Search results

  1. Alevet

    Tuition ya Advanced Mathematics na Physics kwa form V&Vi

    Kijana aliyemaliza form six (fresh from School) anafundisha VIZURI sana. TUITION TUITION TUITION ADVANCED LEVEL FORM V&VI SOMO: ADVANCED MATHEMATICS MLETE MWANAO NA HUTAJUTIA MAHALI: KITUO CHA BUCHA (KWA MSABAHA) BARABARA YA WAZO KUELEKEA MADALE. MTAA WA CHELSEA. TUITION INAANZA ASUBUHI SAA 2-...
  2. Alevet

    Wanafunzi Wa Chuo cha sheria IJA Lushoto hatihati kuahirisha mwaka wa masomo 2021/2022

    Wanafunzi Wa IJA ambao 80% ni watoto Wa masikini walishalipa ada shilingi 594,000 (1st installment) Novemba, 2021. Cha kushangaza na kinyume na taratibu wamepewa notisi ya wiki moja kulipa 2nd installment shilingi 415,000 kabla ya 02/12/2021 vinginevyo watatakiwa kuahirisha mwaka Wa masomo...
  3. Alevet

    Wanafunzi wa Chuo cha Sheria IJA-Lushoto hatihati kuahirisha mwaka wa masomo kwa kukosa ada

    Malalamiko yanawakumba asilimia 80 ya wanafunzi wengi wao watoto Wa masikini, kwani ada (2nd installment) hutakiwa kulipwa January ya kila mwaka kabla ya mitihani ya mwisho (semester exams). Jana ghafla wamepewa tangazo la notisi ya wiki moja kabla ya mid term exams inayoanza 02/12/2021.
  4. Alevet

    Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

    Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
  5. Alevet

    Waliosoma Tosamaganga tukutane hapa

    Mimi binafsi nimesoma Tosa kuanzia form one mpaka six 1988-1994. Sijawahi kurudi tena, lakini enzi hizo headmaster alikuwa Mr Mpogole a.k.a. dudu (R.I.P) shule ilikuwa nzuri sana. kupitia jf nadhani tunaweza kukumbukana na kujikumbusha mambo mengi nawamiss watu wengi ile mbaya! Maswala ya mbeta...
  6. Alevet

    Zitto hamia Mbeya japo kwa siku kadhaa

    Napendekeza ndg Zitto aje kuishi Mbeya japo kwa siku kadhaa ili atathmini huo anaouita ushindi
Back
Top Bottom