingilia topic
  14. vallentino86

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1. Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli 2. Ukitaka mke mwenye tabia kama zako oa dada yako
  15. vallentino86

    Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.

    Ila huu uzi una ukwel ndan yake aisee, sio bure.
Back
Top Bottom