Dah,,,Mkuu ulikuwa wafanya CT scan ya sehemu gani ya mwili?Uvue nguo zote!!!
Across US airports,wale jamaa wa scan wana enjoy tu nyeti za watu....maana ni full body scan,unakuwa kama upo uchi.Ni hatari sana.
Well said~,
I love ladies kwa kweli,they are so natural,indifferent,patients,they express their own feelings.
When u seek advice from them,they give u what they honestly believe is better,wana hazina tele ya mawazo.Wanahitaji tu courage na kuwapa confidence ya ku convey mawazo yao mazuri...
Karibu Mama Derick,
Niliziona pale Guangzhou(China) last year,incubator zenye capacity ya mayai 500 ilikuwa ni us$ 200~us$ 300.Ukiagiza kutoka China unatakiwa uongeze umakini,utafute suppliers wa uhakika,ukinunua vibandani tu utalamba feki.
Mashine ya kuchekia mayai sikuwahi kuulizia bei.
Kila...
Mkuu VoR,ukinisoma btn the line utaona tuko pamoja,infact nilikuwa nakuunga mkono......there's no general rule ya kutokea.....just follow the basic natural laws of success.
Pia kusema jamaa hawakusoma si sahihi,labda aseme hawakukaa darasani...fuatalia utaona jamaa ni good readers...
The best direction to ride a horse is the direction in which it's going~
Never try to swim against the tide~
NO 2 people are exactly alike,everyone has got his/her uniqueness....just know your potentials ,,,your brilliance zone..and make use of it effectively.
Work smart,,,work hard.
Ni kupata utulivu wa nafsi basically kutokana na unyumba halali..mengine ni mawadda,rahma(kuoneana huruma),mahabba,kujaliana,kusaidiana,kuunganisha familia..kuleta heshima katika jamii..pia na kuendeleza kizazi.
Hayo ni mambo muhimu sana kwa binadamu psychologically and as a soul entity...
Ni kupata utulivu wa nafsi basically kutokana na unyumba halali..mengine ni mawadda,rahma(kuoneana huruma),mahabba,kujaliana,kusaidiana,kuunganisha familia..kuleta heshima katika jamii..pia na kuendeleza kizazi.
Hayo ni mambo muhimu sana kwa binadamu psychologically and as a soul entity
Kubwa...
Theorists of success in business and life wana discourage dabbling...u shud mean biznezz..and not kujaribu jaribu.
Usahuri wangu:
>>Find out your brilliance zone.....u can't be good at everything but u can be very good at one thing..most people enjoy something they are very good at..in this...
Ok.... but Not infedility....hapo hakuna hii..."""" Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu """
WE gotta mean biznezz in every aspect..not just dabbling.
If No.1 applies to both genders,I'm wondering if men with vitambiz decide ku vaa loose garments(and not suruali) kama vile sketi,gauni etc...watapunguza vitambi and therefore kuongeza hips na makalio.
Ningewashauri hawa jamaa kama hawana good explanation on the mechanism behind their...
Cracking & Hacking
The English Grammar
The Handbook of Good English
Human Body
Principles of Genetics
Sex, Marriage, and Family in World Religions
The Art Of Expressing The Human Body
Dictionary of Computer Terms
Robotic
Kaka shukran sana,kong'oli hizo maneno kwa email yangu: qqadhi@yahoo.com...
Aisee.....~
Mpe kubwa......."Hire slowly Fire Quickly"
Kuna vijana kadhaa huku ughaibuni wanawalalamikia dada zetu wa Africa...hususwan wa Tanzania....wanadai si waaminifu kabisa ktk love...karibu wote hawafikirii,at least for now,kuoa waTz.
Wanadai ni ngumu kumwamini dada wa kiBongo...
M.A.V=Mzumbe Academic Village,kwa sababu kuna Mzumbe nursery school,Mzumbe Pr School,Mzumbe Sec School,Mzumbe University...hence the academic village.
Vijana wengi walikuwa wanatumia hilo neno mlishaji....,yaani ukifanya sivyo unaitwa mlishaji .
VoR,
Personally,lazima nivutiwe kwanza physically,she shud be attractive then naanza kuangalia qualities zingine muhimu kama vile understanding,flexibility,smartness etc
Wanasema kipindi cha mwanzo ktk ndoa...ile romantic phase of marriage ni kipindi cha "saving"...muna save for the future...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.